Usalama wa Rais ni muhimu kuliko usalama wowote ule katika Nchi

Mungu amelala...kinachotakiwa Ni Mimi Na wewe 2025 tuingie barabaran afe kipa afe beki

...
Sema utaingia wewe na familia yako matako kabisa,mara ngapi watu wameingia barabarani na hakuna cha maana mlichofanya.

Mmekaa humu mnachonga ngenga tu hatuoni vitendo kenge nyie
 
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.

Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.

Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.

Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.

Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.

Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.

Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.

Angalia kilichomkuta Rais wa Ufaransa baada ya kupokea kibano kutoka kwa raia baada ya kujifanya mtu wa watu unaweza kuwa mtu wa watu kweli lakini not to the extent!!

Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.

Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.

Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.

Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.

Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.

Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.

Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.
genta kama genta ktk upopoma wako.
 
Ulinzi wa Magufuli haukuwa wa kawaida, ulikuwa wa zaidi kwasababu utawala wake ulijitengenezea maadui wengi wa ndani hasa wafanyabiashara wakubwa, hakuwa akijiamini.

Huu ulinzi wa Samia nao naushangaa, nauona umepitiliza kwa mtu wa haiba yake, aina ya siasa zake sio kama za Magufuli sijui ana hofu ya nini, ule wingi wa magari ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi masikini wa nchi hii, auache mara moja.
Wingi wa magari upi, pale palikuwa Pana misafara ya viongozi wengi... Msafara wa raisi katk magari yte Yale unakuta ni 15 ya mwanzo kabisa... Yule ni raisi akienda ziara lazima vyombo na taasisi mbalimbali ziwepo ili kutoa maelezo na muongozo pale raisi afakapohitaji
 
Nini kimetokea Tanzania hadi “Rais” awaogope Watanzania kiasi hiki? Watanzania wameshaua Viongozi wangapi nchini hadi WAOGOPWE hivi?
Kitaalamu usalama wa raisi hauimarishwi mpaka nchi ipate dhoruba kama hizo... Usalama wa raisi uimarishwa kulingana na kubadilika kwa mazingira ya kimfumo, siasa na ukuaji wa sayansi na teknolojia
 
Nini kimetokea Tanzania hadi “Rais” awaogope Watanzania kiasi hiki? Watanzania wameshaua Viongozi wangapi nchini hadi WAOGOPWE hivi?
Jamaa nilikuwa nakuonaga Smart, ila kwa hizo picha nimekushusha vyeo.
Asante, na mapumziko mema ya mwisho wa wiki!
 
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.

Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.

Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.

Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.

Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.

Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.

Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.

Angalia kilichomkuta Rais wa Ufaransa baada ya kupokea kibano kutoka kwa raia baada ya kujifanya mtu wa watu unaweza kuwa mtu wa watu kweli lakini not to the extent!!

Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.

Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.

Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.

Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.

Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.

Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.

Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.
Watu wanachukulia kama vile too much exaggerated in intelligence/Security aspects. Inaonekana kama kiongozi anatembelea uwanja wa vita. Hata kiongozi akihutubia unakuta audience badala ya kumsikiliza inakuwa focused kushangaa walinzi na mibunduki ya kivita na mihelkopta angani . Pia kwa kiongozi anaweza kujiona yupo kwenye hatari kubwa sana.

Usalama wa kiongozi ni muhimu sana nadhani wadau wetu wana njia nyingi wanazoweza kuzitumia ambazo pia hazitaondoa focus ya wananchi kumsikiliza kiongozi anapohutubia. Pia kupunguza show off kwa vijana wetu. Kuna walinzi ukiwaangalia unagundua kweli huyu yupo kikazi zaidi lakini ukiangalia wengine unaona hii ni show off tu
 
Back
Top Bottom