Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,567
- Thread starter
- #21
Tunahitaji kuchangia kwa angalau 10%
Mwenzako ana Veto Power wewe utapewa hata ukichangiaNataarifiwa hapa USA pekee huchangia yapata 22% ya bajeti ya UMOJA WA MATAIFA (sisi Afrika kwa umoja wetu, AU wenye nchi 54 tunachangia % ngapi huko UN?). Mhe. Trump ataendelea na formula (22%) hii? Hivi Afrika hatuwezi kujipanga tukawapelekea ng'ombe, mahindi na maharage wauze kwenye mnada wapate pesa za kujiendesha, kama mchango wetu badala ya pesa cash?
Gadafi alikuwa ana changia 16% ya AUAU is a big joke my friend.
Ndugu zetu wa Comoro watusaidie huko UN.Gadafi alikuwa ana changia 16% ya AU
Kwa sasa sijajua nchi ya afrika inayo fikisha hata 5%
HahahahaJengo la makao makuu pale AU, Addis Ababa pamoja na furniture wametusaidia "rafiki" zetu Uchi-na.
tukikumbuka enzi za utumwa dahhNataarifiwa hapa USA pekee huchangia yapata 22% ya bajeti ya UMOJA WA MATAIFA (sisi Afrika kwa umoja wetu, AU wenye nchi 54 tunachangia % ngapi huko UN?). Mhe. Trump ataendelea na formula (22%) hii? Hivi Afrika hatuwezi kujipanga tukawapelekea ng'ombe, mahindi na maharage wauze kwenye mnada wapate pesa za kujiendesha, kama mchango wetu badala ya pesa cash?
Anyechangia pakubwa majeshi ya NATO ni MMarekani wakati Mlindwa ni hao NATO zaidi.hilo nalo neno, majeshi yanayoitwa ya AU kule somalia bajeti yao inatoka kwa USA/EU.
AU ni kijiwe cha wahuni.hilo nalo neno, majeshi yanayoitwa ya AU kule somalia bajeti yao inatoka kwa USA/EU.
Wahuni kivipi mkuu hebu fafanua.AU ni kijiwe cha wahuni.