Ni wapi nimesema haijakamilika hiyo ya katibu mwenezi??
mkuu nimecheka mpaka basi mtu anatoa maneno ambayo hujasema
Ni wapi nimesema haijakamilika hiyo ya katibu mwenezi??
Muudumu niongezee popcon na pepsi baridiiii,haka kamovie kazur[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sawa sawa mnaweza kuandika lolote mnalotaka ila hakuna Mnyika mpuuzi kiasi hicho. Maccm mmekaa mda mrefu bila kutibua amani UKAWA hivyo mnadhani propaganda zenu zitasaidia.
Kaushauri tu;
Laiti ccm mngejikita zaidi kwenye maongozi yawezayo kuleta maendeleo kwa taifa mkaonesha uwezo wa kuliongoza taifa kuelekea kwenye mafanikio wala si kulitikisa taifa kwa kuminya demokrasia.
Hakuna na nasema hakuna Mtanzania asiyeona mambo mema mnayofanya, hakuna mtu anayetaka kuambiwa kuwa hili ni zuri au hili ni baya. CCM mkitenda mema mtatawala milele, ila mkiendelea kuminya demokrasia, mtaendelea kutawala bila ridhaa ya watawaliwa.
Tendeni mema, acheni kutumia watu kudidimizza upinzani. Tutawaangalia hao wapinzani, tutawapima na mwishoni tutawapa haki yao wanayo stahili. 2020 is not far, tumuunge mkono rais akiinue chama kilipotumbukia si kwa migongo ya watu.
Wadanganye wajinga wa lumumba, hivi ni nani mhusika mkuu wa vitendo vya ufisadi kama viongozi walioko madarakani? Kashfa zote ambazo umezisikia nchi hii zimefanywa na walioko madarakani. EPA, UDA, ESCROW, IPTL, RICHMOND, Lugumi, na zingine lukuki zina mkono wa high office. Nyerere aliwahi kusema mtu anayeuchukia ufisadi akisema unamtazama usoni unaona kabisa kuwa huyu haupendi ufisadi,lakini huyo ambaye anawahakikishia akina Kikwete na wenzake kuwa atawalinda wasiwe na wasi wasi, licha ya wizi wa pesa na rasilimali za taifa hili unakuja na kauli za kitaahira kuwa credibility ya Magufuli huwezi kui quesion?Mkuu hizo zote Ni Propaganda, mpaka Leo hii Serikali ingekuwa Na uwezo ingejenga nyumba nyingi tu Na kuwapa wananchi wake bure tu Na sio kwa bei rahisi!
Hizo propaganda wenye akili wanajua hazina tija yoyote, credibility ya Magufuli kuhusiana Na UFISADI huwezi kui-question!! But it is very simple to question Lowasa's credibility when it comes to corruption scandals!!
Lipi lile la dictation au imla ya darasa la 3A pale madongo kuinama shule ya msingi?Nataman kutoa tusiii jipyaaaaa.......................
Inamaana ile sheria hawaijui?Wako 46 JK anawafahamu ni vijana wake na msahau kuwajibishwa hawa.
ChaguaaaLipi lile la dictation au imla ya darasa la 3A pale madongo kuinama shule ya msingi?
Blaza kwa kujipa promo?Edward Simbeye, atembelee
bandiko hili na aseme kama anawajua ni kina nani waliozungumzwa humo!.
Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa,.
Pasco
Teh.. Teh.. Teh...Wadanganye wajinga wa lumumba, hivi ni nani mhusika mkuu wa vitendo vya ufisadi kama viongozi walioko madarakani? Kashfa zote ambazo umezisikia nchi hii zimefanywa na walioko madarakani. EPA, UDA, ESCROW, IPTL, RICHMOND, Lugumi, na zingine lukuki zina mkono wa high office. Nyerere aliwahi kusema mtu anayeuchukia ufisadi akisema unamtazama usoni unaona kabisa kuwa huyu haupendi ufisadi,lakini huyo ambaye anawahakikishia akina Kikwete na wenzake kuwa atawalinda wasiwe na wasi wasi, licha ya wizi wa pesa na rasilimali za taifa hili unakuja na kauli za kitaahira kuwa credibility ya Magufuli huwezi kuichanganya quesion?
Suala la Lugumi, tenda imetangazwa leo kesho yake mkataba unasainiwa, less than a week mtu analipwa almost pesa yote kabla ya kuanza kazi kinyume cha sheria ya tenda, kisha mteule wake Tulia anaenda kutetea bungeni ? Simply anatimiza ahadi yake ya kuwalinda majizi makuu.
Wako wapi wahusika waliokuwa wanapitisha makontena zaidi ya 2000 ambayo hadi orodha alikuwa nayo? Wako wapi waliotengeneza bomba la mchepuko la mafuta ku divert flow meters? Wako wapi waliotoa amri kufungwa kwa flow meters kwa zaidi ya miaka mitano?
Unafikiri wote humu tuna akili za kushikiwa nyumba sehemu prime zimeuzwa na kugawiwa kwa mahawara tena kwa bei za kutupwa kwa akili yako mbovu unatuambia ni propaganda, you are not serious or you are nut, aliyekuwa Waziri mdogo wa ujenzi Dk Charles Tizeba kakaa hotelini new African hotel kwa zaidi ya miaka 7 akilipiwa na serikali, unatuambia propaganda unaishi dunia gani wewe?
Kwa nini walizuia hotuba ya kambi ya upinzani ya Waziri kivuli wa mambo ya ndani isisomwe bungeni kama walikuwa na maelezo ya kweli na ya kujitosheleza? Tuorodheshee kashfa za Lowassa hapa na utuconvice kuwa yeye ni mhusika mkuu. Acheni upambe usio na maana wakati mwingine mjaribu kuwa wazalendo
Hiyo sheria mmetungiwa nyinyi ili mshikishwe adabu.Inamaana ile sheria hawaijui?
Huyu ni kilaza wa kiwango cha phdAliyeuza na kudalalia kuuza nyumba za serikali na zingine kuwagawia mahawara zake, aliyenunua kivuko kibovu kwa cha mwaka 1978 kwa bei ya kivuko kikubwa cha kisasa cha mwaka 2015 na kisha kuzuia wabunge wa upinzani wasiijadili bungeni ni nani we mkilaza?