Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Unataka wewe kama nani?

Ushahidi juu ya hili unaihusu kamati kuu y chadema na sio kwa jf,

Unataka ushahidi wa video? Audio? Picha? Au?

Nimesema sisi tushamaliza kazi, jukumu la mwisho na maamuzi magumu yapo chini ya kamati kuu ya chadema,
Na wewe ni kiongozi wa Chadema unatoa matamko? Teh teh teh
 
Best nakusapoti kabisa,lema ni kiongozi mwandamizi,haya anayosena yana ukweli lakini yanavuruga chama,kwanini asimshitaki zitto rasmi kwenye ngazi husika? Kiherehere chote hichi kina nia yakutuvuruga.Halafu kuna mwanga anaitwa saa8,naye ni mjumbe wa sekretariet,anasapoti ujinga.

Mimi naamini hakuna taasisi yenye watu malaika mtu anapokosea wazi wazi lazima tumwambie na hili alilofanya lema huwezi kulitenganisha na alilo lifanya mwigamba.

Lema amepotoka na ambao tunatakiwa kuwa wa kwanza kumwambia.
Lema amepotoka kabisa kabisa na lazima aambiwe ukweli.
Nilikemea njia aliyo tumia mwigamba haikuwa na sahihi kabisa hivyo hata hii ya lema amekosea kama mwigamba.

Lema amepotoka kabisa na lazima aambiwe hatutaki haya mambo ya kuja kwenye mitandao kituhumiana wakati kuna njia nzuri za kufikisha malalamiko yake.

Godbless J Lema acha kutuvuruga umepotoka kabisa.
 
Last edited by a moderator:
k......***** zako wewe ben msukule wa slaa mnataka mtuulie chama kwa mambo yenu ya kijinga,Hata muwe 1000 wewe na shoga mjinga mwenzako Lema hamna ubavu wa kupimana ubavu na zzk yule anapigania maslahi ya watz sio kama nyinyi mnaoendekeza matumbo yenu na kugeuza chama ni NGO yenu mazafanta nyie. Nakwambia tena ........***** zako wewe SIOGOPI BAN

Leo mtatukana matusi yote maana hamna uwezo wa kujenga hoja zaidi ya ujanja ujanja na unafiki tu.Turudi kwenye hoja.

Je wanafiki na wasaliti sio kikwazo cha Mabadiliko?

Je Lema kuwasema Wasaliti amekosea wapi?Ni kanuni au sheria zipi amekiuka?

Punguza hasira tujadiliane!
 
Dah!!!!!! Wapi mods?
 
Yaani Lema awe na ambition finyu ya kuja kukanusha utumbo ulioandikwa humu ili jamaa apewe ban tu?

Yule jamaa yuko jikoni na analeta ushahidi humu tena kisha kwambia atakulamab ngumi makao maku. Kwi kwi kwi.

Naona umeanza kuogopa ushahidi kwani bosi wako Dr.W.Slaa alipodai ushahidi akaadhiriwa humu kwa kumwagiwa ushahidi na Chabruma. Akakaa kima kama kuku aliyerowa maji. Na wewe ukashindwa hata kumtetea.

Inatisha!
 
urojoooooo
 
Last edited by a moderator:
lema lema lema, be specular with what ur presenting, '' no researching, no right 2 speech, unless otherwise u will be bringing a fallacy 2 us. Nakushaur kamanda lema, Pitia coment zote, na maswali yanayokuhusu , uyatolee ufafanuz, ili watanzania wakuelewe ulichokua, unamaanisha.
 
Yule jamaa yuko jikoni na analeta ushahidi humu tena kisha kwambia atakulamab ngumi makao maku. Kwi kwi kwi.

Naona umeanza kuogopa ushahidi kwani bosi wako Dr.W.Slaa alipodai ushahidi akaadhiriwa humu kwa kumwagiwa ushahidi na Chabruma. Akakaa kima kama kuku aliyerowa maji. Na wewe ukashindwa hata kumtetea.

Inatisha!

Hicho kiherere na nguvu zako ungezielekeza kwenye darasa la kiswahili ujifunze kuumba sarufi na kuandika kwa kiswahili fasaha.
 
Last edited by a moderator:
Kimsingi Chadema imekatika vipande viwili kambi ya kaskazini na kambi zingine ambao ndiyo wengi kambi ya Zitto Kabwe.

Zitto Kabwe na kambi yake hawawezi kukubali kuwa watumwa wa kambi ya kaskazini kutokana na msimamo wao kuwa Chadema wameijenga toka muda mrefu wakati hawa kina Lema na Dr.Slaa walikuwa hawapo.

Zitto Kabwe kajiunga Chadema toka ana umri wa miaka 17 hawa wanaopambana naye kwenye mitandao wamejiunga Chadema juzi tu.

Chadema wanaelekea kwenye uchaguzi mkuu huku wapo makundi mawili.

Lema anajidanganya sana pamoja na wenzake kuwa watabaki salama kumshambulia Zitto.
 
Hivi watu wenye akili ambao hawana upande wanaoushabikia
kama Baregu na Safari wanasemaje na haya yoote yanayooendelea?

ni kweli chama kimefika hii low point ya hooliganism ya kina Lema?

Mkuu The Boss lema amepotoka na hakuna kiongozi atakaye tumia njia kama yake hasa kwenye mitandao lakini najua kwenye vikao vyama ndipo anapo takiwa kukemewa.

Lakini wenye nafasi ya kumkemea humu kwenye mitandao ni sisi wanachama.

Mimi nasema tena huu utoto wa lema alio ufanya una kivuruga chama kabisa.

Lema amepotoka kabisa alitakiwa akajenge hoja kwenye vikao vya chama si hapa na thread ya kuvuruga watu kama hii.
 
Last edited by a moderator:
Leo mtatukana matusi yote maana hamna uwezo wa kujenga hoja zaidi ya ujanja ujanja na unafiki tu.Turudi kwenye hoja.

Je wanafiki na wasaliti sio kikwazo cha Mabadiliko?

Je Lema kuwasema Wasaliti amekosea wapi?Ni kanuni au sheria zipi amekiuka?

Punguza hasira tujadiliane!
Hivi wewe out of JF nani anakujua tz hii, unajifanya msomi kumbe m.p.u.u.z.i flan tu, wasomi hawatumiki kama lady pepeta kama Dr.slaa anavokutumia. Mwenzako zzk kajipambanua kwa kutetea maslahi ya watz nikuulize wewe na misukue wenzako mmeutendea nini umma wa watz zaidi ya mipasho yako inayoboa daily humu jamvini. SHAME ON YOU..! katika kodi iliyowahi kwenda bure kwa kusomesha mizumbukuku kama wewe basi ni ile ada serikali ilokulipia....Uhh stay away from our party msije mkakiua kwa njaa zenu. LONG LIVE CDM
 
dah!!!!!! Wapi mods?

watu wamekunywa maji ya bendera kujenga chama halafu kina ben wanazingua. Lazima utukanwe tu,ukileta uboya utatukwanwa tu,eh kama unakosea na hukubalh lazma utukanwe tu.nami nasema watukanwe tu!
 
Kimsingi Chadema imekatika vipande viwili kambi ya kaskazini na kambi zingine ambao ndiyo wengi kambi ya Zitto Kabwe.

Zitto Kabwe na kambi yake hawawezi kukubali kuwa watumwa wa kambi ya kaskazini kutokana na msimamo wao kuwa Chadema wameijenga toka muda mrefu wakati hawa kina Lema na Dr.Slaa walikuwa hawapo.

Zitto Kabwe kajiunga Chadema toka ana umri wa miaka 17 hawa wanaopambana naye kwenye mitandao wamejiunga Chadema juzi tu.

Chadema wanaelekea kwenye mkuu huku wapo makundi mawili.

Siasa za ukabila.You're stooping too low.Kama kuna kiongozi au mwanachama wa CHADEMA ambae CCM mnamhusudu sana basi mchukueni akagombee huko kwenu.

Interesting indeed.....!
 
Safari yetu ya kubadilisha utawala inaonekana kufika ukingoni na nifuraha ya kila Mtu mwenye hisia ya ukweli katika maisha na ninapotazama mbali sana ninaona jinsi ambavyo Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa ni bahati mbaya sana uwezi kuwaepuka katika harakati hizi lakini tukiwa makini tunaweza kuwathibiti .

Kama Chadema leo itashindwa kuwachukulia hatua wasaliti wa wazi wa kazi hii njema ni vipi Chadema itaweza kuitaka Serikali na Rais iwajibishe Viongozi wake katika ufisadi na wizi wa mamilioni ? Na Wananchi lazima wajue lengo kubwa na muhimu la Chadema kwanza liwe kubadilisha fikra na mitazamo na kuupa UMMA elimu na mamlaka na nguvu ya kusimamia Taifa lao katika kuhoji ,kudadisi na kukemea , kwani UMMA usipojua wajibu wake katika kusimamia rasilimali na Taifa lao , ukweli utabaki kuwa Nchi itabadilishwa na kufanikishwa na Jamii iliyoamua kuishi matendo dhahiri ya ukweli na haki na sio unafiki na usaliti .

Viongozi wote wa Siasa wanatokana na Jamii kwa hiyo jamii Thabiti inayo furahia UTU ni Nchi bora tutakayoijenga lakini Jamii yenye woga na hofu na Sifa itazaa Taifa lenye usaliti na Wanafiki . Usaliti na Unafiki unaliangamiza Taifa sana . Maombi na Dua za Watu wengi kuelekea 2015ni kutaka kuona Chadema inachukua Nchi , lakini Dua na Sala hizi zina Imani kubwa na Viongozi wa Chadema na sio rangi ya Chadema , hivyo ni muhimu Chadema kuchukua hatua sasa ya kusafisha Chama na kama hatua hiyo muhimu ya kuondoa Watu wenye rangi mbili italeta madhara katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwamba tunaweza tusishinde dola basi madhara hayo ni muhimu kwani lengo letu lisiwe tu kwenda Ikulu bali kubadilisha fikra ya utawala katika kutenda na kuamua .

“ Ni bora Simba wakali mia moja walioko Nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani “ Chadema lazima ifanye maamuzi sasa ya kusafisha Nyumba yake la sivyo itakuja kujuta katika siku za mwisho , wasaliti wote waondolewe hasa yule Kiongozi wao kwani hakuna genge la usaliti lisilokuwa na Kiongozi , kuna Watu wengi Vijana wamekuwa wahanga na ndoto zao kupotea katika Siasa kwa sababu waliongozwa vibaya na Kiongozi mkubwa anayeratibu usaliti ndani ya Chama .

Mtu huyu wote tunamjua ni matumaini yangu Usaliti wake sasa utafika kikomo kama Chama kitaamua kuwa na busara za kutosha katika kujenga siku njema zinazokuja . Mtu huyu amefanya mambo mengi mabaya katika Chama yanayohusu usaliti na amewaponza Vijana wengi na kuangamiza ndoto zao kwa sababu ya mambo yake binafsi .

“ To me, the thing that is worse than death is betrayal. You see, I could conceive death, but I could not conceive betrayal.” Malcolm X

Lema Godbless - Mp

Unafiki ni kama huu una andika mafumbo bila kumtaja jina huyo msaliti Kiongozi! Taja jina uonekane na wewe sio mnafiki! Hapa Lema na wewe ni mnafiki huja taja jina la huyo unaemsema kuwa ni mnafiki
 
Hicho kiherere na nguvu zako ungezielekeza kwenye darasa la kiswahili ujifunze kuumba sarufi na kuandika kwa kiswahili fasaha.

Naona umeanza kuogopa ushahidi kwani bosi wako Dr.W.Slaa alipodai ushahidi akaadhiriwa humu kwa kumwagiwa ushahidi na Chabruma. Akakaa kima kama kuku aliyerowa maji. Na wewe ukashindwa hata kumtetea.

Vipi kichupa leo unacho? Posho za mwezi vipi, Josephine kawahisha au mtandao unakorofisha?
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe out of JF nani anakujua tz hii, unajifanya msomi kumbe m.p.u.u.z.i flan tu, wasomi hawatumiki kama lady pepeta kama Dr.slaa anavokutumia. Mwenzako zzk kajipambanua kwa kutetea maslahi ya watz nikuulize wewe na misukue wenzako mmeutendea nini umma wa watz zaidi ya mipasho yako inayoboa daily humu jamvini. SHAME ON YOU..! katika kodi iliyowahi kwenda bure kwa kusomesha mizumbukuku kama wewe basi ni ile ada serikali ilokulipia....Uhh stay away from our party msije mkakiua kwa njaa zenu. LONG LIVE CDM

Low IQ...Huna intelectual capacity ya kuhimili mijadala ya hoja zaidi ya personal attack.So stay away ....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom