Umejuaje alifanya hivo? Nani kakuaminisha hivo mkuu?Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
What does Abdul betrayed?Do you think it’s healthy to betray you country
we jamaa una akili sana Mimi nilikuwa nawaza hivyohivyo kama ningekuwa nondo!!Bahati mbaya sina namba ya Abdul Nondo ningempigia na kumpa huu ujumbe. Wenye mawasiliano nae tafadhari mfikishie ujumbe huu. Mwenye mawasiliano nae tafadhari mfikishie wazo hili
Ukweli ni kwamba sioni usalama wako pia na uendelevu mzuri katika masomo yako, wewe kama kiongozi wa mtandao wa wanafunzi ilikuwa ni haki yako kutoa tamko kulingana na nafasi yako na tukio la mauwaji ya mwanafunzi mwenzenu.
Wasiwasi wangu ni kwamba kuna watu wana chuki kubwa juu yako, hivyo nahisi unaweza kuuawa au kutekwa na ukapotea moja kwa moja, na kwa namna hali ilivyo, wakisha kuteka zitabaki siasa kuwa tulitahadharisha kuwa watekaji wanaweza kumteka tena, zinapigwa story matokeo yake utaanza kusahaulika kama Ben Saanane.
Kumbuka kwa sasa wauwaji na watekekaji wana enjoy freedom kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru.
Nakushauri kwa haraka sana fanya ifuatavyo;
Kwa kuwa wewe ni mwanafunzi na hauna kipato, kimbilia ubalozi wowote wa nchi za Magharibi ulioko hapa Tanzania (hasa Marekani). Waeleze juu ya wasiwasi wa maisha yako, waeleze namna iliivyokuwa wajibu wako kutoa tamko kama kiongozi wa wanafunzi, waeleze mateso uliyopitia ukiwa lock up, kisha omba wakuondoe nchini kwa ajili ya usalama wako, omba wakupe scholarship usomee hukohuko na utapata elimu nzuri sana utafurahi.
Mimi nina uhakika jogoo wa dunia Marekani watakubali ombi lako. Mimi naamini kwa matukio ya mauwaji na utekeji lazima ombi lako litakubaliwa. Tofauti na hapo sioni future yako honestly ndiyo maana umeona hata kule chuoni kwako tayari wameanza kubana, naona giza
Usitoe ushauri wako ili kulinda genge lenu..Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
Anakuaga busy na maswala ya office this time lazima apiteHivi anapitiaga humu?
Watekaji ndio wanaompa ushauri awaombe msamaha..., hujaelewa maana ya uzi huu kuanzishwa hapa...?!Aombe msamaha kwa kutwekwa? iv hizi akili hua mnazitoa wapi?
Nchi yangu na Uhai wangu kipi kina thamani zaidi???? Yani nikomalie kukaa nchi ambayo najua kesho naweza tekwaa na kuua... Huoo ushauri ni mzuri sanaa na Nondo watamzungukaa tu wamteke tena alafu wajee kujisafisha kuwaTulisema... Nondo hayupo salama..Do you think it’s healthy to betray you country
Achaa ujinga wew... Unadhani kwa taliyomkutaa huko alikokuwa ana Jeuri ya kuiponda serikali tena???..kijana mwenyewe mjingajinga....haonekani kuwa honest...hapo udsm ndio imetoka....yeye ametoka jela kitu cha kwanza anawasifia magereza.....akili Hana au amejitoa ufahamu....kusaidia mtu wa namna hii ni shida tayari...maana hayuko honest kwa yaliyomsibu....BTW inawezekana kweli alijiteka....
Siungi mkono hoja, tusisahau tulivyohangaika kwa Lissu lkn wapiWell said! Huyu kijana inabid tufanye donation moja ya hatari ili kumuwezesha kiuchumi, ikibidi akasome nje ya nchi.
Umeongea kweri mkuuSioni kosa LA Kijana Nondo kwa nafasi take ila naona uonevu kutoka kwa mwigulu siro na bashite kuambiwa wajiuzulu ndio wakaamua wamteke.nani asiyemjua tabia mwigulu?au bashite?
Bora kuwa mkimbizi USA kuliko raia wa tzUtafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
kipi bora,kuuwawa ama kuwa mkimbizi?Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Bahati mbaya sina namba ya Abdul Nondo ningempigia na kumpa huu ujumbe.
Wenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie ujumbe huu. Mwenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie wazo hili.
Ukweli ni kwamba sioni usalama wako pia na uendelevu mzuri katika masomo yako, wewe kama kiongozi wa mtandao wa wanafunzi ilikuwa ni haki yako kutoa tamko kulingana na nafasi yako na tukio la mauaji ya mwanafunzi mwenzenu.
Wasiwasi wangu ni kwamba kuna watu wana chuki kubwa juu yako, hivyo nahisi unaweza kuuawa au kutekwa na ukapotea moja kwa moja, na kwa namna hali ilivyo, wakisha kuteka zitabaki siasa kuwa tulitahadharisha kuwa watekaji wanaweza kumteka tena, zinapigwa story matokeo yake utaanza kusahaulika kama Ben Saanane.
Kumbuka kwa sasa wauaji na watekekaji wana enjoy freedom kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru.
Nakushauri kwa haraka sana fanya ifuatavyo;
Kwa kuwa wewe ni mwanafunzi na hauna kipato, kimbilia ubalozi wowote wa nchi za Magharibi ulioko hapa Tanzania (hasa Marekani). Waeleze juu ya wasiwasi wa maisha yako, waeleze namna iliivyokuwa wajibu wako kutoa tamko kama kiongozi wa wanafunzi, waeleze mateso uliyopitia ukiwa lock up, kisha omba wakuondoe nchini kwa ajili ya usalama wako, omba wakupe scholarship usomee hukohuko na utapata elimu nzuri sana utafurahi.
Mimi nina uhakika Jogoo wa dunia Marekani watakubali ombi lako. Mimi naamini kwa matukio ya mauwaji na utekeji lazima ombi lako litakubaliwa.
Tofauti na hapo sioni future yako honestly ndiyo maana umeona hata kule chuoni kwako tayari wameanza kubana, naona giza.