Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,416
- 21,813
Kwakuwa unatoka mkoa ule ule lazima umponde Zitto.
Ha ha ha haaaaa.... Huu ni ugomvi wetu wenyewe... Mtuache jamani.... Mbona sisi mbona huwa hatuwaingilii katika mikanganyiko yenu.... Kama Zitto anawauma mchukueni basi.....