Usha flirt naye sana

Usha flirt naye sana

Yaani tangu nimeingia hapa hakuna aliyequote post yangu hata moja. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Najitoa JF kuanzia leo. Manina!

Khaaaa!plz babu for the sake of well being ya wajukuuz ucjitoe tafadhal!otherwise utupatie mbadala wa kutukagua sawa sawa na viwango vyako!tafadhali babu,think babu think,source klorokwin!
 
Big sisy nimerudi but,nisaidie namna ya kurudisha furaha ya Michele!

Uwe na amani Cantalisia wangu,mimi niko na furaha sana leo...kwanza hili jambo lililotokea limeniweka karibu sana na wewe na nimejua kazi inayokuweka mjini....naheshimu sana kazi yako....tufurahi eeehhhh!!
 
habari yako Rejao, uko busy saana siku hizi... upo unadonoa tu my brother... Regards from Paw na Smiles with Love....
Waoooo! Nipo fine AD, sasa hivi nimerudi kamili..
How is Paw? Sijaona tena makeke yake.
Hope umenilindia Smile wangu kwa kipindi chote nilichokuwa on n off.
Tupo pamoja...
 
Waoooo! Nipo fine AD, sasa hivi nimerudi kamili..
How is Paw? Sijaona tena makeke yake.
Hope umenilindia Smile wangu kwa kipindi chote nilichokuwa on n off.
Tupo pamoja...

Mkuu issue ya Mpolee vipi siye mbona tunasubiri mahari au umegive up? Mbunge mtarajiwa yule
 
Mkuu issue ya Mpolee vipi siye mbona tunasubiri mahari au umegive up? Mbunge mtarajiwa yule
Hahahahah....mimi utaniweza? Kaizer...kwa hilo usihofu kabisa, nitaenda nao taratibu tu!! by then..dini yangu inaruhusu!!
 
Uwe na amani Cantalisia wangu,mimi niko na furaha sana leo...kwanza hili jambo lililotokea limeniweka karibu sana na wewe na nimejua kazi inayokuweka mjini....naheshimu sana kazi yako....tufurahi eeehhhh!!

Ni habari njema kwangu kutatana na ujumbe huu mtam kutoka kwako Michelle,na sasa nafunguka rasmi kuwa MM IKO FENDA SN WW sisy wa ukwe ee!am very happy!
 
Hahahahah....mimi utaniweza? Kaizer...kwa hilo usihofu kabisa, nitaenda nao taratibu tu!! by then..dini yangu inaruhusu!!
Wacha kujipa moyo, GM anachukuliwa na Mod sasa hivi. or rather kuna Mod anachukuliwa na GM. (source: GM)
 
Sasa we utapigana front ngapi jamani? Mbona mnatumia uislamu wetu vibaya???
Naomba nikupe hii Mwali!!
"Basi oeni wale waliokupendezesheni katika wanawake, wawili, watatu na wanne na mkichelea kutokufanya uadilifu basi mmoja.
Annisaa 4:3.
 
Naomba nikupe hii Mwali!!
"Basi oeni wale waliokupendezesheni katika wanawake, wawili, watatu na wanne na mkichelea kutokufanya uadilifu basi mmoja.
Annisaa 4:3.
Walikushindwa watu wa jukwaa la siasa ndio nikuweze mimi? we mtu unabishana na redio?
 
AAAAAAAAGHHH....Mwali hapo unauaaa!!! Ngoja nijifiche tu! :behindsofa:
hahahahaha, haya, ngoja nikurahisishie basi. si wamesema wanne? wataje sasa tuone wanafika ngapi.
 
Nlikuwa sijui hili lisred la kuflrt bado liko hewani... anyway.....
attachment.php
 
hahahahaha, haya, ngoja nikurahisishie basi. si wamesema wanne? wataje sasa tuone wanafika ngapi.
bado nazidi ku-update list! Naona ka Mwali nawewe unaweza ukaingia(Joke)....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom