USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

At this stage JJ mwenyewe ndo anatakiwa akanushe maana inasambaa kama upepo
Mnyika wala asihangaike na haya mataahira ya Lumumba. Uliiona ile namba ya simu iliyokuwa imebandikwa pale eti ya Mnyika? Hapo ndo utajua kabisa lile bandika mamamaye lilikuwa la kutunga maana ile namba ni ya Limbu Sulwa Msukuma wa huku Bugwandege!
 
  • Slaa kaondoka chadema, kingunge, Sumaye, lowasa, na wengine wengi wakaondoka CCM. Compare and contrusts nani wengi walihama kwenye safu kubwa? Who lost more between the two parties? Sioni Chadema wanamuongelea Slaa kama watu wanavyomuongelea Lowasa. Why??????

Slaa amegombea nini ,kulinganisha na lowasa 2015,lowasa alikuwa anagombea amri jeshi mkuu wa nchi wew unamlinganisha na DR slaa
 
Mtabwabwaja were,ila hamtaujua ukweli,ila kwa akili ya kawaida tu mngepaswa akikuuliza mbona mnyika hata bungeni hayupo,mkianzia hapo mnawezafunguka akili otherwise upoyoyoooo
 
Slaa amegombea nini ,kulinganisha na lowasa 2015,lowasa alikuwa anagombea amri jeshi mkuu wa nchi wew unamlinganisha na DR slaa
Alichotaka Slaa ndo alichogombea Lowasa. Asingekuja Lowasa Slaa angetaka agombee je kuna tofauti gani? Baada ya kutokubaliana, kwanini hakukaa awaelimishe wapiga kura ili wasimuunge mkono Lowasa. Canada kuna wapiga kura wa Chadema?
 
Mnyika Jitokeze useme jambo naona watu wana lazimisha kukusemea!
 
wengine tulishasema mnyika kwa sasa hana effect yoyote katika chama alikuwa na effect kipindi cha dr.slaa tu maana ndie alikuwa anajua jinsi ya kumtumia huyu kijana na kumposition vizuri ndani ya chama na nchi kwa ujumla kwa sasa awepo asiwepo hana effect hata akihama kesho tz haitashtuka hata kidogo hata asiposema neno si ccm wala ukawa itakayo athirika
 
Wanaokamatwa na polisi ni wa upinzani tu lakini wa ccm hapana
 
wengine tulishasema mnyika kwa sasa hana effect yoyote katika chama alikuwa na effect kipindi cha dr.slaa tu maana ndie alikuwa anajua jinsi ya kumtumia huyu kijana na kumposition vizuri ndani ya chama na nchi kwa ujumla kwa sasa awepo asiwepo hana effect hata akihama kesho tz haitashtuka hata kidogo hata asiposema neno si ccm wala ukawa itakayo athirika

Wapi Super Mnyika? Ndiyo kichwa pekee kilichokuwa kimebaki chadema!
 
Mnyika wala asihangaike na haya mataahira ya Lumumba. Uliiona ile namba ya simu iliyokuwa imebandikwa pale eti ya Mnyika? Hapo ndo utajua kabisa lile bandika mamamaye lilikuwa la kutunga maana ile namba ni ya Limbu Sulwa Msukuma wa huku Bugwandege!
Unaota
Rudia kusoma
 
Hata vyama vyote vya siasa vifutwe au wote viongoz wa upinzan warud ccm kamwe siwez kuunga mkono serikali chin ya ccm wala kukipenda chama kinachoitwa ccm. Miaka 50 wametufikisha hapa sion jipya kwao
Kama uliweza Mbowe aliweza kumtakasa Lowassa basi hata wakati ukifika atakutakasia CCM na utabadili msimamo.
 
Tumuombee ndugu na rafiki yetu Mnaemsema sana Leo arudi ktk ubora wake kiafya ndio muanze kumzungumzia haya yote la hasha nikumpa tu maneno yenu ambayo apaswi kupewa sasa
 
Kitendo cha mbowe kumleta MASHINJI kuja kuwa katibu mkuu wa Cdm kutoka kusiko julikans na kuwaacha waliokuwa wazoefu mda mrefu kimewauma wengi sana ikiwepo mnyika kwa kifupi ni dharau kwa watu kama mnyika ambao wamekipigania CDM na wamegombana na watu kwa ajili ya cdm,
Angechaguliwa mnyika ungekuja na ukabila na ukaskazini.MOYO WA UTUMWA UNAKUTESA SANA
 
Angechaguliwa mnyika ungekuja na ukabila na ukaskazini.MOYO WA UTUMWA UNAKUTESA SANA

Sio kweli mimi sina shida na hayo makitu yenu , wanasema wenye chama jamaa kapaya sana sijui kama ni kweli
 
Back
Top Bottom