Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Nimefuatilia mjadala sana leo ukizingatia ilikuwa ni Jumamosi kwamba hatukuwa na kazi nyingi sana za Kibunge hasa baada ya kuanzisha mjadala unaosema " Usaliti na Unafiki unavyoliangamiza Taifa " na nimeona mjadala na nimejifunza mambo mengi sana sikumtaja Mtu ila Watu wengi wametaja majina ya Watu , sijui kwanini ? ila naendelea kutafakari , kesho nitaandika kuhusu mada inasema " UNAFIKI WA ZITTO KUHUSU POSHO " na mpaka saa nane mchana nitakuwa nimewasilisha na jambo hili halina mgogoro na kanuni za Chama kwani ni jambo liko wazi kwenye vyombo vya habari .

Asanteni
 
Sasa naamini mtoto wa kigoma kaaga kwao,wanapishana tu mitandaoni kupiga majungu lakini wanamuogopa,soo Slaa,Mbowe,lema, mnyika na hao walamba viatu vyao wote wanaishia kulia lia tu hapa lakini hawamuwezi kwa lolote Zitto simama wala usitishike,hakuna kuhama chama watahama wao tu,
 
Last edited by a moderator:
Nimekubali Zitto wanamuogopa Chadema wote wamekuja kulia lia JF swali la kujiuliza nani atakaweza kumfukuza.
 
Last edited by a moderator:
Zitto hana muda mchafu wa kumjua mtu mdogo kama wewe na kama ulikuwa unajiamini mbona uliingia na ID fake kumchafua! huyu aliyekupa nguvu ya kujiamini leo tushamjua nakusikitikia sana bwana mdogo.

Kijana, naamini wewe umenifahamu katika mjadala wangu na Mohamed Said,

Soma hii niliandika huko nyuma kabisa,

Na nimuumini wa chadema pekee niliyeeleza uzandiki na ufedhuri wa Zitto hadharani
 
Chadema, bei ya ukweli kamili imewashinda!
 
Nimefuatilia mjadala sana leo ukizingatia ilikuwa ni Jumamosi kwamba hatukuwa na kazi nyingi sana za Kibunge hasa baada ya kuanzisha mjadala unaosema " Usaliti na Unafiki unavyoliangamiza Taifa " na nimeona mjadala na nimejifunza mambo mengi sana sikumtaja Mtu ila Watu wengi wametaja majina ya Watu , sijui kwanini ? ila naendelea kutafakari , kesho nitaandika kuhusu mada inasema " UNAFIKI WA ZITTO KUHUSU POSHO " na mpaka saa nane mchana nitakuwa nimewasilisha na jambo hili halina mgogoro na kanuni za Chama kwani ni jambo liko wazi kwenye vyombo vya habari .

Asanteni

Karibu sana Comrede.
kwanza nikupongeze kwa kutokuwa mnafiki wa kufanya mambo kwa kificho, ni lazima umma ujue unafiki wa watu wanaojiita wazalendo huku waki wazandiki na ambao wapo tayari kufanya jambo lolote lile ili majina yao yaendelee kubaki huku wakiangamiza taasisi

Hata mimi hivi karibuni nitakuja Naunafiki wa Zitto na uwepo wangu Magereza na kesi yangu ya ugaidi.
 
Nimefuatilia mjadala sana leo ukizingatia ilikuwa ni Jumamosi kwamba hatukuwa na kazi nyingi sana za Kibunge hasa baada ya kuanzisha mjadala unaosema " Usaliti na Unafiki unavyoliangamiza Taifa " na nimeona mjadala na nimejifunza mambo mengi sana sikumtaja Mtu ila Watu wengi wametaja majina ya Watu , sijui kwanini ? ila naendelea kutafakari , kesho nitaandika kuhusu mada inasema " UNAFIKI WA ZITTO KUHUSU POSHO " na mpaka saa nane mchana nitakuwa nimewasilisha na jambo hili halina mgogoro na kanuni za Chama kwani ni jambo liko wazi kwenye vyombo vya habari .

Asanteni

..kibaraka wa Mbowe.
 
kamanda here we go again naona umeamua liwalo na liwe hahahahah i like it utaona wanachama wa ccm watakavyo kuja hapa kumtetea hahahaha leo kutamu sana
 
niliwahi ipenda cdm upeo,kweli ivumayo haidumu yametimia
 
Nimekubali Zitto wanamuogopa Chadema wote wamekuja kulia lia JF swali la kujiuliza nani atakaweza kumfukuza.

Mkuu umejitahidi kupost kishabiki toka mwanzo, nasikitika hujatoa maoni yako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Naona viongozi wa CHADEMA wote wanaleta tuhuma huku, je huu ni mkakati maalumu? Na kwanini msiyaseme hayo kwenye vikao vya chama?
 
SIUNGI MKONO HOJA ZA CHAMA KULETWA HUMU HASA ZA ZITTO
ni kujivua zaidi
NIMESTUKA kuona MH LEMA akilalamika kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna viongozi wasaliti ndani ya chama
1. kimsingi shutuma hizi ni nzito ni aibu kwa chama kikubwa kama CHADEMA MH LEMA KUJA KULIALIA HAPA MTANDAONI badala ya kupeleka hoja hiyo pamoja na ushahidi ndani ya chama
2. kwa staili hii ya MH LEMA anfaa kukemewa kwani anazidisha migawanyiko badala ya kujenga chama ni mtu punguani wa akili anaeweza kuamini kufukuzana na kutuhumiana wazwaz kwa viongozi KM ANAVYOFANYA MH LEMA kunaweza kUIsaidia CHADEMA KUING'OA CCM.
3. HOJA NZITO ZA USALITI kwa chama ni hoja nzito kwa mtu muerevu iikua ni kupelekka malalamiko ndani ya chama na si kuleta mtandaoni
4. swai je MWIGAMBA MTANDAONI na MH LEMA MTANDAONI NA HPJA ZENYE KUWEZA KUVUNJA CHAMA JE AMECHUKULIWA HATUA GANI
MY TAKE
KATIBU MKUU DR SLAA KAMA MTENDAJI MKUU WA CHAMA UNAPASWA KUINGILIA KATI WATU WANAOROPOKA NA KUTAKA KUANGAMIZA CHAMA. UKISHINDWA MANAKE UNAFUMBIA MACHO HATARI HII NA KWANAMNA NYINGINE BASI UTAKUWA NI MIONGONI MWAO WENYE NIA MBAYA NA MUSTAKABALI WA MABADILIKO YA TAIFA. JEURI KIBURI UKABILA UDIKITETA NI SUMU YA DEMOKRASIA
 
Nimefuatilia mjadala sana leo ukizingatia ilikuwa ni Jumamosi kwamba hatukuwa na kazi nyingi sana za Kibunge hasa baada ya kuanzisha mjadala unaosema " Usaliti na Unafiki unavyoliangamiza Taifa " na nimeona mjadala na nimejifunza mambo mengi sana sikumtaja Mtu ila Watu wengi wametaja majina ya Watu , sijui kwanini ? ila naendelea kutafakari , kesho nitaandika kuhusu mada inasema " UNAFIKI WA ZITTO KUHUSU POSHO " na mpaka saa nane mchana nitakuwa nimewasilisha na jambo hili halina mgogoro na kanuni za Chama kwani ni jambo liko wazi kwenye vyombo vya habari .

Asanteni
Lema,

Angalia na kuwa makini hii ndiyo JF wapambe wako watakupoteza watu wakuone kituko.

Naona unakuja na mtindo kama Nape unaandika uzi halafu unakimbia.

Jibu maswali ya wanajamvi.
 
Mods samahani unganisheni hii thread na ile nyingine. Naona mkombozi bado anajifunza kuanzisha thread. Cc: Paw
Tuta wafundisha siasa za haki na ukweli zisizokuwa na unafiki...
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom