Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
kuna kitu kinawaunganisha hawa .....kwanini wanachama wa ccm wako tayari kufa kwa ajili ya zitto tena mpinzani hahahhahahha its very funny shetani kumshauri Mungu namna kulinda watu wake
 
Mbona Jason Bourne kipindi anatoa allegations kwa zzk hakuja na Verified ID ya YERIKO NYERERE au unajitoa ufahamu???Inamaana mpaka leo hii hujui Jason Bourne ni nani?? stop kidding please unatia kichefuchefu

JUA LA UTOSI kinacho kera sana ni vijana kama hawa akina Ben Saanane nao kujiingiza siasa za makundi kwa kushanikia ujinga ambao unabomoa zaidi ya kujenga! Nae Ben Saanane anjifanya ana IQ kubwa kwa kufokea watu hapa JF kisa yeye yupo upande wa akina Lema,slaa,mnyina na mbowe. Lema katoka juzi NCCR anajifanya nae ni mwasisi wa chadema anaenza kusema watu bila utaratibu
 
Tunatatizo la uongozi ndani ya Chadema, sikutegemea kiongozi mkubwa kama huyu kuja kuleta unafiki jf.

Duh Tanzania ni kama tuna safari sana kupata ukombozi wa ukweli.

hujui unachokiongea..
 
Nimekuelewa kaka,We unamtumikia kafiri ili upate kaujira kako, ila Jitahidi kukontrol hisia zako!

Huna lolote la kunishauri kwa kheri maana siku zote hapa JF wewe ni adui wa CHADEMA na ant-mabadiliko mkubwa.
 
Bandueni neno Taifa kwenye jikichwa lenu la hii habari, na muweke chadema, muone kama mtatuona hapa.

Mmetuvuta wenyewe halafu mnatuuliza tumefata nini? Unanchekesha!

Huyo "BOYA" ameshachanganyikiwa, anaitenganisha CHADEMA na Tanzania ili kumtetea huyo CHEKBOB wa arusha mjini!
 
JUA LA UTOSI kinacho kera sana ni vijana kama hawa akina Ben Saanane nao kujiingiza siasa za makundi kwa kushanikia ujinga ambao unabomoa zaidi ya kujenga! Nae Ben Saanane anjifanya ana IQ kubwa kwa kufokea watu hapa JF kisa yeye yupo upande wa akina Lema,slaa,mnyina na mbowe. Lema katoka juzi NCCR anajifanya nae ni mwasisi wa chadema anaenza kusema watu bila utaratibu

Wewe CHADEMA inakuhusu nini?Kila siku unaitukana humu leo unaleta unafiki wa kutoa ushauri?Acha unafiki

Siasa za makundi?Mimi nimekua JF since 2007 na ninatoa mawazo yangu.Sifurahishi watu
 
Hivi ulitegemea nini cha maana kwa mtu anaebeba chupa za sumu kwenye chama cha siasa. Nnakuhakikishia hajui hata maana ya siasa ni nini.
 
Ben Saanane bila chadema kuna kazi gani unaweza fanya? Nakuona unawaza kwa kutumia tumbo zaidi!
Mkuu huyu jamaa nina mashaka na brain yake, hapo umembana ngoja utasikia 'nina kampuni yangu na biashara zangu....','nina elimu yangu, makampuni yananigombania ila nimekataa...n.k'. Ngoja akujibu uone
 
Nionavyo mimi Lema atatangulia kuondoka Chadema kabla ya hao anaowaita wasaliti. Mh. Lema ameingia Chadema baada ya kufanya usaliti alikokuwa, vinginevyo angebaki na kukijenga chama kile. Chadema si mali ya mtu kiasi Lema anaweza kuamka tu na kusema kuna msaliti au wasaliti. Yapaswa ieleweke kwamba kisiasa kila mtu ni msaliti kwa mwenzake, kwa kujua hilo ndiyo kisa katiba zikabuniwa. Lema, ni juzi tu umemshambulia Mwigamba kwa kukiuka utaratibu, je kwako huu ni utaratibu sahihi? Kwa kuja na ID halisi? Huu ni wakati mgumu sana kwa Chadema kuliko wakati wowote wa kuwepo kama chama. Naanza kuona ccm wakifanikiwa ktk mikakati yao ya kuibomoa Chadema. Siasa ni sayansi, kama cdm inaingia kwenye ujinga huu wa kutofanya siasa kisayansi, isahau kuchukua dola. Leaders emerge and perish, if scientificaly, no leaders make-up then who will take over? Binadamu tu wabinafsi sana na hii inatufanya kuwaona wenzetu kama wabaya tu. Cdm leaders be careful!!!!
 
Wewe CHADEMA inakuhusu nini?Kila siku unaitukana humu leo unaleta unafiki wa kutoa ushauri?Acha unafiki

Siasa za makundi?Mimi nimekua JF since 2007 na ninatoa mawazo yangu.Sifurahishi watu

Ben Saanane leo umelewa pombe za viroba
 
Hivi una uhakika juwa Zitto hajisikii vibaya kuwa wasemaji wake na watetezi wake wakuu ni CCM? Mbona mnazidi kumharibia mwenzenu hasa wewe ambaye ni mdini mkuu na ambaye kwa nafasi yako ulipaswa uwe neutral katika masuala haya? Inashangaza na kutia aibu.
Mie siyo msemaji wa Zitto kama mlikuwa amtaki tuchangie huu uzi mngepeleka Ufipa.

Mmeleta JF acheni tudadavue madhaifu yenu habari za msemaji wa Zitto sisi hayatuhusu.

Labda tufahamishe alichokisema Lema ndiyo kinamfurahisha Zitto?
 
Mkuu huyu jamaa nina mashaka na brain yake, hapo umembana ngoja utasikia 'nina kampuni yangu na biashara zangu....','nina elimu yangu, makampuni yananigombania ila nimekataa...n.k'. Ngoja akujibu uone

Mnataka kunijadili mimi?Huu ndio uwezo mkubwa kabisa wa akili mlio nao?Ptuuu
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!!....hebu tupe huo uhakikisho wako badala ya kuandikia mate wakati wino unao.

Hivi ulitegemea nini cha maana kwa mtu anaebeba chupa za sumu kwenye chama cha siasa. Nnakuhakikishia hajui hata maana ya siasa ni nini.
 
Hii post yako inanihusu nini?Yaani vibaraka wa CCM mnanitumia nakala ya nini?Endeleeni kuyumia ID Fake na kufundishana ujinga hapa.Mnatukana matusi mfululizo ila tutawacharaza kwa hoja hadi mshike adabu

Hoja hapa ni kuwa Unafiki utalimaliza taifa.

Unauliza inakuhusu nini? hivi wewe hapa saa hizi unafanya nini? si umekaa unautetea utumbo wa Lema? au hujui hata uko hapa unafanya nini? nilikwambia hapo nyuma kidogo, utakuja kujibishia hata wewe mwenyewe.

Eti inakuhusu nini. Utajijuu.

Unaongelea ID fake? jasonbourne unamjuwa?
 
Last edited by a moderator:
Mie siyo msemaji wa Zitto kama mlikuwa amtaki tuchangie huu uzi mngepeleka Ufipa.

Mmeleta JF acheni tudadavue madhaifu yenu habari za msemaji wa Zitto sisi hayatuhusu.

Labda tufahamishe alichokisema Lema ndiyo kinamfurahisha Zitto?

Cheap rhetorics za ukabila ndio uwezo wenu wa kudadavua huo?
 
hujui unachokiongea..
mkuu unaejua niambie...lazima tukubali kutokubaliana ndipo tusonge mbele, siasa za visasi na kukamiana hazijengi zaidi ya kuongeza ufa kama taifa.

kwa post hii....hivi unafikiri Lema na Zito wanaweza kukaa pamoja na kujadili mambo ya msingi kwa maslai ya chama na Taifa.?

Viongozi waache ujinga wanatukatisha tamaa wananchi , na hatime kuifanya ccm itawale kwa muda mrefu zaidi
 
Ben Saanane bila chadema kuna kazi gani unaweza fanya? Nakuona unawaza kwa kutumia tumbo zaidi!

Nina uwezo wa kufanya kazi ya kukukomboa kifikra na familia yako hata nikiwa nje ya CHADEMA.Hii ndiyo kazi ninayoimudu hata bila malipo.Ni wito.

Siwezi kuhongwa,siwezi kuisaliti kama hao aliowasema Lema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom