Usalama wa taifa

Usalama wa taifa

Status
Not open for further replies.

STOP

New Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
4
Reaction score
1
Jamani nataka kujua ni vigezo gani mtu natakiwa niwe navyo ili niweze kujiunga na idara ya usalama wa taifa...na process zake zikoje
 
Mi napenda kujua nawezaje kujiunga kozi ya ukomando?
 
Hii imekuwa kero sasa,
Ndugu mgeni....pitia kuna habari za kutosha zilizotangulia hii yako......
Humo majibu yapo ya kutosha
 
Hii imekuwa kero sasa,
Ndugu mgeni....pitia kuna habari za kutosha zilizotangulia hii yako......
Humo majibu yapo ya kutosha
Kweli, atafute kuna thread humu nyingi sana zinahusiana na hayo.
 
nisaidieni tu ndugu mana ni kazi ambayo naisikia damuni
 
Bila kua na refa katu huwezi ingia humo,zamani enzi za jk ulikua unatafutwa kwa sifa na vigezo vya uadilifu kuanzia kwenye familia yako,lakini siku hizi kama huna unayemjua ndani ya serikali katu usijisumbua.
 
nakushauri mdogo wangu usiitamani hii kazi ya hovyo,

unajua umasikini tulionao kama taifa umesababishwa na hawa jamaa wanojiita usalama wa taifa, wAnajidai wazalendo kumbe njaa tupu wameukumbatia mfumo dhalimu wa kinyonyaji na kifisadi kwa mtu mwadilifu na mzalendo sikushauri uitamani hii kazi ya kinafiki tafuta kazi ingine HALALI ILI UIPATIE FAMILIA YAKO MAHITAJI USISAHAU KULIPA KODI ZA NCHI, INGAWA WAJANJA WANAKULA MUNGU AKUBARIKI KAMA UTA FUATA USHAURI WANGU
 
Kwa jinsi unavyopenda usalama wa taifa na jinsi ulivyonyesha uhitaji, tayari umeshakuwa...hongera sana...ila kwa shauri nenda ofisi ya mkuu wilaya uliyo karibu nayo au kwa afisa upelelezi wa polisi wilaya au mkoa tatizo lako litakuwa limeisha. Leta mrejesho nyuma baada ya mafanikio
 
Hawa jamaa huwa wanakufuata tu bila wewe kujua, nadhani huwa wanafanya random sampling, pia ukiwa msomi na unapenda kufanya mazoezi wanakufuata. Watu kibao huwa wanafuatwa na wengine wanakataa. Pia wanatabia ya kuchukua watoto wa viongozi hasa wa wilaya
 
nakushauri mdogo wangu usiitamani hii kazi ya hovyo,

unajua umasikini tulionao kama taifa umesababishwa na hawa jamaa wanojiita usalama wa taifa, wAnajidai wazalendo kumbe njaa tupu wameukumbatia mfumo dhalimu wa kinyonyaji na kifisadi kwa mtu mwadilifu na mzalendo sikushauri uitamani hii kazi ya kinafiki tafuta kazi ingine HALALI ILI UIPATIE FAMILIA YAKO MAHITAJI USISAHAU KULIPA KODI ZA NCHI, INGAWA WAJANJA WANAKULA MUNGU AKUBARIKI KAMA UTA FUATA USHAURI WANGU
Tatizo lako ni upeo finyu wa mawazo
 
kwa nijuavyo mie..hawa jamaa wa usalama wanachukua watu toka JKT..kuhusu kujuana ilikuwa zamani sababu kuna rafiki yangu baba yake ni mtu mkubwa sana usalama ila ana 2yrs jobless na kila siku wanaajiri watu wapya.
ndicho nikijuacho
 
Jamani nataka kujua ni vigezo gani mtu natakiwa niwe navyo ili niweze kujiunga na idara ya usalama wa taifa...na process zake zikoje

Mimi wananitaka hawa jamaa na sasa wananifuatilia na nina uhakika 100% kuwa ni wao...nimewagundua watu 3...mmjoa ni rafiki wa mama yangu, mwingine ni baba mtu mzima tulikuwa wote chuoni UDSM na huyu wa mwisho ni mzee mstaarabu sana anakaa mtaa wa pili karibu na home huku USA RIVER ARUSHA...hawa jamaa wana network ambayo ni ngumu ku-detect kama siyo mfuatiliaji wa masuala ya usalama cuz wengi bado wanatumia mbinu za former KGB ambao ndio waliokuwa wanawatrain..but all in all ni kwa usalama wa jamuhuri ya muungano wa tanzania lakini wakini face nitakataa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom