Bahati mbaya sana nao wanasoma hizi threads umeanika mno nje. Hivyo akienda watajua kafundishwa!!Bahati mbaya sina namba ya Abdul Nondo ningempigia na kumpa huu ujumbe.
Wenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie ujumbe huu. Mwenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie wazo hili.
Ukweli ni kwamba sioni usalama wako pia na uendelevu mzuri katika masomo yako, wewe kama kiongozi wa mtandao wa wanafunzi ilikuwa ni haki yako kutoa tamko kulingana na nafasi yako na tukio la mauaji ya mwanafunzi mwenzenu.
Wasiwasi wangu ni kwamba kuna watu wana chuki kubwa juu yako, hivyo nahisi unaweza kuuawa au kutekwa na ukapotea moja kwa moja, na kwa namna hali ilivyo, wakisha kuteka zitabaki siasa kuwa tulitahadharisha kuwa watekaji wanaweza kumteka tena, zinapigwa story matokeo yake utaanza kusahaulika kama Ben Saanane.
Kumbuka kwa sasa wauaji na watekekaji wana enjoy freedom kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru.
Nakushauri kwa haraka sana fanya ifuatavyo;
Kwa kuwa wewe ni mwanafunzi na hauna kipato, kimbilia ubalozi wowote wa nchi za Magharibi ulioko hapa Tanzania (hasa Marekani). Waeleze juu ya wasiwasi wa maisha yako, waeleze namna iliivyokuwa wajibu wako kutoa tamko kama kiongozi wa wanafunzi, waeleze mateso uliyopitia ukiwa lock up, kisha omba wakuondoe nchini kwa ajili ya usalama wako, omba wakupe scholarship usomee hukohuko na utapata elimu nzuri sana utafurahi.
Mimi nina uhakika Jogoo wa dunia Marekani watakubali ombi lako. Mimi naamini kwa matukio ya mauwaji na utekeji lazima ombi lako litakubaliwa.
Tofauti na hapo sioni future yako honestly ndiyo maana umeona hata kule chuoni kwako tayari wameanza kubana, naona giza.
Ninyi ndio mnasababisha haya lakini soon n very soon wengi wenu karibu mtapata visa za bure kwenda magereza ya mahakama ya ICC.Naona mmeibua mbinu mpya ya kujipatia visa ya bure, zamani watu walikua wanazamia meli, ila tunawaomba muachane na hii njia maana inahatarisha amani yetu. Ni hayo tu.
Kama huna macho na masikio hunaUnamshauri mtu aliyejiteka ili apate hadhi ya ukimbizi,mbona mnalazimisha Watanzania tuwe na maisha ya ukimbizi wakati sura hiyo hatunayo nchini kwetu...!!!!
Usitumike vibayaUtafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Mnachotakiwa kujua nchi za magharibi zinataka kuweka utawala utakaoziwezesha kukwapua rasilimali zenu cha kushangaza mnazishabikia kama vile hamkuona yaliyotokea LibyaPamoja na kwamba sina uhakika kama ombi lake kwa ubalozi wa nchi yoyote ya magharibi litakubalika, ila mengine ni ukweli mtupu. Achukue tahadhari.
Yani aombe msamaha kwa watekaji?!Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Hizi propaganda za kipuuzi ndio mnalishana kwenye vikao vyenu huko LumumbaMnachotakiwa kujua nchi za magharibi zinataka kuweka utawala utakaoziwezesha kukwapua rasilimali zenu cha kushangaza mnazishabikia kama vile hamkuona yaliyotokea Libya
Kumuomba Magufuli Msamaha? Kwa kosa lipi? Mimi naungana na mtoa wazo la kuomba hifadhi, atarudi nchimi mara baada ya Magufuli kuondoka madarakani au hili wimbi la utekaji na mauji kukoma. Binafsi sioni kosa alilofanya huyo dogo mpaka aombe msamaha.Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Nenda kaombe msamaha wewe!Amna haja ya kuogopa akomae Hapa Hapa TZ ndo nch yake hii namna nyingine yakuwA salama aombe msamaha tu
Na kama hakushauriwa /kushawishiwa na mtu na pia ni kweli jambo lilitokea unamshauri afanye nini?Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....
Kama kweli unamtakia mema jambo zuri hapa ni kumshauri kama kweli NAFSI YAKE INA MSUTA alifanya makosa kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya na baadhi ya watu....ATOKE ADHARANI AKILI alifanya makosa na aombe msamaha kwa SERIKALI,this will help...
Nondo bado bwana mdogo sana he still have a long way to GO.....Me naamini kabsa hata kwa sasa anajuta kwa nini alifanya hivyo...Ndio maana tunasema hivi SIASA mchezo mchafu sana ukiingia kichwa kichwa LAZIMA ILE KWAKO.....hata hao kina WANAOWANYOOSHEA wenzao mikono ikatokea MWENYEZI MUNGU akatufunulia yaliyonyuma TUNAWEZA MUOMBA MAGUFULI MSAMAHA
Hivi huu mtandao wake umesajiliwa wapi? Na unajiendeshaje?wewe kama kiongozi wa mtandao wa wanafunzi
Utafanya mwenzio awe mkimbizi for the rest of his life na asije ishi maisha ya AMANI huko unapomshauri akimbilie (Huku kunaitwa kusaliti nchi)...huu ushauri haupo sawa kabsa.....