Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

Wenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie ujumbe huu. Mwenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie wazo hili.

Atuthibitishie pia kuwa hakujiteka na kisha maoni yako yawe sahihi maana waliozoea kuitakia mabaya serikali wanaweza kumtenda ili kukidhi kiu yao kama wewe unavyotamani yamkute mwana wa mwenzio.
 
Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
Huu ndio uungwana na njia bora ya kuwa na upatanisho wa kweli. Watamani majanga hawatutakii mema
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA

tRUE GREAT THINKING
 
I agree with you. Dogo bora akatafute maisha mbele huko
 
Kwani kakwambia anajuta?Hilo wazo lako no kama tu anajuta vinginevyo afuate ushauri was kwanza
 
Atuthibitishie pia kuwa hakujiteka na kisha maoni yako yawe sahihi maana waliozoea kuitakia mabaya serikali wanaweza kumtenda ili kukidhi kiu yao kama wewe unavyotamani yamkute mwana wa mwenzio.
Na sirikali inazdi kufanya hayo mambo ya utekajii sababu kuna watu wajinga kama wew wanaamini watu binafsi ndo wanafanya hayooo..!!
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Nina wasi wasi na wewe!
 
yaani we unaamini kweli kajiteka?na hilo suala la mkimbizi maisha yake yote umelipata wapi?unaamini wanaomfanyia figisu watakuwa na mamlaka hayo daima dumu?
 
huo ni ukweli100%. mipango ya kumsimamisha chuoni amri toka juu...
nimeona mwanasheria wake anasema vyuoni kuna "bylaws"ikiwemo ile iliyoumika kwa huyo kijana , kumbe na hizo sheria za vyuo zilitungwa kutoka juu, pambavu sana wewe
 
..sasa ujinga gani unaosema???kama unakiri kuwa nondo amefanywa mbaya Na serikali...unashangaa nini tunaposema yeye ni mjinga kutokukiri alichofanyiwa????....yani we wakufi.re au wamfi.re mama yako alafu ukae kimya???kama we si choko lazima useme....

Achaa ujinga wew... Unadhani kwa taliyomkutaa huko alikokuwa ana Jeuri ya kuiponda serikali tena???
 
Back
Top Bottom