Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Naona wewe ni mnufaika wa systems yanayotokea kwa jirani yako unaona kamwe hayatatokea kwake,huyu ndiye aliyeonewa na haki yake ya kikatiba imevunjwa ikiwa ni pamoja na kuwekwa kuzuizini bila ya kesi wakati yeye ndiye aliyetekwa,amesafirishwa kama mkimbizi ndani ya nchi yake kati ya Iringa na DSM kwa kodi zetu wewe mtoa hoja hili hulioni,RC wa Dsm anatamka hadharani kuwa mkimalizana naye mlete huku ametia aibu mkoa wake mtoa hoja hili kwako ni story inayokuburudisha,always tuishi kwa wajibu wa kisheria na nchi hii ni yetu wote,na kwa taarifa yako mkimbizi ana haki mno kuliko mtanzania anayeishi Tanzania ,Facts always zibakie hivyo sio kila kitu unaingiza siasa kwa sababu wewe ni mmoja wa wale wanaokula pie ya taifa pekee,ilewa Time na History itatuhukumu kwa vitendo vyetu,hapa hapa SADC KUNA MTOTO WA FORMER PRESIDENT KWA SASA ANAISHI MAISHA YA KAMA NDEGE,nchini kwake hakukaliki!!
 
Tuwe kama binadam kweli. Tuthamini maisha ya mtu no matter what. Mkuu Gambamala umeongea point sana

Maisha ya binadam tusiyashushe thamani kiasi hicho

Abdul Nondo fuata ushaur wa mleta uzi
 
Aisee wazo zuri mnoooooo

Abdul nondo kazi ni kwako sasa 100% chance ya visa hio ya kwenda nchi unayotaka

Ila nakuomba chagua ktk england au canada hizi nchi zinajali sna sna sna haki za binaadam utapata full scholarship + citizenship
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Basi yafaa nini kuishi katika nchi yako bila amani, ukiwindwa kutwa kuchwa na watu ambao ni kama ndugu zako?

Si bora kuishi huko magharibi na watu usiowajua lakini hawana tatizo na wewe!
 
Amesasimamishwa chuo yani bora jana angesema ukweli yaliyompata don't ever compromise
 
Unamshauri mtu aliyejiteka ili apate hadhi ya ukimbizi,mbona mnalazimisha Watanzania tuwe na maisha ya ukimbizi wakati sura hiyo hatunayo nchini kwetu...!!!!
 
Huyu keshakuwa criminal akisepa wanapeleka interpol anarudishwa ndo anafia sello.
Inategemea mkuu na type of crime. Hata Mandela alikuwa regarded kama ni criminal pia lakini Tanzania na nchi nyengine bado zilimpokea. Persinally, naamini kuwa kwa sasa aendelee na kesi yake na nina imani atapata fair au niseme favourable trial based on the publicity the case has had!
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Eti asiishi maisha ya amani ,kwa hiyo hapo alipo ana amani.maskini wa fikra
 
Nondo si kamanda?? Basi atulie apambane na hali yake hapahapa!
 
Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
Hakuna kuomba msamaha .. mkuu ushauri wako una nunulika.
 
Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
Unamaanisha kwamba hata kama ni kweli alitekwa still aombe msamaha kwa kutekwa? Au sijakuelewa?
 
..kijana mwenyewe mjingajinga....haonekani kuwa honest...hapo udsm ndio imetoka....yeye ametoka jela kitu cha kwanza anawasifia magereza.....akili Hana au amejitoa ufahamu....kusaidia mtu wa namna hii ni shida tayari...maana hayuko honest kwa yaliyomsibu....BTW inawezekana kweli alijiteka....
 
Ushauri mzuri sana hata akisema abaki tz bado system itamhukumu siasa ya Tz mbaya sana,aende nje baada ya masomo huenda akapata kazi za kufanya kwenye mashirika makubwa mpaka huyu bwana atakapomaliza vurugu zake
 
Nondo atulie tu, wenye mamlaka nao ni wazazi pia, hawawezi kwenda beyond kumharibia zaidi unless afanye something stupid ya kushindana nao!

Cha kufanya sasa hivi ni haya yafuatayo
1. Ajisalimishe kwa Mwenyezi Mungu asali sana, aamke usiku kuomba na kusali ( Tahajjud)

2. Audedicate muda wake kusoma vitabu na kutafuta maarifa mengi

3. Asizungumze zungumze ishu yake na aepuke vijiwe visivyo vya lazima

4. Anaweza akaanzisha kitu cha kumkeep busy kama vile kilimo cha mbogamboga, mihogo, tikiti etc ( atumie ujuzi aliojifunza JKT)
 
Naona mmeibua mbinu mpya ya kujipatia visa ya bure, zamani watu walikua wanazamia meli, ila tunawaomba muachane na hii njia maana inahatarisha amani yetu. Ni hayo tu.
Wacha ihatarishe tuuu, wewe unaona amani. Kwa kuwa aijakukuta ndugu yako kufanyiwa maswala ya kinyama
 
Hofu yako haipishani sana na yangu. Binafsi nawaza wasije wakawa tayari washamMRUS ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom