Disciplinarian
Senior Member
- Feb 1, 2017
- 127
- 103
" Torpedo Boats and Missile Craft N. Korea zipo 250 wakati USA 0."mkuu unakosea haki mada...USA ndiye muundaji na mzalishaji wa Torpedo;inakuwaje anamiliki 0!Nimecheck video hapa chini. Nimegundua USA anambwembwe nyingi sana. Kwa upande wa majini N. Korea iko njema sana. Vile vile kwa upande wa nchi kavu N. Korea wapo vizuri kinoma. Nina shawishika kusema kwamba N. Korea ni tishio kubwa sana kwa USA.
Ninathubutu kusema kwamba Trump anapiga mikwara tu. Na isitoshe kuna vifaavingine vingi vya N. Korea hawavijui. Kwa upande wa anga USA wapo vizuri sana lakini wanaweza kuingia N. Korea yenye uwezo mkubwa majini na nchi kavu?
Attack Submarine N. Korea 70 wakati USA 55
Irefu wa pua sio wingi wa mafua. Msela akitaka kuingia vitani lazima atafute wa kumburuza, waburuzwaji ni UK na France. Na uku Asia ataburuzwa mjapan na SK, atawasaidia siku mbili tatu mwisho atakuwa anawauzia silaha tu na kuwapa mafunzo. Mbepari huyu hana masihara kwenye pesaUlishaiona size ya N Korea alafu ulinganishe na USA.... ndo utajua kwanini haitaji msaada wowote kuingia na kumtandika. Tatizo tuu ni wananchi wakawaida ndo watakao taabika ndo maana busara inatakiwa itumike sana. Manake akimtandika itabidi awape msaada maradufu tena watu wa N Korea baada ya kichapo kwa dogo.
nina mashaka na ufahamu wako wa geographical location ya US na NK.Vita ni hela
Vita ni gharama
Vita ni technics
Vita ni silaha
Kwa muktadha huu bila shaka ni aibu kwa US kupigana na N.K maana anaizidi kila kitu.
Vita ikianza itapiganwa katika ardhi ya N.K ,kwa hiyo shughuli zote za uzalishaji,viwanda na huduma za kijamii zitasimama na hii inamaanisha N.K hawataweza kupigana vita hii kwa muda mrefu bila kuanza kulia lia upungufu wa silaha,chakula,maradhi na madawa.
Kwa upande wa US yeye vita haitafika kwake kwa hiyo shughuli zote za kiuchumi zitaendelea kama kawaida na atapata faida kwa kuwauzia washirika wake silaha (Nato,S.K na Japan) bila kusahau kutest silaha zake mpya.
Mwisho wa siku Kim ataishiwa kunyongwa kama tulivyoona kwa Saddam na Gaddaf (R.i.p)
Korea atapigwa popote tu, iwe majini, angani au ardhini, hata nje ya dunia atapigwa tu. Miaka 72 yote hiyo tangu bomu la atomic huko Japan, wewe unadhani leo mwaka 2017 wana silaha za aina gani. Usijidanganye, USA kajiimarisha maeneo yote!!Siyo mkono bro. Kwa upande wa majini N. Korea wapo njiema sana. Na upande wa ground wapo na multiple rocket launcher 2400 wakati USA wapo na 1200.
Bila shaka na Wewe umemezwa na ngonjera za Mrus na NK unadefend kwA nguvu zote as if ulikuwepo mradi hoja yako ipate mashiko...
Uchambuzi mwingine ni vituko,hizo rocket laucher ni pesa ngapi hata marekani ashindwe kuunda/kununua kama anazihitaji?Siyo mkono bro. Kwa upande wa majini N. Korea wapo njiema sana. Na upande wa ground wapo na multiple rocket launcher 2400 wakati USA wapo na 1200.
Jaribu? Hiz daily show za uhuru ndio unatumia ku determine nguvu ya jeshi letu thidi ya america. Dont try that man...Jeuri ya USA ni angani tu, ardhini hata sisi tunaweza kuwatoa upepo tu!
enter continental missiles. Korea hawana akili ndogo....pigana nyumban kwake yeye anatupoa kwako..tena nuclearAdvantage aliyonayo USA(kama vita otapiganwa) ni kwamba vita itapiganwa Korea na sio america so either way Korea watapata hasara sana
Hata enzi za iraq mlisema kuwa USA atajuta!! Kiulaini mtu akapigwa N. KOREA hana ubavu wa kupambana na Marekani bwana!
wewe jidanganye tu kununua kivuko shida meli za kawaida huna ya kijeshi hufikirii vifaru vyenyewe vya 80's wanajeshi wapo vizuri kiasi leo karne ya 21 ukapigane na usa wakati Tanzania haipo 20 bora kwa vifaa vya kijeshi Africa, ndio we are not in top 20 in Africa based on military weaponJeuri ya USA ni angani tu, ardhini hata sisi tunaweza kuwatoa upepo tu![/QUOTE
Nnachojua Japan ni super power too far from NK, na kawaida nchi yoyote yenye nguvu kubwa kiuchumi pia inauwezo mkubwa kijeshi....Ni ulimbukeni tu wa mapank....Kuhusu Seoul hakuna ushahidi kuwa NK ndo walifanya assassin ya president wao........Mwaga facts bana, hao South Korea washauliwaga hadi president wao na assasins wa DPRK na waliufyata.Japan ndio kashajichokeaga kitambo tu.
Ndo ushangae yaani (in Gwajimaz voice)ujue hata mi nilikua najiuliza hivi hata Japan leo ni yakufananishwa na vitu vya kijinga kabisa!!?
Mkuu hebu Funguka kuhusu huyo Snowden, ameajiliwa kwa kibarua gani...?Mkuu China Isikutishe sana kijeshi hasa katika hayo makombora ya nyuklia, wakati Urusi (USSR wakati huo) inaeneza teknolojia ya nyuklia kwa mataifa machache ya Kikomunisti baada ya kuiwezesha Korea Kaskazini, sasa ikawa zamu ya Cuba ili kuinyamazisha US mwaka 1962 lile tikisiko la amani ya dunia lililoitwa Missile Crisis, baada ya Urusi kukubali kusitisha kupeleka yale makombora na mpango wa kujenga vinu vya kinyuklia Cuba, kuliibuka mgogoro mkubwa sana kati ya China na Urusi, hivyo China hakuwa mfaidika wa teknolojia hii, na hakukuwepo taifa lingine la kuipatia china teknolojia hii kwa sababu China ilikuwa nchi ya kijamaa na hivyo ni Urusi tu ndo wangeweza kuwapatia. China sasa hivi silaha yake KUBWA ni watu, yaani idadi, ndo imekuwa tishio kwa uchumi wa mataifa makubwa hasa unapoingia naye uhasama. kwa sababu ya soko CHINA IKIGEUKIA KUNUNUA BIDHAA TOKA TAIFA FULANI INAWEZA KULIFANYA KUWA TAJIRI NDO MAANA MAREKANI AKAONDOA UHASAMA NA KUANZA KUWEKEZA CHINA. Hivo China imekuwa ni taifa linalogombaniwa kuwa rafiki wa kila taifa kubwa kwa sababu za kiuchumi.
Kama unakumbuka vizuri mwaka 1999 wakati majeshi ya NATO yakiishambulia Yugoslavia kumtoa Slobodani Milosovic yalipiga ubalozi wa China yalivodai kwa bahati mbaya, lakini nafikiri pia ilikuwa kutingisha kiberiti, China iliwaka na kudai iombwe radhi, nakumbuka Marekani ilijibu kihuni kwamba tumetoa maelezo kwamba shambulizi lilikuwa la bahati mbaya na hamna haja ya kurudia kutoa maelezo, hii ni kwa sababu ile nguvu ya China kijeshi ambayo wengi tumeipachikia haina ni PSEUDOPOWER ipatayo kutoka kwa tusio makini na historia ya Dunia.
The same ikatokea 2005 marekani ilishambulia masafara wa barozi wa Italia na kumwua afisa upelelezi wa Italia, wakidai walidhani msafara wa kumtorosha Saadam Hussein, Italia ikakasirishwa na jambo hilo, ikataka maelezo ya msingi, pia askari waliohusika katika tukio hilo wapelekwe italia mashtaka. Marekani chini ya Bushi ilijibu kwa ustaarabu na umakin mkubwa na kuomba radhi juu ya hayo yaliyotokea kisha kuandika maelezo ya kutosha juu ya shambulizi lenyewe na kosa lilitokea.
Nakukumbusha kuwa kuna mataifa yenye nguvu yanayoogopwa si China kama tunavowapamba, China ina nguvu ila Magiants hawahofu mno kama tunavopenda kusema. Mataifa yasiyotabilika na yanaogopwa ni, Urusi, German, Italy, N. korean na Cuba. Sijataja US, UK na France maana husimama upande mmoja kuchokoza wengine. France anjificha kwa US na UK, mataiofa hayamuhofu sana siku zote. Kumbuka sakata la Edward Snowden, ndio maana yeye pia kakimbilia Urusi, nchi nyingine ingepigwa mkwara, ingevamiwa au CIA wangemfuata na kumwulia humohumo, lakini sasa Snowden amepewa kibali cha kuishi na ameajariwa.