Napitia comment nyingi naona vijana wana team,wanaleta team za bongofleva huku,yani team kim na team US,
Utapotaka kuwa mchambuzi wa mambo siku zote laIma uzingatie kusoma mambo mengi,kuwa updated,ukubali kujifunza, anyway bahati mbaya taarifa nyingi zipo Kiingereza sasa hapo ni shida kidogo,watu wanategemea uchambuzi wa media,bila wao kuchimba mambo.
Mwisho Vita si ya kushabikia,kushabikia vita sio utu wa kibinadamu, wenye imani zao waombe vita zisitikee,BTW hawa mafahali wakipigana NK na US Africa ndo mtaenya zaidi maana 80% ya budget zetu ni tegemezi,they control everything,huenda hii vita ikitokea hata internet tusiwe nayo tena endapo watazitungua au zitakuwa affected na EMP.wale sio M23 au Al shabab.
Refer spiral over effect.