niwahi kunywa hayo maji nikaendesha wala sina hamu na hayo maji tena!!haya maji ya chupa uhai tusaidiane jamani, usalama wake upo vipi?? Kila maji ya chupa tunayonunua ukiangalia kwa chini utaona "superglue"..kumaanisha imedungwa sindano na kuzibwa tena. Siku moja nilishindwa kabisa kununua haya maji kwani maduka yote niliyopita chupa zake zimedungwa sindano, kuna usalama kweli kwenye maji haya ya uhai??
Maji ya uhai nimeshaachana nayo toka nilipokutana na harufu ya ajabu achilia mbali rangi ya chupa na kuumwa tumbo juu. Ni hatari. Tunahitaji kuboresha maisha yetu kwa kuweka vipao mbele vitu mhimu kama maji, vyakula nk. Watu wengi wanaugua kwa sababu ya kutokunywa maji, na wanaokunywa maji nayo siyo salama, utakuta mtu yuko busy kutafuta hela lakini kuitumia kwa mambo mhimu kama maji hataki!! Anajidai "Drink beer save water" save water for what or for who?. Matokeo yake, lifespan yetu inazidi kuporomoka kila mwaka.
Kwenye vikao vya kimataifa utakuta ya Kilimanjaro tu.
Hata baadhi ya watu wanayatumia Maji ya uhai kwa ajiliya Kuoga na si kunywa
Kwahiyo umeandika kikwenu hiyo heading sio au umekula cha arusha
Maji ya uhai hayana ubora wa kimataifa wa Ph 7.0, maji ya uhai yanaanzia 7.3 yale zamani na mapya yaliyokuja kipindi hiki na chupa za kuvutia yana Ph 7.9
Maji ya uhai yamezidi chumvi aisee hafu hayana ladha machungu na hayatoi kiu. Hebu wayarekebisha chumvi utafikiri ya kisima.
Ph ndio nini? au unamaanisha pH?
ubora upi zaidi. Kama ni nembo ya tbs yanayo kama ilivyo kilimanjaro.Marketing ....
Ubora
Maji ya uhai yamezidi chumvi aisee hafu hayana ladha machungu na hayatoi kiu. Hebu wayarekebisha chumvi utafikiri ya kisima.
kama hujui kitu kaa kimya. kwa hiyo maji yoyote yenye pH ya 7 ni ya ubora wa kimataifa?Maji ya uhai hayana ubora wa kimataifa wa Ph 7.0, maji ya uhai yanaanzia 7.3 yale zamani na mapya yaliyokuja kipindi hiki na chupa za kuvutia yana Ph 7.9