Usha flirt naye sana

Cantalisia,

Mimi tabia ya kuwahi eneo la tukio na kukaa mahala ambapo sipo ilikuwa inanisaidia sana, kwa mfano unamwambia upo kwenye counter kumbe ukakaa ndani ya gari hushuki unaangalia tu pale mahali.

Lakini mimi zaidi nilifanya kiusalama coz unaweza kuwa unawasiliana na binti kumbe ana kijeba chake kinastukia kinapokonywa simu wanakuja wote halafu inakuwa balaa bin valangati :lol::lol:

aisee kumbe weengi humu mnaanza ku kiri lol
 
embu watu rudini na ID zenu za Darhotwire,

PapaK kasharudi, wengine vipi??, hakika inawezekana watu wengi tunafahamiana humu, basi tu

dah ID ya DHB mie nilitumia jina la ukweli siwezi hata kuliweka hapa umenikumbusha mtu mmoja alikuwa anaitwa....A...T..A sijui yuko JF
 
kiukweli nilikuwa napenda nijuane na wana jf japo wawili watatu,nikutane nao tutie story ila sio kimapenzi.lakini kwa hali hii,bora nisijuane na mtu humu.tutaishia humu humu.wengine kazi kuchorana tu

hahaha Kisukari bwana unakutana nao tu na imani JF wapo wanaojiheshimu na kuheshimu privacy za mtu...
 
Firstlady,

Mi mwenyewe nimembaini dogo mmoja kijana wangu wa ofisini sasa hivi namchora tu, anapenda kweli kuja humu MMU na jina lake namjua nakuwa makini sana asinikamate na mimi :lol:

hapo kweli inabidi uwe makini tu ..maana akishajua huyo ndo boss anaanza kuview profile yake hehe sipati picha.
 
Cantalisia,

Mimi tabia ya kuwahi eneo la tukio na kukaa mahala ambapo sipo ilikuwa inanisaidia sana, kwa mfano unamwambia upo kwenye counter kumbe ukakaa ndani ya gari hushuki unaangalia tu pale mahali.

Lakini mimi zaidi nilifanya kiusalama coz unaweza kuwa unawasiliana na binti kumbe ana kijeba chake kinastukia kinapokonywa simu wanakuja wote halafu inakuwa balaa bin valangati :lol::lol:
Hii kwa wanume ni nzuri kubaki ndani ya gari usikilizie situation imekaaje maana,
Mie nilidanganya mpaka nguo nilizovaa na nilipokaa,
Ndio maana hata nilipopishana naye hakunistukia,
Haya mambo yanahitaji umakin sn,bora kujuana kwanza hata kwa picha za fb ndio mambo mengine yafuate.
 
Maisha yenyewe mafupi bora uyarefushe , mambo ya kutolewa ngeu kwenye ki blind date "AKU"

Hiyo idea ya kuanzia FB imekaa bomba!
 
wana jamvi,

hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana pm, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana.

Hamad!!! Unakuja kukutana na subordinate wako wa ofisini ambaye mnaheshimiana sana ana kwita boss na ni sehemu ya timu yako mnafanya kazi kwa karibu na huwa unamuwekea uso wa mbuzi ofisini ukijidai eti upo serious hutaki ujinga ujinga.

Dah utafanyaje mwana mmu?

mbona kama unanitonesha kidonda? Ilinitokea hii, sitaisahau. Ila nimeapa sintakuwa tayari kukutana na yeyote
 
Cantalisia,

Uwe unakumbuka pia kuweka simu yako kwenye silent mode maana inaweza kuku betray.
Hahahaha,
Mkuu ishu ya silence ndio style ya maisha yangu aisee,
Hiyo kweli inaweza haribu mpango mzima lol!
Kuna rafiki yangu ana simu yake ya mchina huwa haina silent mode,
Tulikua tukiingia lekcha anaizima na kutoa betrii kbs,
Ikabidi nimuulize kwann anatoa betrii,
Asema hiyo cm hata akiizima mtu akipiga inajiwasha yenyewe na kuanza kuiita na ivo haina silen mode ndio kbs inaharibia pozi,
Nilicheka sana!!
 
Yaani Canta kumbe mmesoma majuzi hivi wakati mnaenda kabisa na simu za mikononi darasani? wenzio tumemalizaga iyo makitu wakati simu za mkononi hazipo kabisa. haya niamkie tena....:A S embarassed:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom