kwitandula
Member
- May 24, 2020
- 30
- 35
Nani msimamizi wa huu usafiri?hii kero ya abiria kukaa kwenye kituo zaidi ya saa moja bila usafiri hamuioni?kwa nini wanasiasa wapo kimya juu ya jambo hili linalosumbua wananchi? tunapoteza muda mwingi sana kwenye vituo,muda ambao ilibidi wagonjwa wahudumiwe na wataalamu wanaosubiri usafiri,watu wawepo kwenye shughuli zao za kujiingizia kipato au ofisi za uma kutoa huduma kwa wananchi,,wahusika wakuu mpo wapi?????
Ushauri wangu:
Rudisheni daladala,zifanye route maeneo yote mtu achague kama apande mwendokasi au lah,ila hii ya kutuacha tuteseke na kutegemea usafiri wenu tu, hamtutendei haki kabisa.
Ushauri wangu:
Rudisheni daladala,zifanye route maeneo yote mtu achague kama apande mwendokasi au lah,ila hii ya kutuacha tuteseke na kutegemea usafiri wenu tu, hamtutendei haki kabisa.