Usafiri Kafiri...!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,725
Safari yenye Mkosi.
Safari toka Dar-Arusha ilitakiwa kuanza saa12.30 lkn imeanza saa 3.00asbh.
Na Hapa ni Maeneo ya Kabuku ambako tumepata pancha!
Utafikiri tunakwenda msitu wa Mabwepande aisee!!
 
Hahaha! Pancha mngepatia kwa ngulelo ndo ingekuwa safari yenye mkosi,lol! Pole baba. Angalia mahindi ya kuchemsha hapo yakuweke busy, bora salama!
 
Mie ndiyo maana niliachaga kusafiri na mabasi .
Nway pole Kiongozi .
 
Safri njema na pole sana PakaJimmy....... lol c ungeazima ungo kwa bibi yako pale kibolironi mara moja (jokes)
 
Last edited by a moderator:
Pj pole kamanda,ukikwamuka na kufika arusha msalimie sana Lizzy na umrushie mmmmmmmwwwwwaaaaaa........
 
Last edited by a moderator:
Pj pole kamanda,ukikwamuka na kufika arusha msalimie sana Lizzy na umrushie mmmmmmmwwwwwaaaaaa........
Mkuu zimefika. Lizzy ni mzima wa afya ijapokuwa ananyonyesha kwa sasa, kwahiyo mambo yake hayajatulia. Anauliza vp hukupata ile namba yake Voda na kwa hiyo vp hiyo M-pesa utamtumia? Eti kama huttaki hiyo namba ampe Erickb52 ambaye atamrushia m-pesa mara moja!
 
Last edited by a moderator:
Kongosho ndo wewe umekaa na huyo mchina nn, maana naona uko tight na simu aina ya TECNO.
 
Last edited by a moderator:
pole kaka... nunua kabisa machungwa... halafu Kongosho mtambulishe huyo mchina hapa jf.... isijekuwa Asprin au Bishanga ni mchina! lol
 
Last edited by a moderator:
Mkuu zimefika. Lizzy ni mzima wa afya ijapokuwa ananyonyesha kwa sasa, kwahiyo mambo yake hayajatulia. Anauliza vp hukupata ile namba yake Voda na kwa hiyo vp hiyo M-pesa utamtumia? Eti kama huttaki hiyo namba ampe Erickb52 ambaye atamrushia m-pesa mara moja!

Embu cheki hicho kichanga kama kinanifanana au ka vipi tufanye a la baloteli kavute unywele tucheki dienei.
 
Last edited by a moderator:
Safari yenye Mkosi.
Safari toka Dar-Arusha ilitakiwa kuanza saa12.30 lkn imeanza saa 3.00asbh.
Na Hapa ni Maeneo ya Kabuku ambako tumepata pancha!
Utafikiri tunakwenda msitu wa Mabwepande aisee!!
PJ Pole sana aisee hope umefika salama au bado?
 
Back
Top Bottom