yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,104
huyo Lema yupo wapi?hii ndo saa nane,hana jipya ni ulimbukeni tu unamsumbua,aende akareseat mtihani wa form four,ataambulia hata division 5
click new posts..
huyo Lema yupo wapi?hii ndo saa nane,hana jipya ni ulimbukeni tu unamsumbua,aende akareseat mtihani wa form four,ataambulia hata division 5
Nimekuwa nikimfuatilia ZZK na siasa za CDM na nchi hii kwa muda mrefu. Ni siasa zisizoeleweka, zilizojaa unafiki na njaa zilizopitiliza.
ZZK amekuwa central pole kwenye utata na mijadala mingi. Haeleweki, ni sawa na muumini ambae kwa Mungu yupo na kwa shetani yupo, haeleweki au niseme simuelewi.
ZZK kwa maoni yangu angeweza kuwa na future nzuri sana kisiasa ndani ya CDM kama angejipambanua na kuwa muwazi lakini imekuwa kinyume. Aliiacha CDM na kuwekeza katika siasa za MIMI na makofi na hongera nyingi toka kwa Magamba. Sina hakika kama anazifurahia au anaamini kwamba pongezi hizi ni sincere. Nionavyo amepotoka, kwa kutojua, kuchonganishwa akijua au makusudi.
CDM nao wamekuwa waoga mno kumchukulia hatua huyu bwana, either kwa woga wa propaganda au wanajua sio wasafi au kwa kufikiri atabadilika. Sasa amekomaa na kuweka mizizi. Anao wafuasi, kumuondoa si salama na kumbakiza ndani ya CDM sio salama.
Hapa ndio Magamba wanaposubiri. The choice is yours CDM. Live or die....You can't do both at once.
Ni mtazamo tu....Masela msijenge chuki
Haya Sasa kila mmoja ashaongea Ukweli ..Imetosha...Sasa..
Godblless Lema umeshaweka rekodi...straight...Nadhani Sasa Imetosha ....,funga huu mjadala Kamanda!!!!
Wewe msukule acha kujidanganya Zitto ndie alieibeba Chadema ambayo leo inakupa jeuri ya kuja JF kumtukana.Mkuu ondoa hofu kabisa.
Hakuna mtu yeyote atakayetimuliwa Chadema halafu chama kikayumba.HAKUNA ASILANI!
Akishatimuliwa tu vibaraka wake wote watakunja mikia.Na huo ndiyo utakuwa mwisho wake!
Akina Mtela Mwampamba na Juliana Shonza walidanganywa hivyo hivyo na baada ya kutimuliwa hakuna aliyewasaidia tena.
Lema amekufurahisha eeeh?Na kweli rekodi iliyowekwa na Lema kwa siku mbili tu Imekuwa historia kubwa na ya kujivunia ndani ya JF.
Tunakaribia page ya 60....Fantastic!!
Lema amekufurahisha eeeh?
....another calculated political move by CDMHatumtetei Zitto ila tunatetea misingi ya Chama kuheshimiwa,Chadema kina Kamati Kuu na Baraza Kuu kwanini msipeleke malalamiko yenu huko,Mnaogopa nini?Au JF ndio imeshageuka kuwa Kikao halali cha Chama cha kujadili matatizo ya ndani siku hizi?
....this is politicaly calculated move....na lazima kutake risk haitakiwi kuogopa ogopa...utaona jinsi CDM itakavyo paaa...inategemea inachezwa je...?@Dr mo umepotoka kabisa mimi ninacho pinga ni njia inayotumiwa na lema.
HIVI UNAFIKIRI HII NI NJIA YA KUJENGA AU KUTUGAWA.
TIME WILL TELL HII SIO NJIA NJEMA KABISA.
Ndivyo ulivyo amua kufikiri...
Kamanda Godbless J Lema kwanza nikupongeze sana kwa maneno murua uliyoandika katika thread hii. Pia nikufahamishe kuwa haya unayoyaandika leo wanachama wenzako wa Chadema wamekuwa wakilipigia kelele kwa muda mrefu kwamba huu usaliti unaoendelea kutokea ndani ya chama ni kwasababu Mkuu wa kikosi cha usaliti chama hakijambaini na kumchukulia hatua.
Mimi nataka nikuhakikishie kwamba siku huyo mkuu wa operation usaliti akibainika na chama kikamchukulia hatua kali bila kujali ukubwa wake ama udogo wake basi siku hiyo mtakuwa mmewatendea haki wanachama, haki ambayo wameisubiria kwa muda mrefu sana.
Kamanda Lema wewe ukiwa mjumbe wa kamati kuu, matarajjio yangu ni kwamba hoja hii utaiwasilisha katika kikao rasmi chakamati kuu na kwakuwa unaonekana unao ushahidi wa kumtambua mkuu wa kikosi cha usaliti basi hatua kali zitachukuliwa haraka sana ili kukinusuru chama na huu usaliti unaotaka kushika kasi.
Shida ya zitto anafanya maamuz yanayoenda kinyume na makubaliano ya chama halafu ccm wanamsifu na yeye akipewa sifa na ccm anapata kichwa (hapa kunamawili anafanya kaz ya ccm au anapata kiburi bila kujijui wanaompa kiburi ni maadui wake) kwa upande wang nilimwona mtu asiyefaa kabisa kuleta mabadiliko pale anapoenda kinyume na viongoz wenzake.
Wewe msukule acha kujidanganya Zitto ndie alieibeba Chadema ambayo leo inakupa jeuri ya kuja JF kumtukana.
The Big Show,
Kuna sehemu ulisema wewe ni mhasibu au accountant. Kumbe ulikuwa mwalimu? Nakufuatilia post zako kwa makini sana. Mana nilikuona mpiganaji ila kwa hii issue umekuwa biased bila kujisumbua kama ninavyojisumbua kukusoma ili nijue i should think the same Big or not.
Mjadala bado ni mbichi, personal attack hazisaidii. Tusome then tujudge at the end