Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

Do you think it is healthy for a country to betray you!!? (Kwanza sio country kum-betray wala mtu ku-betray country)
Ni watu wachche walioanua kujivika uungu ndiyo wanafanya watu tujae hofu na kuwaza kuikimbia nchi!
Kama watu wanajitoa mhanga kwa nchi yao, huoni ni aibu kwa mtanzania ati anatafuta ukimbizi kwa kuwa azima yake ya kujiteka (kiki) haikufanikiwa?
 
Kuwa mkimbizi kuna athari zake. Oscar Kambona angekuwa hai angesimulia. Aliishi maisha ya dhiki na upweke sana Uingereza.
 
Mtoa uzi noncense kabisa.nondo keshasema alikuwa analelewa vizuri mahabusu, kwanza katoka amenenpa, halafu unamlisha maneno ya kipumbavu akaendelee kusema uwongo. So kwa akili yako ya matakoni umeona wazungu ndo bora sana kuliko wewe, si ndio. Hata wewe nenda kawaambie hivyo ili wakugegede washeli lako
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA

Kama hakufanya hayo makosa, ushauri utakuwa upi?
 
Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU

Huu woga wako ndio dhiki yako ajishushe for what hivi ninyi halafu utajikuta wewe ni mwanaume? mwanaume my foot........... hata familia utaiombea kwa jirani wewe acha ujinga na kumwelekeza mwenzako awe zuzu kama wewe
 
huo ni ukweli100%. mipango ya kumsimamisha chuoni amri toka juu...
Kama jambo hulijui uliza usaidiwe,ni sheria ya chuo inayotamka kwamba mwanafunzi anapokuwa anakabiliwa na kesi basi uongozi wa chuo unayo haki ya kumsimamisha masomo hadi kesi imalizike
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Aombe msamaha kwa kosa lipi ?
 
Huu woga wako ndio dhiki yako ajishushe for what hivi ninyi halafu utajikuta wewe ni mwanaume? mwanaume my foot........... hata familia utaiombea kwa jirani wewe acha ujinga na kumwelekeza mwenzako awe zuzu kama wewe
Huyo ameamua kumpotosha makusudi
 
Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
Ni jambo la.msingi sana dogo aangalie maisha yake binafsi badala ya kuendeshwa na Wanasiasa uchwara hawa. Tunaomkumbuka aliyewahi kuwa Rais wa DARUSO miaka ile ya mwishoni mwa 1980 Matiko Matare ambaye alikuwa mtoto wa mkulima alivyokuwa anausumbua Utawala wa Rais Mwinyi aliishia wapi? Hayupo kabisa kwenye uso wa Dunia hii kwa sababu ya kutumika vibaya.
 
na mawasiliano yake muhimu asiyafanye kwa namba yake aliyoizoea maana lazima wanamdukua,si ajabu hata namba ambazo huwa zinamdukua pia wanazidukua
 
Ndio maana tunashaur dogo ajishushe tu aombe msamaha hata kama NI KWELI SERIKALI NDIO INAHUSIKA KATIKA UTEKWAJI WAKE...He is young and still have a long way to GO......Mwenye nguvu mpishe TU
Sasa ataomboaje msamaha wakati yy ndio ameonewa ? Inabidi aende ubalozini kama alivyishauriwa
 
Aende akampigie bashite magoti, ndani ya wiki kesi inafutwa na chuo anarudi. Na uongozi uvccm anapata.!!
Mtumikie kafiri upate ujira!!!!
 
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Kama hakufanya makosa na anaonewa, unamshauri afanye nini?
 
UNA UHAKIKA KAMA HAKUTEKWA?
 
Back
Top Bottom