Usalama wa taifa

Usalama wa taifa

Status
Not open for further replies.
nakushauri mdogo wangu usiitamani hii kazi ya hovyo,

unajua umasikini tulionao kama taifa umesababishwa na hawa jamaa wanojiita usalama wa taifa, wAnajidai wazalendo kumbe njaa tupu wameukumbatia mfumo dhalimu wa kinyonyaji na kifisadi kwa mtu mwadilifu na mzalendo sikushauri uitamani hii kazi ya kinafiki tafuta kazi ingine HALALI ILI UIPATIE FAMILIA YAKO MAHITAJI USISAHAU KULIPA KODI ZA NCHI, INGAWA WAJANJA WANAKULA MUNGU AKUBARIKI KAMA UTA FUATA USHAURI WANGU

Like like like like!..........
 
watakuonea wapi ndugu yangu? Sikuhgizi ni mwendo wa kujuana, wewe anakujua nani?

kaka, pamoja na kujuana ila hawa jamaa wana taarifa za wale wote wanao-graduate huo mwaka.

Kwa mfano mimi, waniniita nikafika pale kwao nikakuta wana matokeo ya graduates wote waliomaliza huo mwaka tena vyuo vyote na masomo yote ulosoma.

Ila bahati mbaya sikutaka kujiunga nao kwasababu sipendi kazi za serikali.
 
Tafuta shughuli za kufanya achana na hizi ndoto ,humu wao wenyewe nafikiri wanachoka na ndio maana wanajitangaza maabaani kuwa wao wanafanya shughuli fulani
 
Ndugu hiyo kazi,hauitafuti bali unatafutwa,recruitment hufanyika katika vyuo,jkt,na katika tasisi nyingine zinazo husiana na mambo ya usalama.kama bado ni raia kwanza jiunge na jeshi,kama ni bahati yako unaweza kufika huko.
college mate wangu,alikuwa recruited tukiwa mwaka wa pili college,yeye akuomba alifuatwa tu.sasa hv yupo katika kitengo cha presidential detail ( secret service).
 
Hakikisha hutoki maeneo ya kaskazini mwa nchi... Kama unatoka kale kamkoa chenu cha kilimanjaro huwezi pata nafasi usalama wa taifa
 
acha kupotosha umma, wajomba zangu wawili wanatoka marangu wote ni usalama wa taifa, hakuna ubaguzi wa kabila kule!
 
Bila kua na refa katu huwezi ingia humo,zamani enzi za jk ulikua unatafutwa kwa sifa na vigezo vya uadilifu kuanzia kwenye familia yako,lakini siku hizi kama huna unayemjua ndani ya serikali katu usijisumbua.

Acha uzushi sio wote wewe ila ndo hivyo hiyo kazi huombi unapigiwa simu na ukiwa mropokaji unatemwa.
 
Ndugu hiyo kazi,hauitafuti bali unatafutwa,recruitment hufanyika katika vyuo,jkt,na katika tasisi nyingine zinazo husiana na mambo ya usalama.kama bado ni raia kwanza jiunge na jeshi,kama ni bahati yako unaweza kufika huko.
college mate wangu,alikuwa recruited tukiwa mwaka wa pili college,yeye akuomba alifuatwa tu.sasa hv yupo katika kitengo cha presidential detail ( secret service).

Sio lazima uwe jeshini ndo uitwe hata ukiwa kitaa unaweza itwa hata ukiwa form 4 leaver.
 
kwa nijuavyo mie..hawa jamaa wa usalama wanachukua watu toka JKT..kuhusu kujuana ilikuwa zamani sababu kuna rafiki yangu baba yake ni mtu mkubwa sana usalama ila ana 2yrs jobless na kila siku wanaajiri watu wapya.
ndicho nikijuacho

Sio wote wapo wanaoitwa hata jeshi hawalijui na hawana mpango huo ila wanaitwa.
 
Waungwana usalama haina matangazo,kuitwa ni kimyakimya,bt mwenye taarifa kwamba wanachukua lini atutonye,ili tutumie maujanja ya kitaani kwetu.
 
Tatizo lako ni upeo finyu wa mawazo

Kwa jinsi unavyopenda usalama wa taifa na jinsi ulivyonyesha uhitaji, tayari umeshakuwa...hongera sana...ila kwa shauri nenda ofisi ya mkuu wilaya uliyo karibu nayo au kwa afisa upelelezi wa polisi wilaya au mkoa tatizo lako litakuwa limeisha. Leta mrejesho nyuma baada ya mafanikio

Wapo hapa watakupm

Tafuta shughuli za kufanya achana na hizi ndoto ,humu wao wenyewe nafikiri wanachoka na ndio maana wanajitangaza maabaani kuwa wao wanafanya shughuli fulani

Jamani nataka kujua ni vigezo gani mtu natakiwa niwe navyo ili niweze kujiunga na idara ya usalama wa taifa...na process zake zikoje
Kanyigo , harakat , STOP
===> Mkuu ifweero acha kuwadanganya wenzako waache watafute mbinu nyingine za kuishi,huko wala wasikimbilie,inaonekana wewe ifweero uko huko, hakuna kipya kule zaidi ya kuapata sifa bila hela, kama unataka kubana fursa zako nenda huko,utaishia kupiga vizinga mpaka ukome.
===>Tafuta fursa nyingine.
 
Last edited by a moderator:
nisaidieni tu ndugu mana ni kazi ambayo naisikia damuni

hzo hazitangazwi bali wao ndio wanachaguana na baadh ya wat,maana ni sehemu yenye usir mkubwa,juzi kat kwenye mwez wa pil mwishon ilikuwa ilitoka ila sikuwa na interest nao,walianzia chet cha form 4 alama 27 na kuendlea.
 
Kanyigo , harakat , STOP
===> Mkuu ifweero acha kuwadanganya wenzako waache watafute mbinu nyingine za kuishi,huko wala wasikimbilie,inaonekana wewe ifweero uko huko, hakuna kipya kule zaidi ya kuapata sifa bila hela, kama unataka kubana fursa zako nenda huko,utaishia kupiga vizinga mpaka ukome.
===>Tafuta fursa nyingine.

Na hao waliopo huko usalama kwa sasa wangesema watafute fursa zingine ni nani angelitumikia taifa kwa mawazo yako? Na panapokosekana usalama utawezaje ketekeleza hizo fursa unazozisema..usalama kwanza na vingine ndio vinafuata mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom