ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Poleni sana.Lowassa atarudi tu CCM...nadhani wabunge vijana wa Chadema wamevumilia vya kutosha sasa hawaoni faida yoyote ya kuwa naye tena..Biashara ya uchaguzi imeisha...kila mtu atarudi alipotoka..Juzi kati Lipumba alianza kijirudisha..