hapo kwa sadotiwaliokufa niNdio bado wako hapo ingawaje kuna watoto wake wawili wa kike walifariki na mjukuu wake wa kike.
Inaelekea tunafahamiana maana enzi hizo sisi tulikuwa tunaishi jirani kabisa na mzee Sadoti.
hapo kwa sadotiwaliokufa ni
Mabinti zake wawili Nyasa na Prisca. Juzijuzi kafa brother Kalori mtoto mkubwa wa mzee sadoti.
Kumbe we jirani nimekulia mitaa hiyo enziii hizo but nimesoma lake sec
Enzi hizo nimesomea nganza sec
Wajemeni tuwekeeni picha basi. Uzi kama huu halafu picha hakuna!Kumbe nyie wote mliotoa comment mpaka sasa hivi ni wa juzi tu. Miaka ile ilikuwa hakuna cha minibus wala nini. Tulikuwa tunapanda zile peugeot za kizamani mnarundikwa kama ndizi humu. Station wagon moja ilikuwa inaweza kubeba hadi abiria 8. Zilipotoka hizo ndio zikaja express. I love Mwanza mji niliokulia.
Tiba
Wajemeni tuwekeeni picha basi. Uzi kama huu halafu picha hakuna!
Kumbe nyie wote mliotoa comment mpaka sasa hivi ni wa juzi tu. Miaka ile ilikuwa hakuna cha minibus wala nini. Tulikuwa tunapanda zile peugeot za kizamani mnarundikwa kama ndizi humu. Station wagon moja ilikuwa inaweza kubeba hadi abiria 8. Zilipotoka hizo ndio zikaja express. I love Mwanza mji niliokulia.
Tiba
UnaKumbuka bin sadoti express ya kwenda pasiansi nauli shiling 3.
Kabibi Hotel pale kona ya Bwiru bado ipo?
Nimepanda magari ya Sadoti enzi hizo dereva akiwa 'kaka Mafyale'.. bahati mbaya sana huyu mzee alifilisika vibaya na kwa sasa amezeeka kweli.
Kuna express moja ilikuwa inapiga route za Mwaloni - mjini inaitwa MAJIRA...
hapo kwa sadotiwaliokufa ni
Mabinti zake wawili Nyasa na Prisca. Juzijuzi kafa brother Kalori mtoto mkubwa wa mzee sadoti.
ahahahahhh, duh umenikumbusha mbali aisee, mmiliki wa majira tulikuwa tunaishi nae jirani mtaa wa azimio. Mmoja wa watoto wa sadoti alimuoa mwalimu wangu wa hesabu enzi hizo mwenge primary, basi mwalimu alikuwa anajidai huyo babamkwe ana express
Wadau wa rock city enzi zile mnakumbuka Mwanza hapakuwa na usafiri wa vipanya kama leo. Vipanya vilikuwa Mabatini na Kirumba tu lakini Igombe kulikuwa na min bus zikiitwa Toto Tundu, Mayeji na Jalijalalam, Igoma kulikuwa na Last Boy na Mkuyuni air Jordan.
Mkuu enzi hizo mtu kuwa na Kamera ilikuwa issue kupita kiasi. Picha tulikuwa tunapiga studio tu. Halafu pale stendi mjini kulikuwa na kituo cha Polisi na mkuu wa kituo alikuwa anaitwa Kalori, Mzee mmoja mweupe amejaza halafu kapanda juu. Huyu alikuwa anawajua vibaka/vijana wa pick pocket wote. Akimwona mmoja akimwangalia jicho tu inabidi huyo kibaka akimbie kama hana akili nzuri. Mwanza enzi hixo. Mimi nilisoma Mwanza Secondari.
Tiba
Club ya Matata hapa unamaanisha Magnum club pale Kirumba mbele kidogo ya Furahisha? Mwanza imetoka mbali jamani!
Enzi hizo ukienda na demu mkali lazima Matata akupore,sasa hivi ni Mheshimiwa Diwani.
Kabibi Hotel pale kona ya Bwiru bado ipo?
Hongera mzee mwenzangu najua utakuwa unamkumbuka na Mzee Kanyau mzee wa zeze alikuwa na kibwagizo (wekelea kanyau) nyimbozake nyingi zilikuwa za kuisifu Tanzania na Kambarage huku akimponda Idd Amin.