Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Unafiki ni kama huu una andika mafumbo bila kumtaja jina huyo msaliti Kiongozi! Taja jina uonekane na wewe sio mnafiki! Hapa Lema na wewe ni mnafiki huja taja jina la huyo unaemsema kuwa ni mnafiki

Kwani wewe CCM hili bandiko la Lema hapa linakuhusu nini?
 
Kimsingi Chadema imekatika vipande viwili kambi ya kaskazini na kambi zingine ambao ndiyo wengi kambi ya Zitto Kabwe.

Zitto Kabwe na kambi yake hawawezi kukubali kuwa watumwa wa kambi ya kaskazini kutokana na msimamo wao kuwa Chadema wameijenga toka muda mrefu wakati hawa kina Lema na Dr.Slaa walikuwa hawapo.

Zitto Kabwe kajiunga Chadema toka ana umri wa miaka 17 hawa wanaopambana naye kwenye mitandao wamejiunga Chadema juzi tu.

Chadema wanaelekea kwenye mkuu huku wapo makundi mawili.

Kiburi chote cha LEMA mpaka kupiga wenzie na vitofali anakitoa kwa mwenyekiti. wametoka kijiji kimoja!
 
Kimsingi Chadema imekatika vipande viwili kambi ya kaskazini na kambi zingine ambao ndiyo wengi kambi ya Zitto Kabwe.

Zitto Kabwe na kambi yake hawawezi kukubali kuwa watumwa wa kambi ya kaskazini kutokana na msimamo wao kuwa Chadema wameijenga toka muda mrefu wakati hawa kina Lema na Dr.Slaa walikuwa hawapo.

Zitto Kabwe kajiunga Chadema toka ana umri wa miaka 17 hawa wanaopambana naye kwenye mitandao wamejiunga Chadema juzi tu.

Chadema wanaelekea kwenye mkuu huku wapo makundi mawili.
Ndugu unajidanganya tu,

Chadema ni wamoja na kikundi cha wasaliti ni mmoja tu aliyebeba w
 
Kaama hii ndio vetting ya JF mlioisema chadema, kwa Zitto imekula kwenu. Kwa utetezi alioupata humu, ni nani anaeweza kumfukuza kama mlivyomfukuza Mwigamba? Mawee.

Magwanda mnajuwa mkimfukuza Zitto na chadema ndio hata JF sijui kama itabaki, maana naona humu zaidi 80% wanamkandia Lema na kumtetea Zitto.

Zitto, namna hiyo, wewe tazama senema ya bure tu.

cc Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Hayafanani.Lema hapa katoa general statement kwa ID yake verified tofauti na aliyeandika tuhuma za uongo kuchafua chama na viongozi kwa ID fake

Walimu wako walipata shida sana kukuelimisha
Mbona Jason Bourne kipindi anatoa allegations kwa zzk hakuja na Verified ID ya YERIKO NYERERE au unajitoa ufahamu???Inamaana mpaka leo hii hujui Jason Bourne ni nani?? stop kidding please unatia kichefuchefu
 
Tanzania haina viongozi. Hivi huyu mleta uzi nae ni mjumbe wa kamati kuu na hua anahudhuria vikao vya chama vyote. Kama mjumbe wa kamati kuu anakuja kulalamika huku, unategemea nini kwa mwanachama wa kawaida .Kwa mwendo huu hata JK alivosema hajui kwanini Tanzania ni masikini alikua sahihi tu.

Lema nimekuelewa wewe ni mtu wa visasi sana na hufai kupewa wadhifa mkubwa wa chama. Hasira zote hizo zimetoka bungeni kwenye Posho tu.

Nakushauri maliza suala la kudai posho kwanza ndo uje na Agenda hiyo ya usaliti ambayo si ngeni.
 
Kwani wewe CCM hili bandiko la Lema hapa linakuhusu nini?

Bandueni neno Taifa kwenye jikichwa lenu la hii habari, na muweke chadema, muone kama mtatuona hapa.

Mmetuvuta wenyewe halafu mnatuuliza tumefata nini? Unanchekesha!
 
Kimsingi Chadema imekatika vipande viwili kambi ya kaskazini na kambi zingine ambao ndiyo wengi kambi ya Zitto Kabwe.

Zitto Kabwe na kambi yake hawawezi kukubali kuwa watumwa wa kambi ya kaskazini kutokana na msimamo wao kuwa Chadema wameijenga toka muda mrefu wakati hawa kina Lema na Dr.Slaa walikuwa hawapo.

Zitto Kabwe kajiunga Chadema toka ana umri wa miaka 17 hawa wanaopambana naye kwenye mitandao wamejiunga Chadema juzi tu.

Chadema wanaelekea kwenye uchaguzi mkuu huku wapo makundi mawili.

Lema anajidanganya sana pamoja na wenzake kuwa watabaki salama kumshambulia Zitto.

Hivi una uhakika juwa Zitto hajisikii vibaya kuwa wasemaji wake na watetezi wake wakuu ni CCM? Mbona mnazidi kumharibia mwenzenu hasa wewe ambaye ni mdini mkuu na ambaye kwa nafasi yako ulipaswa uwe neutral katika masuala haya? Inashangaza na kutia aibu.
 
Siasa za ukabila.You're stooping too low.Kama kuna kiongozi au mwanachama wa CHADEMA ambae CCM mnamhusudu sana basi mchukueni akagombee huko kwenu.

Interesting indeed.....!
Naona siku hizi mnataka kutufunga midomo tukitaja madhaifu yenu mnasema tunaleta ukabila.

Hii ni forum tunajadili mie sina haja ya Zitto Kabwe, rais wangu ni JK inatosha next Lowassa.

Chadema kuna mgogoro wala siyo siri tena.
 
Kaama hii ndio vetting ya JF mlioisema chadema, kwa Zitto imekula kwenu. Kwa utetezi alioupata humu, ni nani anaeweza kumfukuza kama mlivyomfukuza Mwigamba? Mawee.

Magwanda mnajuwa mkimfukuza Zitto na chadema ndio hata JF sijui kama itabaki, maana naona humu zaidi 80% wanamkandia Lema na kumtetea Zitto.

Zitto, namna hiyo, wewe tazama senema ya bure tu.

cc Ben Saanane

Hii post yako inanihusu nini?Yaani vibaraka wa CCM mnanitumia nakala ya nini?Endeleeni kuyumia ID Fake na kufundishana ujinga hapa.Mnatukana matusi mfululizo ila tutawacharaza kwa hoja hadi mshike adabu

Hoja hapa ni kuwa Unafiki utalimaliza taifa.
 
Last edited by a moderator:
Tunatatizo la uongozi ndani ya Chadema, sikutegemea kiongozi mkubwa kama huyu kuja kuleta unafiki jf.

Duh Tanzania ni kama tuna safari sana kupata ukombozi wa ukweli.
 
Tanzania haina viongozi. Hivi huyu mleta uzi nae ni mjumbe wa kamati kuu na hua anahudhuria vikao vya chama vyote. Kama mjumbe wa kamati kuu anakuja kulalamika huku, unategemea nini kwa mwanachama wa kawaida .Kwa mwendo huu hata JK alivosema hajui kwanini Tanzania ni masikini alikua sahihi tu.

Lema nimekuelewa wewe ni mtu wa visasi sana na hufai kupewa wadhifa mkubwa wa chama. Hasira zote hizo zimetoka bungeni kwenye Posho tu.

Nakushauri maliza suala la kudai posho kwanza ndo uje na Agenda hiyo ya usaliti ambayo si ngeni.

unajua maoni na malalamiko tofauti yake..
 
Naona siku hizi mnataka kutufunga midomo tukitaja madhaifu yenu mnasema tunaleta ukabila.

Hii ni forum tunajadili mie sina haja ya Zitto Kabwe, rais wangu ni JK inatosha next Lowassa.

Chadema kuna mgogoro wala siyo siri tena.

Kambi ya Mafisadi na wapambanaji dhidi ya ufisadi huko ni umoja?So umejitoa kambi ya Membe siku hizi?
 
Hii post yako inanihusu nini?Yaani vibaraka wa CCM mnanitumia nakala ya nini?Endeleeni kuyumia ID Fake na kufundishana ujinga hapa.Mnatukana matusi mfululizo ila tutawacharaza kwa hoja hadi mshike adabu

Hoja hapa ni kuwa Unafiki utalimaliza taifa.

Kuna Hoja gani kwenye hii thread? zaidi ya mipasho na wewe kujipendekeza kwa huyo LEMA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom