Usha flirt naye sana

Usha flirt naye sana

Quote of the decade! Babu ameiprint hii na kuiweka kwa shelf ya moyo wake. Na unapowekwa kwa shelf ya moyo wa ODM you automatically become his property. All right reserved!

hommie hapo usisahau "vigezo na masharti kuzingatiwa"
 
kwa vile tu haihasemwa, haina maana kuwa imekatazwa...wareva......ivi ulisema Canta anakuja with au without?:juggle:

halafu ukinionea shemeji yangu ZD, mwambie A 'come this way'
Hommie, please use that way.... This way belongs to me lol.... Anyway, wareva. With or without...
 
Quote of the decade! Babu ameiprint hii na kuiweka kwa shelf ya moyo wake. Na unapowekwa kwa shelf ya moyo wa ODM you automatically become his property. All right reserved!

Am humbled (Source: AshaDii)
 
Darling Kaizer

Zingatia haya maagizo: Naomba niondoke chakula ulichoagiza leo will take me forever kuandaa...... Mkimaliza hapa naomba uje na woote wataotaka kuja for I am going to cook for about ten people hivi.... Mhakikishe mnapokuja na ODM, MJ1 awepo pembeni pamoja na Zion D, Michelle tafadhali ampitie Cantalisia.... Mwali ampitie Golden Mpoleee. Rejao, Rocky Maundumla naomba utaja nao wewe. Akina Husny, King', Sweet L, Happuch, wapo nyumbani tayari... Of coz walipelekwa na Lawyer Kloro.... BTW mwambie Kongosho aache swagger zake za kukataa mialiko.....lol

Love to you all....
 
hello Pipoz!

Nataka kusomea jinsi ya kuchangia hii sredi.
Nimeshindwa kabisa, kila nikijaribu kukopu nayo nashindwa.
Bora niwasalimie tu, ila nawatamani mnavyojibizana.
 
Darling Kaizer

Zingatia haya maagizo: Naomba niondoke chakula ulichoagiza leo will take me forever kuandaa...... Mkimaliza hapa naomba uje na woote wataotaka kuja for I am going to cook for about ten people hivi.... Mhakikishe mnapokuja na ODM, MJ1 awepo pembeni pamoja na Zion D, Michelle tafadhali ampitie Cantalisia.... Mwali ampitie Golden Mpoleee. Rejao, Rocky Maundumla naomba utaja nao wewe. Akina Husny, King', Sweet L, Happuch, wapo nyumbani tayari... Of coz walipelekwa na Lawyer Kloro.... BTW mwambie Kongosho aache swagger zake za kukataa mialiko.....lol

Love to you all....

sawa love hiyo imepita. Kwa vile leo nimetoka na Noah, nikishawapitia hao nitampitia Canta na Michelle pia ili wawahi ile kazi yao maalum😛oa

halafu ODM katika kufanya mazoezi atawahi kuchinja mbuzi....
 
Techinique ya ku meet na watu dizain hiyo (Ambao you have never met before) ni kama ifuatavyo:
Bana mahali,mwambie " ukifika sehemu X nistue through 4ne mie ntakuambia nimevaa nguo gani na niko sehemu Y (Piga changa)then na wewe utanambia umevaa Nguo gani" Ukimuona kama ni either Kimeo kama Kongosho, au mtu dizain ya Mguswa kwenye huu uzi, Ua soo, zima simu Tambaa fastaaaa...baadae omba excuse kuwa 4ne ili go off charge na koma ku initiate nae meeting tena.
Wapi Washawasha, Nalog off
 
Darling Kaizer

Zingatia haya maagizo: Naomba niondoke chakula ulichoagiza leo will take me forever kuandaa...... Mkimaliza hapa naomba uje na woote wataotaka kuja for I am going to cook for about ten people hivi.... Mhakikishe mnapokuja na ODM, MJ1 awepo pembeni pamoja na Zion D, Michelle tafadhali ampitie Cantalisia.... Mwali ampitie Golden Mpoleee. Rejao, Rocky Maundumla naomba utaja nao wewe. Akina Husny, King', Sweet L, Happuch, wapo nyumbani tayari... Of coz walipelekwa na Lawyer Kloro.... BTW mwambie Kongosho aache swagger zake za kukataa mialiko.....lol

Love to you all....

Love to you dearest...see you soon....!
 
sawa love hiyo imepita. Kwa vile leo nimetoka na Noah, nikishawapitia hao nitampitia Canta na Michelle pia ili wawahi ile kazi yao maalum😛oa

halafu ODM katika kufanya mazoezi atawahi kuchinja mbuzi....

Kwa faida ya waalikwa hapo "mbuzi" pasomeke "beberu" au kwa wenye mapengo "ndafu". Msikose
 
Michelle anajua umuhimu wa what you have done mdogo wangu.... Usiogope....lol....

Asavali mweee!nishaanya kupata hofu na kuyaonja machungu ya kazi mlonipa lol!i trust u big sisy hope na michelle mori yake itakua ishashuka lol!
 
@Michelle:Kwanza nashukuru kwa kunisamehe,pili mie nilikua namkumbusha tu shem wangu,kwamba niko kazin,alafu wala ckukusemea sisy mwenyewe alikua anafatilia kwa karibu nikakosa namna ya kumalat shem,ndio sisy akalianzisha,kwa sasa najipa likizo bila malipo kwa mwezi ili nikirudi nikute japo umeanza kutabasam na furaha yako kurudi,amin naheshimu mahusiano yako na sisy wangu ilikua ajali kazin tu.
 
Du mi imenitokea majuzi tu hapa ubungo,aliniambia atakapokuwa,mi nkawah nusu saa kabla hajafka,,kumbe bonge la mmama kwa nin nisisingizie nimepata dharura?mpaka leo kimya lakini yeye alikuwa kakosea namba ya simu tukaanza kuchat!
 
@Michelle:Nipo nimerudi baada ya kusikia wito kuwa umenisamehe,japo huna mpaka sasa cjajua nitairudisha vp maana najikuta nami napoteza furaha gafla!
 
Pamoja saana Michelle, Pamoja saana Dear.... Hii post carries my own words thus the blue is reciprocated.... Nashangaa tu nae Sweetie kakimbia sijui, lol. Saizi nawaamini you can go on, or mood imevunjwa tayari?

Nakwambia Cantalisia ni mwoga huyo! lakini atarudie mwenyewe na kukusoma hapa....

Big sisy nimerudi but,nisaidie namna ya kurudisha furaha ya Michele!
 
Thanks dear...hapana hatuwezi endelea....tunaweza kukwaza tena...Cantalisia yuko anazunguka kote Kaizer anakopita...kazi kweli!

Jaman endeleen tu,kwa vile mwenyewe kesharuhusu mie wala hainikwazi kbs Michelle mpaka nitakapo pokea maelekezo mengine!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom