Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,892
- 110,038
Kwamba kuna Dikteta uchwara?lisemwalo lipo....
Kwamba kuna Dikteta uchwara?lisemwalo lipo....
Hana ugonjwa wa akili bali ana amnesia mwenye ugonjwa wa akili ni Lissu!Leo Mnyika amepona ugonjwa wa akili?
Hivi hujiulizi kwanini Mnyika hajakanusha yeye mwenyewe?Ok mnyika kamkataa,,lowasa imekuwa lumumba wamekulupuka,,bavicha wamekanusha,,nyumbu bado wanahaha,,,hata kwa Dr.slaa ilianza hivihivi,,mwishoe mkamgeuka,,,,yangu majicho.
Wew umejiuliza?Hivi hujiulizi kwanini Mnyika hajakanusha yeye mwenyewe?
chadema asili wanataka chama chaoKwamba kuna Dikteta uchwara?
Ni swali zuri. Mnyika sio mtu wa kukaa kimya. Iko namna hapa.Hivi hujiulizi kwanini Mnyika hajakanusha yeye mwenyewe?
Hata ameshindwa kupost face book au twitter au humu Jf? Mnyika huyu huyu?Ni swali zuri. Mnyika sio mtu wa kukaa kimya. Iko namna hapa.
Mkiishia kupiga kelele kwenye mitandao hakuna kitakachotokea. Polisi mpaka sasa hawajajua kama hiki kitu kimetokea na ni uongo. Hivyo nendeni mkaripoti.TAARIFA KWA UMMA
Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa
Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.
Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.
Imetolewa July 03
Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
Na mimi hicho ndicho ninacho taka mbona Lwakatale pamoja na kuumwa kajitokeza kuelezea kuhusu tatizo lake japo ni kweli yaliyo elezwa?Aisee kama siyo yeye, tunamtaka ajitokeze na kukanusha
Mbona Wilfred Lwakatale kaja kuongelea swala lake pamoja na kuumwa? Hivi kati ya Lwakatale na Mnyika ni nani ambaye yuko active zaidi kwenye mitandao?Ni swali zuri. Mnyika sio mtu wa kukaa kimya. Iko namna hapa.
Kama wahusika wa ufisadi ufuatao hawajashughulikiwa hadi leo japo walitangaza hadharani kama kuna fisadi mkubwa nchini:-Nyumbu naona Mnyika amewashika pabaya mnakimbilia kumziba mdomo.
Yuko kwenu. Mtenganishe E na cheng.K
Kama wahusika wa ufisadi ufuatao hawajashughulikiwa hadi leo japo walitangaza hadharani kama kuna fisadi mkubwa nchini:-
1. Radar ya Chenge,
2. Ndege ya Raisi
3. Meremeta
5. NBC
6. Richmond
7. Nyumba za Serikali
8. Mv mpya chakavu
9. Mabehewa mapya chakavu
10. Makontena na Mafuta bandarini
12. Mikataba ya gesi, mafuta na madini mengineyo
13. Usafirishaji wa wanyama hai,
14. Lugumi
15. Vitambulisho vya Uraia
16. UDA
17. Mradi wa BRT
18. MSD
19. TBS
20. ARV za kughushi
21.....
Walau nikipata majibu ya hatma ya waliokwapua (Makupe) hapo hata katika kashfa 10 tu nitajiunga na wale wanaoupinga upinzani Tanzania na sitakuwa na haja ya kuwatetea wanyonywaji.
kumbe bado mnamtamani king.Lowassa atarudi tu CCM...nadhani wabunge vijana wa Chadema wamevumilia vya kutosha sasa hawaoni faida yoyote ya kuwa naye tena..Biashara ya uchaguzi imeisha...kila mtu atarudi alipotoka..Juzi kati Lipumba alianza kijirudisha..
Edward Simbeye, atembelee
bandiko hili na aseme kama anawajua ni kina nani waliozungumzwa humo!.
Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa,.
Pasco