LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,300
Nimechoka kutibia magonjwa ya zinaa ambayo nimekuwa nikiambukizwa na wanawake wenzangu! Nimechoka kupoteza hela zangu ! Nimechoka kumkufuru Mungu nimechoka kuishi maisha ya siri, nimechokwa kuishi maisha ya kutengwa ! Sasa nimeamua kumrudia Mungu. Kwa wote nilio wakwaza, samahani. Nipo tayari kutoa somo la bure kwa wanawake wenzangu ambao bado wanaendekeza usagaji. Usagaji sio ishu kabisa jamani!~ Ni kufuru na laana kubwa mbele za Mungu
Update...
Update...
Habari zenu wana jamvi, baada ya kushauriana na wadau kadhaa hapa JF kupitia pm, nimeamua kuyaweka maisha yangu ya upotofu kwenye kitabu, CD ya mazungumzo na filamu....Bado nipo katika mazungumzo na wadau hawa wa vitabu na filamu na tutakapo kuwa tumefikia makubaliano basi nitawafahamisha ni lini kila kitu kitakuwa tayari. Stori yangu ni ndefu sana na inawahusisha wanawake wengi so kuweka hapa JF itanichukulia muda mrefu sana ..Mnaweza kutoa ushauri wenu pia. Asanteni na siku njema.