Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Nilishangaa kuona imeandikwa "hapa kazi tu"!!

Wasipofuta hili neno sintokaa nipande hili lindege...bora nikapande kenyaaiways, rwanair na ethiopia airline...
Upande kwenda wapi?We endelea kugombania daladala
 
Nilikuwa airport asubuhi nikashangaa,nilijua CCM ndio wametengeneza hiyo ndege kumbe tumenunua . Seriously tunaacha kazi za msingi tunaenda kuishabikia ndege kuanza safari yake ya kwanza .Watanzania tulikofikia siko wenzetu wanatengeneza nasisitiza wanazitengeneza nyingi tu sisi kamoja utafikiria tumetua mass tusibweteke Watanzania safari bado Ni ndefu Sana Kama ndege tu tunaacha shughulike zote na kupokea . Anyway hongera Raisi wetu tunashukuru tungeshangilia Nini kwa mfano Maine Seema Nina wivu jamani Ni mawazo yangu ya kishamba
Huko sahihi kabisa
 
Kwani mlikatazwa kuvaa gwanda zenu?
Wangevaa sidhani kama angeruhusiwa, flana za lissu, picha za lissu tu mnaziogopa itakuwa gwanda, unakumbuka yule kaka na saloon yake alivyolazimishwa kung'oa bango la sura ya lissu, akagoma mkamlaza ndani mkaenda wenyewe kuling'oa, flana nazo zenye uso wa lissu mkawa mnawakamata, sasa angevaa nina uhakika mngemchomoa tu asingeweza panda mpaka abadilishe
 
Uswahili taabu sana yani watu wanafanya na promo kabisa.ingekua imetengenezwa bongo sijui ni kingetokea.

Ile iliyo kwama mwanza hawaizungumzii tena
 
utafikiria tumetua mass
Mass ni wapi?

QUOTE="UPOPO, post: 27759525, member: 33519"]safari bado Ni ndefu Sana Kama ndege tu tunaacha shughulike zote na kupokea[/QUOTE]

Vipi na wewe unaacha shughuli zako kuingia na kunadika mistari JF; kuzungumzia ndege hiyo hiyo?

Siasa za kupinga maendeleo zime-backfire. Walilolianzisha sasa wanalalamika kulimaliza. Siasa ni sayansi ati!
 
Wiki ya mwanzo tu kaka itajaa, baadae watarudi kama mwanzo, kama vile ndege za tbr na kigoma,
Hawa ni mawazo yako mkuu,mtu aache kupanda Dream Liner apande Fastjet,wewe vipi?Hapo tumeshakomba abiria,Fastjet na wengine walie tu.

Usisahau hata hivyo mkuu kwamba hiyo sio route yake,ni trial run to.Route yake initially itakuwa Singapore na Mumbai,halafu baadae Peking na London.Unaoneje hiyo mkuu.
 
Last edited:
Usisahau hata hivyo mkuu kwamba hiyo sio route yake,ni trial run to.Route yake initially itakuwa Singapore na Mumbai,halafu baadae Peking na London.Unaoneje hiyo mkuu.
Hakikisha wanawalipa IATA kwanza ndio ataanza kwenda huko, nasikia ni hela ndefu sana, na tukisema tuwe joint venture na mashirika mengine ya nchi, hapo tutapigwa kuliko kwenye madini na airtel
 
Hakikisha wanawalipa IATA kwanza ndio ataanza kwenda huko, nasikia ni hela ndefu sana, na tukisema tuwe joint venture na mashirika mengine ya nchi, hapo tutapigwa kuliko kwenye madini na airtel
Hiyo ni husuda tu,kama wengine wameweza sisi ni zaidi.Kununua ndege saba kwa kipindi kifupi cha miaka miwili si mchezo, tena cash!
 
Hiyo ni husuda tu,kama wengine wameweza sisi ni zaidi.Kununua ndege saba kwa kipindi kifupi cha miaka miwili si mchezo, tena cash!
Wala sio husuda kwani ni kodi yangu, tuwalipe iata ndo tuanze hizo safar
 
Huenda abiria wa kujaza hiyo ndege wametoka Lumumba na huenda pia kodi zetu zimehusika.
Tetesi zinadokeza kwamba nusu ya abiria walilipiwa nauli na huko walikoenda hawakuwa na shughuli yoyote , lengo likiwa kuwalaghai wadau waliopinga ruti za ndani , mfano wa Karibu kabisa ni Humphrey Polepole huyu hakutoa nauli ila alipewa tiketi , na wala hakuwa na ratiba yoyote ya kazi huko kilimanjaro
 
Wala sio husuda kwani ni kodi yangu, tuwalipe iata ndo tuanze hizo safar
Labda wewe ni mtoto wa mama wa kambo,si unajua wao kila tunalofanya baya.

Hata hivyo tutawalipa mkuu,pesa ipo,usitie shaka.
 
Nasikia mheshimiwa alitaka kupanda na vuvuzela wakalizuia maafisa usalama pale airport akaambiwa watamhifadhia
 
Nimekuja kugundua kumbe polepole ni msahamba sana....i wish to know background yake
Screenshot_20180729-175232.png
 
Labda wewe ni mtoto wa mama wa kambo,si unajua wao kila tunalofanya baya.

Hata hivyo tutawalipa mkuu,pesa ipo,usitie shaka.
Hahahaha, walipeni wastaafu wa hilo shirika mpaka sasa wanalia hamtaki walipa, halafu mnadai pesa ya kukopa ipo
 
Mass ni wapi?

QUOTE="UPOPO, post: 27759525, member: 33519"]safari bado Ni ndefu Sana Kama ndege tu tunaacha shughulike zote na kupokea

Vipi na wewe unaacha shughuli zako kuingia na kunadika mistari JF; kuzungumzia ndege hiyo hiyo?

Siasa za kupinga maendeleo zime-backfire. Walilolianzisha sasa wanalalamika kulimaliza. Siasa ni sayansi ati![/QUOTE]
Haa ndio mtazamo wako hongera.I respect your opinion wote sisi ni Watanzania.Big up
 
Back
Top Bottom