BIG RESULTS NOW
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 673
- 36
Jirekebishe braza nilikuwa nakuheshimu sana lakini kadri siku zinavyoenda mbele naona wewe na mwenzio yeriko nyerere ndio mnaoharibu chama, kumbuka kuna watu tumepoteza ndugu zetu na tumepoteza viungo vyetu kwa mapenzi tuliyonayo kwenye hiki chama sasa tunapoona mnashindwa kumalizana kwenye vikao vyenu na kuja kuharibiana humu jamvini mnatuvunja nguvu....please stop that, Jengeni chama kaka 2015 sio mbali. Na usipende kumuona kila anaekupinga ni msaliti wengine tuna damu zetu kwenye hiko chamaDeshmo,
Sitaki MODS wawafungie watu wa aina hii leo.Walete matusi mimi tuwagonge kwa hoja.Wataishia kutukana tu leo