Usafiri Kafiri...!

Mkuu zimefika. Lizzy ni mzima wa afya ijapokuwa ananyonyesha kwa sasa, kwahiyo mambo yake hayajatulia. Anauliza vp hukupata ile namba yake Voda na kwa hiyo vp hiyo M-pesa utamtumia? Eti kama huttaki hiyo namba ampe Erickb52 ambaye atamrushia m-pesa mara moja!
PakaJimmy niko nangoja wanitumie namba naona kimya hadi sasa....!
Nimejipanga vilivyo aisee lol
 
Last edited by a moderator:
Safari yenye Mkosi.
Safari toka Dar-Arusha ilitakiwa kuanza saa12.30 lkn imeanza saa 3.00asbh.
Na Hapa ni Maeneo ya Kabuku ambako tumepata pancha!
Utafikiri tunakwenda msitu wa Mabwepande aisee!!
umenikumbusha siku nilikata ticket hapo ubungo wakaniandikia 12.30 nikaja hapo mpaka nikasinzia mana tuliondoka sa 09.30
 
kwikwikwikwikwiiiii

Afu kule kwenye Uzi wa ukweni kwangu, ulikua umekuja kimaksudi mazima un'chafulie hewa!
Nikakustukiaje?
Mtoto m'baya wewe!
Hata hivyo nikakumaliza mahesabu yako kibingwa!
Uzuri wife kaenda shule!
 
Afu kule kwenye Uzi wa ukweni kwangu, ulikua umekuja kimaksudi mazima un'chafulie hewa!
Nikakustukiaje?
Mtoto m'baya wewe!
Hata hivyo nikakumaliza mahesabu yako kibingwa!
Uzuri wife kaenda shule!

hahahahaaa nimechekaje....
Imebidi niwe mpole tu....
Umeniwahi ile mbaya.....
 
hahahahaaa nimechekaje....
Imebidi niwe mpole tu....
Umeniwahi ile mbaya.....
Kabla wewe hujacheka mi ndo nilishachekaje mbaya!
Ulikua umenishukia ki'freemason! Ndy maana unpresent yako busati hua naitambua very early!
Mi natoka online si unajua tena leo ni uroda namie! Namie na uroda!
Chao.
 
Back
Top Bottom