Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

Narudia tena kuwashauri wanafunzi someni kwanza mmalize chuo ndio muingie kwny siasa muanze kukimbizana na serikali la sivyo mtaharibu maisha yenu.

Huyu Nondo kishapoteza ramani tayari.
 
Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
Naona mnarudisha watu enzi za Umwinyi. Aombe msamaha kwa nani?
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
aombe msamaha kwa kosa gani ?
 
Bahati mbaya sina namba ya Abdul Nondo ningempigia na kumpa huu ujumbe.

Wenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie ujumbe huu. Mwenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie wazo hili.

Ukweli ni kwamba sioni usalama wako pia na uendelevu mzuri katika masomo yako, wewe kama kiongozi wa mtandao wa wanafunzi ilikuwa ni haki yako kutoa tamko kulingana na nafasi yako na tukio la mauaji ya mwanafunzi mwenzenu.

Wasiwasi wangu ni kwamba kuna watu wana chuki kubwa juu yako, hivyo nahisi unaweza kuuawa au kutekwa na ukapotea moja kwa moja, na kwa namna hali ilivyo, wakisha kuteka zitabaki siasa kuwa tulitahadharisha kuwa watekaji wanaweza kumteka tena, zinapigwa story matokeo yake utaanza kusahaulika kama Ben Saanane.

Kumbuka kwa sasa wauaji na watekekaji wana enjoy freedom kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru.

Nakushauri kwa haraka sana fanya ifuatavyo;

Kwa kuwa wewe ni mwanafunzi na hauna kipato, kimbilia ubalozi wowote wa nchi za Magharibi ulioko hapa Tanzania (hasa Marekani). Waeleze juu ya wasiwasi wa maisha yako, waeleze namna iliivyokuwa wajibu wako kutoa tamko kama kiongozi wa wanafunzi, waeleze mateso uliyopitia ukiwa lock up, kisha omba wakuondoe nchini kwa ajili ya usalama wako, omba wakupe scholarship usomee hukohuko na utapata elimu nzuri sana utafurahi.

Mimi nina uhakika Jogoo wa dunia Marekani watakubali ombi lako. Mimi naamini kwa matukio ya mauwaji na utekeji lazima ombi lako litakubaliwa.

Tofauti na hapo sioni future yako honestly ndiyo maana umeona hata kule chuoni kwako tayari wameanza kubana, naona giza.
Tanzania na mfumo wa vyama vingi dhidi ya chama kimoja
 
Akimbie nchi kwa kitu gani, Dogo alijichanganya na akifuata ushauri wako ndio atapotea zaidi. Tough times will always pass. Atulie, ajipange upya maisha yaendelee.
 
Atekeleze wakati
Kashatekelezwa[emoji1321]

Huo ushauri ni sawa na kumuozesha binti yako ndoa ishafungwa baada ya siku 5 unamshauri binti yako asiingiliwe kimapenzi[emoji1321]
 
baada ya kumuingiza chaka la simba sasa mnakuja na plan B hahaha

chaka la simba ukiingia hautoki kirahisi hivyo

kwan hivi alisahau kuwa karai likishatumika kubebea zege huwa halifai tena hahah

alikubali kuwa karai sasa anakula matunda ya ukarai wake...

empty set kabisa
 
Huo ndio mchongo tatizo vijana wetu wengi mtu mpaka anafika university hata pass port hana ukimuliza unasikia yanini pass port sasa

Wito kwa vijana tafuteni vinyago lolote likitokea unamsha popo.
 
Bahati mbaya sina namba ya Abdul Nondo ningempigia na kumpa huu ujumbe.

Wenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie ujumbe huu. Mwenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie wazo hili.

Ukweli ni kwamba sioni usalama wako pia na uendelevu mzuri katika masomo yako, wewe kama kiongozi wa mtandao wa wanafunzi ilikuwa ni haki yako kutoa tamko kulingana na nafasi yako na tukio la mauaji ya mwanafunzi mwenzenu.

Wasiwasi wangu ni kwamba kuna watu wana chuki kubwa juu yako, hivyo nahisi unaweza kuuawa au kutekwa na ukapotea moja kwa moja, na kwa namna hali ilivyo, wakisha kuteka zitabaki siasa kuwa tulitahadharisha kuwa watekaji wanaweza kumteka tena, zinapigwa story matokeo yake utaanza kusahaulika kama Ben Saanane.

Kumbuka kwa sasa wauaji na watekekaji wana enjoy freedom kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru.

Nakushauri kwa haraka sana fanya ifuatavyo;

Kwa kuwa wewe ni mwanafunzi na hauna kipato, kimbilia ubalozi wowote wa nchi za Magharibi ulioko hapa Tanzania (hasa Marekani). Waeleze juu ya wasiwasi wa maisha yako, waeleze namna iliivyokuwa wajibu wako kutoa tamko kama kiongozi wa wanafunzi, waeleze mateso uliyopitia ukiwa lock up, kisha omba wakuondoe nchini kwa ajili ya usalama wako, omba wakupe scholarship usomee hukohuko na utapata elimu nzuri sana utafurahi.

Mimi nina uhakika Jogoo wa dunia Marekani watakubali ombi lako. Mimi naamini kwa matukio ya mauwaji na utekeji lazima ombi lako litakubaliwa.

Tofauti na hapo sioni future yako honestly ndiyo maana umeona hata kule chuoni kwako tayari wameanza kubana, naona giza.
Mbona huko kuna gun kuliko bongo...hujui marekani ni nchi ya tano duniani kwa mauwaji acha kumdanganya mwenzio aende huko una dhani kuna amani kukaa mbali na familia yako na rafiki zako unadhani kwenda huko ndio kutampa furaha ya milele...aliyeko huko ambaye anajua hawezi kurudi nyumbani huoni alivyo na stress hata kulala halali kawa kama mbwa kichaa kabaki kilo mbili ...uhuru wa kuto kurudi nyumbani ni kama mfungwa wa maisha jela...muulize au sikiliza mahojioano yake yule alie kimbilia Finland anajuta huko aliko hata mwezi hajamaliza..
 
Mpeni maelekezo atakapomaliza kesi yake.

Inasemekaha hata marehemu Dr Walid Kaburu aliondoka Tanzania baada ya kuchana bendera ya Taifa alipokuwa akisoma Kigoma sekondari.

Alipewa adhabu kwa kukataa kusimama wakati ikipandishwa kwenye flag raising za kila jumamosi.

Aliporudi, akiwa msomi watu walishasahau tukio lile.

Mwenye kumbukumbu hii aliokuwa nao watujuze.

Nyakati zingine wenye kuona tofauti huja kuwa watu was maana baadaye.
 
Do you think it’s healthy to betray you country
Do you think it is healthy for a country to betray you!!? (Kwanza sio country kum-betray wala mtu ku-betray country)
Ni watu wachche walioanua kujivika uungu ndiyo wanafanya watu tujae hofu na kuwaza kuikimbia nchi!
 
Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Mbona una conclude kama vile kesi ishakuwa Ruled..
 
KIBST Unamaanisha aombe msamahaa ukimaanisha amekosa au akubali yaishe? Siamini juu ya kwenda ukimbizini nikiamini njia nzuri ya kutatua tatizo ni kulikabili na sio kulikimbia,lakini pia ushauri wa kuomba msamahaa kwa maelezo yanayo pingana ya wanaomtuhumu pia siungi mkono kwani hili linafanya watanzania tuelekee Rwanda kihiyari.Misingi inayojengwa leo inaweza kuwa na maana kubwa kwa mh.magu kulingana na nchi alivyoikuta lakini wapo wayakao iga misingi hii kwa nia ovu na madhara kwa taifa yatakuwa makubwa kuliko.hoja yangu ni lazima tuwe uwezo wa kusimamia tunayoamini, na Nguzo kuu ya kuoa haki itumie busara sana kwenye kutoa maamuzi ili maana ya tuhuma na hatia zibaki kama zilivyo
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Miaka kumi sio ming Abdul atakuwa na miaka 33. Sasaivi Imebaki miaka 8 tu
 
Back
Top Bottom