Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,027
Haya maji ya chupa UHAI tusaidiane jamani, usalama wake upo vipi?? Kila maji ya chupa tunayonunua ukiangalia kwa chini utaona "superglue"..kumaanisha imedungwa sindano na kuzibwa tena. Siku moja nilishindwa kabisa kununua haya maji kwani maduka yote niliyopita chupa zake zimedungwa sindano, kuna usalama kweli kwenye maji haya ya UHAI??