PreGE2025 Ushahidi Video: MwanaCHADEMA aliyepigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa. Je, polisi bado mnakana kwamba hamhusiki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi hakuna taarifa inayomhusisha Noeli na kwamba hakuna mtu yeyote aliyepigwa tarehe 24 Aprili 2025. Kwa ushahidi huu polisi bado mnakana kuhusika?

Pia soma Muliro awakana Makada wa CHADEMA wanaodai kuteswa, kutupwa porini

Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi hakuna taarifa inayomhusisha Noeli na kwamba hakuna mtu yeyote aliyepigwa tarehe 24 Aprili 2025. Kwa ushahidi huu polisi bado mnakana kuhusika?
View attachment 3320455
kwa polisi nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe ni waongo na mabaradhuli yaliyo kubuhu
 
Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi hakuna taarifa inayomhusisha Noeli na kwamba hakuna mtu yeyote aliyepigwa tarehe 24 Aprili 2025. Kwa ushahidi huu polisi bado mnakana kuhusi

Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi hakuna taarifa inayomhusisha Noeli na kwamba hakuna mtu yeyote aliyepigwa tarehe 24 Aprili 2025. Kwa ushahidi huu polisi bado mnakana kuhusika?
View attachment 3320455
Baba wa uongo ni shetani.
CCM na mazao/matawi yake yote ni waongo.
Hivyo CCM na mazao/matawi yake nayo ni baba wa uongo.
Hivyo basi, kwa maana hiyo, CCM na mazao/matawi yake yote ni ....
 
Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi hakuna taarifa inayomhusisha Noeli na kwamba hakuna mtu yeyote aliyepigwa tarehe 24 Aprili 2025. Kwa ushahidi huu polisi bado mnakana kuhusika?
View attachment 3320455
Mliambiwa msiende Kisutu mkalazimisha kwenda hayo ndio matokeo yake sasa mnatafuta huruma kutoka kwa nani?

Nawapongeza sana wana Dar es salaam waligoma kwenda Kisutu wakaenda viongozi wa Chadema tu na kipigo wakakipata cha kutosha na wakajifunza, ndio maana tarehe 28/04/2025 hawakutokea na wao wakatii sheria bila shuruti. 🤣🤣🤣
 
Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi hakuna taarifa inayomhusisha Noeli na kwamba hakuna mtu yeyote aliyepigwa tarehe 24 Aprili 2025. Kwa ushahidi huu polisi bado mnakana kuhusika?
View attachment 3320455
Watu mnakatazwa lakini hamsikii mtavunjwa sana miguu kila mchuma janga atajijua tena siku hizi serikali haipendi mambo ya maandano mtaumizwa sana
 
huyo ni mhalifu hao ndiyo walikuwa wanaleta fujo mahakamani na akadhibitiwa halafu mnyika nakuja kuleta porojo hapa yaani mnyika anatakiwa akamatwe awekwe ndani kwa kuchapisha uchochezi kunguni mmoja huyu
Wewe ni mbwa
 
Back
Top Bottom