Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Itajaa siku za mwanzo tu baadae itakuwa inaenda na watu 10 tu, hao wa leo makada ni comp tu hizo, nitapanda hiyo kama ndege nyngine haziendi hiyo sehemu kama vile tabora, au nikishaona maji yako shingoni na nyingine zimejaa,
Sina tatizo.
 
Alisafiri kwenda Mwanza na, KLM?.. Alikua na shughuli huko au ndo kuunga mkono juhudi ,,,,,,,,,,,
 
Tanzania ya wapumbavu na wajinga ccm.Safari ni ndefu sn.
 
Alisafiri kwenda Mwanza na, KLM?.. Alikua na shughuli huko au ndo kuunga mkono juhudi ,,,,,,,,,,,
mtu asielipa nauli si unajua fujo zake mkuu? ni zaidi ya waliolipa tena anafany sias ndani kabis mithili ya wale wahubiri wa mabasi
 
Nilipoona kila mkuu wa Idara analazimishwa kuwa na ILANI ya CCM nikajua ipi siku nyumbani baba atamwambia mama awe na Ilani ya chama chake.
 
wakuu nimeshangazwa na hiki kitendo mno ivi kulikua na umuhimu gani polepole kuvaa nguo za chama na kupeperusha bendera wakati ndege ya Ikiwasili mwanza na kilimanjaro maana yake ndege ni ya wanaccm au watanzania kwa ujumla hivi hawaoni wanagawa matabaka nchini?
ndege ile ni mali ya chama cha mapinduzi au mali ya watanzania wote?

ni fedha za chama cha mapinduz zimenunua au ni fedha za walipakodi wa tanzania?

tujitafakari,,,,,,,,,,,
Mazingaombwe yakiisha lazima kuokoteza, katika harakati za kuchelewesha kuchokwa. Mjini hapa.
 
kuvaa nguo za chama na yule ni kiongozi na kuanza kusema sifiem oye huo ndo ushamba wenyewe babuuuu
Mavazi ya Polepole ni matakwa yake binafsi. Maneno ya kuoyesha chma chake ni kuonesha furaha yake. Hakuna aliyelazimishwa kuitikia maneno yake. Si wahudumu wa ndege wala rubani na msaidizi wake walioshiriki unachoita siasa. Hapo hakukuwa na siasa zozote ila hisia za chuki zako binafsi dhidi ya mafanikio ya wengine.
 
wakuu nimeshangazwa na hiki kitendo mno ivi kulikua na umuhimu gani polepole kuvaa nguo za chama na kupeperusha bendera wakati ndege ya Ikiwasili mwanza na kilimanjaro maana yake ndege ni ya wanaccm au watanzania kwa ujumla hivi hawaoni wanagawa matabaka nchini?
ndege ile ni mali ya chama cha mapinduzi au mali ya watanzania wote?

ni fedha za chama cha mapinduz zimenunua au ni fedha za walipakodi wa tanzania?
tujitafakari,,,,,,,,,,,
Iwapo hiyo ndege iliruka na kutua ndani ya Tanzania tuhesabu hasara ya kwanza kwa Nchi
 
Back
Top Bottom