Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
mbona umepanic mkuu? Hiki ndicho kinachotufanya hata sisi wananchi wa kawaida tumtilie mashaka zitto! Kwanini zitto akiguswa lazima ccm muinuke na kumtetea kwa "gharama yoyote ile"!
Mie nipanic nini wakati nafurahi hapa wafu wanavyozikana.
 
Mheshimiwa Lema,

Naamini wewe ni mtu mwenye busara na ndio maana wananchi katika jimbo lako wamekupa dhamana ya kuwawakilisha Bungeni. Hivi kwa busara zako, hayo malumbano mnayoendeleza hapa JF ilhali mna vikao mwafaka ndani ya chama ni kwa manufaa ya nani?

Kwa sie ambao angalau tunaafikiana na harakati zenu za kuikomboa Tanzania kutoka katika lindi la umasikini unaorutubishwa na ufisadi, tabia hii ya kugeuza social media kuwa kumbi za kujadili masuala mnayoweza kuyajadili ndani ya chama inatuvunja moyo sana.

Pamoja na kutofautiana kwangu na Zitto katika masuala mbalimbali, napingana nawe kwa nguvu zote katika uamuzi huu ambao naomba uniruhusu kuuita usio wa busara hata chembe wa kujadili tofauti zenu za kimtazamo mtandaoni.

Majuzi niliandika makala hii Makala yangu Ktk RAIA MWEMA Toleo la Okt 30, 2013: "CCM Itang'oka, Chadema Itaweza Kuongoza?" ~ Kulikoni Ughaibuni ambayo awali ilichapishwa kwenye jarida la RAIA MWEMA na moja ya maswali niliyouliza ni utayari wenu kuongoza Tanzania pindi CCM iking'oka madarakani.

Haihitaji darasa maalum la uongozi kutambua kuwa malumbano ya hadharani baina ya viongozi wa ngazi za juu wa chama chochote kile hayajengi, regardless ya mantiki ya mada husika.

Mmekuwa mkilalamika kuhusu hujuma mnazofanyiwa na CCM na taasisi za dola, na wengi tuliwaunga mkono kwani ili demokrasia ya kweli ifanye kazi thabiti shurti kuweke level field. Lakini yayumkinika kuhitimisha kuwa kwa mwenendo huu wa kujibishana kwenye mitandao ya jamii, adui yenu mkubwa kwa sasa ni ninyi wenyewe. Tofauti zenu za kimitazamo zinaweza kujadiliwa na hata kumalizwa ndani ya vikao husika, if not katika maongezi binafsi as viongozi wa chama kimoja.

Hebu jiulize, pamoja na uselessness yao na hata kukinzana kwao, when did you see Nape na Lowassa wakija JF 'kuonyeshana ubabe'? Si kwamba hakujawa matukio yanayoashiria bayana uwa wanasiasa hao 'picha haziivi' lakini angalau wana akili na busara za kutambua kuwa tofauti au hata uhasama wa kisiasa shurti viandane na kuthamini maslahi ya Chama chao.

Huu ni ushauri wa bure tu lakini una haki ya kuupuuza. Nimalizie kwa kukuuliza, hiyo kesho ukishatundika kuhusu 'Unafiki wa Zitto kuhus posho' itakisaidia vipi chama chenu katika harakati za kuing'oa CCM hapo 2015?

Wameamua kuja huku mitandaoni kwa kujua wanachokifanya mkuu, wasilolijua tu ni namna wanavyochimbia kaburi lao kwa namna yapekee kabisa. Mihemuko inaanza kuongoza watu na wao wanaongoza watu wengine.
Naandaa makala ambayo nitaimwaga hapa hapa ukumbini!
 
Zitto alipogoma posho akugoma kwenye vikao vya Chama isipokuwa kwenye vyombo vya habari na majibu lazima yawe hadharani , Kamanda Lema mimi nakusubiri keshokwani huyu dogo amezidi unafiki
Binafsi naona zito si mnafiki isipokuwa wanafiki ni wabunge wa chadema walioichukua hoja yake na kukubaliana na mawazo yake leo hii maji yamezidi kimo wanaanza kumgeuka zito. Wabunge km akina shibuda na selasini walijipambanua mapema kwamba wao wanazitaka posho.wengine walimuunga mkono zito japo posho wanachukua!wabunge mnapoweka mijadala ya posho mbele mnatuaminisha wananchi kuwa mnautafuta ubunge si kwa manufaa ya jamii bali kwa manufaa yenu wenyewe kwa asilimia 100! Zito hata kama ni mnafiki lakini ana mchango mkubwa kwa nchi!japo anauma na kupuliza. Wenginge mnauma na kuuma na kuuma!!!
 
Nimefuatilia mjadala sana leo ukizingatia ilikuwa ni Jumamosi kwamba hatukuwa na kazi nyingi sana za Kibunge hasa baada ya kuanzisha mjadala unaosema " Usaliti na Unafiki unavyoliangamiza Taifa " na nimeona mjadala na nimejifunza mambo mengi sana sikumtaja Mtu ila Watu wengi wametaja majina ya Watu , sijui kwanini ? ila naendelea kutafakari , kesho nitaandika kuhusu mada inasema " UNAFIKI WA ZITTO KUHUSU POSHO " na mpaka saa nane mchana nitakuwa nimewasilisha na jambo hili halina mgogoro na kanuni za Chama kwani ni jambo liko wazi kwenye vyombo vya habari .

Asanteni
lema pole sana umefanya ubabe sana kukitia chama mkononi kama vile CHADEMA n ya baba yako,,,,, nikiweke wazi hii vita uliyoanzisha itakumaliza kisiasa.... Acha kutumika kilaza ww wajanja wanakufanya bridge then wanapiga hatua,,
 
Hakuna kujibu maswali ni unafiki wa zitto kuhusu posho ndiyo utakao andikwa....
Sasa kwa nini mnakimbia maswali si bora hiyo makala yenu mgepeleka kwenye gazeti lenu la Tanzania Daima.
 
lema pole sana umefanya ubabe sana kukitia chama mkononi kama vile CHADEMA n ya baba yako,,,,, nikiweke wazi hii vita uliyoanzisha itakumaliza kisiasa.... Acha kutumika kilaza ww wajanja wanakufanya bridge then wanapiga hatua,,
wewe siumuache apate hasara kinakuuma nini?
 
Lema acha utoto. Chama hakijengwi kwa style hiyo. Nakusihi usilete hiyo thread hapa. Acha tafadhali
 
Zitto alipogoma posho akugoma kwenye vikao vya Chama isipokuwa kwenye vyombo vya habari na majibu lazima yawe hadharani , Kamanda Lema mimi nakusubiri keshokwani huyu dogo amezidi unafiki

Na jamaa wa Tindikali kaitwa aje kushambulia. Chadema acheni siasa za kitoto. Mpaka Mtei mwenye chama chake anamwogopa zitto itakuwa ninyi vifaranga wa juzi?
 
we are not interested in these cheap F4F , internal wranglings za CHADEMA.
Leteni mambo ya kitaifa hapa,

Mkuu kuvurugika kwa Chadema kutakuwa na impact kubwa sana kwa nchi na hasa siasa za upinzani. Kikivurugika itawachukua watanzania muda mrefu sana kuamini wapinzani na wanasiasa. hata uchaguzi wa 2015 utakuwa na kasoro kwani viongozi watachaguliwa na wapiga kura wachace sana. Ni lazima chademe iondoe migogoro ya ndani.
 
Na jamaa wa Tindikali kaitwa aje kushambulia. Chadema acheni siasa za kitoto. Mpaka Mtei mwenye chama chake anamwogopa zitto itakuwa ninyi vifaranga wa juzi?

Msaliti lazima aogopwe na Mtu yeyote mwenye akili na ndio maana mambo lazima yaweke wazi
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Hizi ni dalili za kukosa hoja yenye nguvu. Kama huna cha maana cha kuandika kaa kimya.

Ww kweli ni kauzu! vilaza wa makao makuu kinondoni povu linawatoka si wamfukuze Kwanini wanaogopa mbona Mwigamba alisimamishwa haraka haraka kweli nimeamini Zitto mwiba wa koo.
 
Hujawahi kusoma na ukafauru formal school yoyote wewe na mbowe wote ni vilaza na ukibisha naweka hadharani ushahidi wote tangu unaiba mwanza hadi ulivyotolokea Arusha jambazi sugu wewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom