kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
Jamani nataka kujua ni vigezo gani mtu natakiwa niwe navyo ili niweze kujiunga na idara ya usalama wa taifa...na process zake zikoje
kuulizia tu issue za UWT tayari kumekukosesha kazi.inaonekana kama tungekupa task ya utekeleze jukumu zito usingetumia uwezo wako wa akili kufikiri,ungeulizia kwa watu.lol