Kwa coment hii nahitimisha kwamba kumbe watz uelewa wetu ni mdogo sana juu ya mambo ya usalamaUlinzi wa Magufuli haukuwa wa kawaida, ulikuwa wa zaidi kwasababu utawala wake ulijitengenezea maadui wengi wa ndani hasa wafanyabiashara wakubwa, hakuwa akijiamini.
Huu ulinzi wa Samia nao naushangaa, nauona umepitiliza kwa mtu wa haiba yake, aina ya siasa zake sio kama za Magufuli sijui ana hofu ya nini, ule wingi wa magari ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi masikini wa nchi hii, auache mara moja.
Nyie ni wapumbavu!Nini kimetokea Tanzania hadi “Rais” awaogope Watanzania kiasi hiki? Watanzania wameshaua Viongozi wangapi nchini hadi WAOGOPWE hivi?
Hapo kuna ulinzi ambao wewe huuoni!Cheki mwanamke mwenzake anayeongoza nchi ya tatu kwa utajiri duniani View attachment 1978868
Vipi kwa mtoto wa mjini Samia?Huu ulikua ushamba wa mwendazake
Security undercover na technology ndio kila kitu kwa sasa
Imebidi nicheke tuHapo kuna ulinzi ambao wewe huuoni!
Bavicha bure kabisa
Kwani na yeye ni dikteta kama yule dhalimu wako hadi kujizingira hivyo?Rais anapata ulinzi kwenye nchi anayosema yuko madarakani kwa kura, lakini juzi alikuwa Marekani ambapo haijapigiwa hata kura moja na hana ulinzi wowote wa ajabu. Mpaka anapiga picha na wahuni kama mtu wa kawaida. Kwahiyo hapa nchini alipoingia kwa kura ni hatari kuliko huko nje? Huo ulinzi unawekwa na wajanja ili wapige hela za Mabwege.
Bananga umemakia huku?Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.
Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.
Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.
Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.
Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.
Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.
Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.
Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.
Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.
Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.
Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.
Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.
Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.
Hawezi kuingia barabarani huyo!Mungu amelala...kinachotakiwa Ni Mimi Na wewe 2025 tuingie barabaran afe kipa afe beki
...
Marais waovu ni waoga sana. Kila wakati wanahisi kuuliwa.Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.
Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.
Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.
Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.
Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.
Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.
Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.
Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.
Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.
Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.
Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.
Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.
Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.
Kwamba hata hizi mnazolipishwa na Samia mara 3 zaidi nae ana aleji na matajiri?Alikuwa na allergy na matajiri, akalazimisha waishi kama mashetani, akili za shamba zilimtuma kuamini matajiri wote ni wezi, akawa anawakomoa kwa kuwalipisha kodi mara mbili.
Ccm wamejipanga kuingia barabarani mwaka 2025 hawamtaki Hangaya.Mungu amelala...kinachotakiwa Ni Mimi Na wewe 2025 tuingie barabaran afe kipa afe beki
...
Kujiamini kintu Gani! Licha ya Mabunduki makubwa makubwa Uzi submachine gun, AK 47, XM 307 nk, chopa na vifua vikubwa vya nyonganyonga Bado akafa kirejarejaaa!Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.
Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.
Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.
Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.
Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.
Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.
Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.
Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.
Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.
Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.
Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.
Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.
Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.
MaguNini kimetokea Tanzania hadi “Rais” awaogope Watanzania kiasi hiki? Watanzania wameshaua Viongozi wangapi nchini hadi WAOGOPWE hivi?

Nyau wewe! Uliwahi kuona bunduki mbele ya Joe Biden, Vladimir Putin, Macron, Angela Merkel au Boris Johnson? Tanganyika Ina kitu Gani kuwazidi hao magwiji wa nchi kubwa kwa kila kitu?! Ni ushamba tu na kujimwabafy! Na Bado kwa shimo atekwenda kama Sisi kajamba Nani huku Kintinku na Mchambawima tunaoishi kama free molecule!Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.
Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.
Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.
Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.
Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.
Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.
Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.
Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.
Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.
Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.
Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.
Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.
Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.
Akikujibu vzr unitag.Nini kimetokea Tanzania hadi “Rais” awaogope Watanzania kiasi hiki? Watanzania wameshaua Viongozi wangapi nchini hadi WAOGOPWE hivi?
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.
Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.
Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.
Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.
Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.
Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.
Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.
Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.
Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.
Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.
Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.
Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.
Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.
Swali je umoja wa kitaifaKatika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.