USA Government na EPA hawataki Afrika na Tanzania iendelee ndio maana...

kaja mmarekani halisi kabisa donald trump, katika moja ya ahadi zake ni kuziacha pesa za kimarekani zimsaidie mmarekani mmarekani.

mtakoma na mtasaga meno,hivyo vi pesa vya madafu milioni kumi vinajaa gunia si lolote.

Kafika Trump afute hela zote ambazo huwa mnaimba kwamba ni msaada ya kibajeti

na anapaswa kuifuta hiyo misaada kwasababu ni hela za wamarekani na zinatakiwa kuwatumikia wamarekani. Kutegemea hela za wamarekani inamaanisha kila siku tutashindwa kujitegemea wenyewe na tutakuwa tunaambiwa cha kufanya.
 
Huo uwezo haupo,wacha propaganda bhana,kwa mfano marekani Tanzania itapambana nayo vipi?

nusu ya bajeti ya nchi inatoka marekani au nchi ambazo marekani ikiamua iziambie zisitoe hata mia kwenye bajeti,hazitoi.

Kama ni vita,marekani ina manuari za kivita bahari ya hindi zenye makombora ya kinyuklia na ya kawaida,wanapaki meli bahari kuu wanaanza kurusha makombora,wana makombora yanayoweza kusafiri mpaka kilometa 2000,sawa na umbali wa mwanza dar mwanza,na kwa kuwa jeshi letu ni la nchi kavu zaidi,hao askari wa miguu hawawezi kutembea juu ya maji,kama ni ndege,marekani wana maelfu ya ndege ambazo wakizirusha zote kwa wakati mmoja katika jiji la dar,dar itaonekana giza

kama ni kiuchumi,nenda zimbabwe,ni mfano mzuri wa economic wars and sabotage

Hilo ndilo swala ninaloliongelea. Kama nusu ya bajeti ya nchi inatoka marekani basi nchi uchumi wake na matumizi yake hayafanani. Nchi inahitaji kwanza soko la uhuru likuwe biashara ikuwe na uchumi ukuwe siyo kuanza na matumizi chungumzima ambayo inahitaji kukopa hela ili tu kukamilisha.

Ni kama mtu ambaye hajapata hata kazi akaanza kuchukua mikopo kuijenga nyumba. Hata kama atamaliza kuijenga nyumba bado haita kuwa yake kwa sababu akishindwa kulipa mkopo benki itaichukua hiyo nyumba.

Tatizo tanzania tunataka kujenga miundo mbinu zaidi kuliko kutaka kujenga uchumi wa wananchi wenyewe na mapato yao. Hii ni kama kwende kutumia hela kwenye credit card kabla ya kupata kazi ya kulipia hiyo credit card.

Hamna anayeongelea vita na marekani. Hapa tunaongelea kuacha kuwaamini wamarekani. Kuacha kukubali misaada yao na kuachana na mikataba ambayo ina tuathiri.
 
Mie naona unakosea unapofikiri kwamba ni lazima serikali ya marekani au EPA wanajukumu la kuchangia maendeleo ya Tanzania.
Tanzania ili iendelee inahitaji kuangalia maslahi yake kama nchi kwanza, kila mkataba uwe na manufaa kwetu ila tutumie nchi nyingine kufanikisha mipango yetu. Marekani na nchi zilizoendelea zinafanya hivyo tokea zamani

Japan- Tanzania ( magari ya kijapan yana soko sana hapa)
China- Tanzania (kinachofanyika unaona)

Ipo mifano hai mingi sana ila sie hatutumie fursa za mikataba tunayosaini tunasubiri tupewe..... tupo kwenye zama za kale, watanzania hatutaki kutoka nje na kijifunza waliotoka wanarudi wanatuibia wamejifunza familia kwanza watanzania baadae

Kwanza sijasema Marekani ina jukumu la kuchangia maendeleo ya Tanzania. Ni kinyume kabisa na hivyo. Nimesema tusiwaamini wa marekani kwasababu misaada yao inakuja na nia mbaya.

Magari ya Japan hayatengenezwa au kuletwa na serikali ya Japan bali ni kampuni binafsi ambazo zinatengeneza magari mazuri na kuvutia wateja Tanzania ndiyo zinaleta magari.

Ni nini kinachofanyika na China kama siyo kuinunua nchi kupitia misaada na kuwahonga wanasiasa.
 
Sifikiri umeielwa hoja yangu. Nina hoja nyingi tu kuhusu makosa ya serikali yetu na makosa yake. Nina hoja pia za fikra za kiafrika zinazokosa hekima. Hii ni hoja kuhusu EPA na serikali ya marekani na mbinu zake za kupata madaraka kwenye nchi za kiafrika. Kama unataka kukataa kwamba serikali ya marekani haina mbinu za kuziweka nchi za kiafrica kwenye umaskini ili iweze kuzibabaisha basi amini unachotaka. Lakini angalia IMF, World Bank, UN, EPA na hizi organization zenye policy za kulazimisha au kuhonga nchi za kiafrica kuingia kwenye mikataba mibaya. Kama hiyo siyo mbinu ni nini?

Hamna lawama kwa wamarekani bali ni serikali na wanasiasa wao ambao ni waovu. Na kisa ninaisema serikali ya marekani haimaanishi sina tatizo na wa china. Wao pia ni wa socialist ambao hawafai. Lakini hoja hii bado inahusu serikali ya marekani.

Wazungu hawajatufunga kamba lakini wameweka restrictions on trade na sanctions kwenye nchi ambazo hazikubaliani nao kwahiyo husifikiri kamba ndiyo kitu pekee ambacho kinatumika kuoppress.
Uvivu wa kufikiri ndio unatuangusha waafrika. Nikuulize imekuwaje kanchi kadogo kama Rwanda kanatuzidi katika kupiga hatua kimaendeleo? Hakuna cha wazungu ni sisi wenyewe na uongozi mbovu usiokuwa na malengo yoyote outside politics.
 
endelee nn mavi ya kuku ikiwa miaka 55 hawakuweza kundelea wataweza leo nchi iliyosheheni
 
kama nchi haina vikwazo imeshindwa kutengeneza hata sindano!!

tuache kudanganyana jamani
Mara nyingine vikwazo vinafanya watu wapate akili.Nakumbuka kuna wakati nchini tulikuwa na tatizo sana la spare part za Magari.Mafundi wakawa wana "improvise", engine ya Toyota inafungwa Kwenye Peugeot baada ya marekebisho ya kiutundu au carburetor ya Benz kufungwa Kwenye Toyota na magari yakatembea.kifupi hata katika Mabaya Mungu huweka Neema iliyojificha.jukumu letu huwa ni kuitambua hiyo Neema iliyojificha.
 
habari ya kila kitu tunachokiona kwetu hakifai kusingizia ni mbinu za marekan na wazungu ni aina nyngne ya utumwa wa kifikra inayosababisha tuzidi kuwa wavivu wa kufikiri.......hata marekan na wao waliyawaliwa na wazungu lakin leo wameweza kujiinua nakufika hapo walipo...ni vyema waafrica tujue kuwa ni cc wenyew wenye uwezo wa kujiinua toka hapa tulipo na tuache kuwalaumu watu wengine kwa matatizo yetu.....maana hizi habar za kuwaona america na wazungu wanataka kukandamiza uchumi wetu ili wao wafaidikie ndizo zinazotufanya leo hii tukimbilie kwe mikon ya china ambao na wao wanaendelea tu kutumia kwa manufaa yao pia...tuache lawama tufanye yale tunayoyaona mema kwetu maana wazungu hawajatufunga kamba

Sipingani sana na baadhi ya kauli zako. Ila kuna udhaifu mkubwa na wa uwazi juu ya uelewa wa mambo ya dunia hii.

Kwanza marekani ni bara sio nchi. Labda ulitaka kutuambia U.S.A. Hata ingekuwa U.S.A haijaweza kujinasua na mataifa yaliotawala ardhi hio hadi hivi leo.

Kumbuka U.S.A ni muunganno wa majimbo kadha ambayo yalikuwa katika makoloni ya nchi tofauti ya Ulaya, ikiwemo Uingereza, Ufaransa na Uispania. Na katika majimbo ya makoloni haya huongea lugha za mataifa haya.

Hivyo nchi kama nchi bado haijapata ukombozi, wenye ardhi bada wangali watumwa hadi leo.

Pili: hoja ya haya mataifa kuwa na ulaghai ni sehemu ya maisha yao. Kumbuka mwalimu nyerere aliwai kusema kuwa Mzungu hana urafiki na mtu yeyote. Unaweza ukadhani anacheka na wewe kumbe moyoni anasema i wish i could crash you now.. son of bitch..

Ndivyo walivyo kinature hawataki wala hawawezi kusubmit to black leadership. Hawana undugu walla urafiki na taifa lolote. Wapo kwa ajili ya kunyonya tu. By nature they are the parasites. They can not help themselves.

Kwanza elewa kuwa HAWA ni last branch of human family genetically. Hili tu kisaikolojia limewaharibu sana. Ndio maana wanataka wawe juu tu hata kwa kuua.

Never make or trust them with any thing. They are the deceiver and the destroyer. Ndio maana kwa miaka 600 hawajawai kukujenga kiuchumi.
 
Sipingani sana na baadhi ya kauli zako.

Never make or trust them with any thing. They are the deceiver and the destroyer. Ndio maana kwa miaka 600 hawajawai kukujenga kiuchumi.
mawazo km hayo ndio tatizo...unadai kuwa kwa miaka 600 hawajawah kutujenga kiuchumi sasa ni kwann wao watujenge sisi kiuchumi? unategemea nan aaache maslahi yake nyuma aje atujenge sisi kiuchumi?wamrekan,wazungu nawachina wote ni destroyers tu ambao wanatutumia sisi kujenga nchi zao sema kwakuwa wazungu na wamarekan waliendelea toka zaman hvyo wametunyonya kwa muda mrefu hvyo nchi zetu zakiafrica zimefunguka macho sasa na kuliona hilo lakin sasa tunafanya makosa mengine kwakuegemea uchina ambao nao watatufanya hvyohvyo...ndio maana nkasema kuwa kulalamika kuhusu hawa wenzetu wa ngozi nyeupe kwamba wao ndio source ya matatizo yetu sisi waafrica hakutotusaidia hata kidogo maana hta india na korea na wao walishwah kutawaliwa na mataifa mengine lakin kwa sasa wamepiga hatua......tujenge nchi na tuache hayo mawazo ya kusema tunakuwa maskin sababu ya wazungu maana tunazd kudumaa kwakuwa na mawazo km hayo
 
Haya leo nimewakubali wabunge tena sana. Hawa ni Bashe na Kabwe. Sana sana bashe kwa kuipinga EPA na mkataba wao.

Tusijidanganye hata siku moja tukafikiri serikali za wazungu zinataka tuendelee. Hata wakitupa mikopo hiyo mikopo inakuja na mashariti na mitego ili sisi tuwategemee wao. Hawa wamarekani na wazungu mbinu yao ni kuwa na uwezo wa kuzitawala nchi za kiafrika bila hata kutumia silaha wala kulazimisha utumwa.

Huu utumwa mpya ni ule utumwa wa kudanganywa. Ningependanda kumpongeza Raisi Magufuli kwa kuukataa huu mkataba. Ingawa sikubaliani na wewe lakini hapa umeonyesha hekima sana.

EPA iliundwa sio kulinda Ardhi na sio kupunguza polution bali walitumia kisingizio cha polution ili waweze kupitisha kodi mpya, kuipa serikali ya marekani madaraka makubwa zaidi na kupata kisingizio cha kuunda serikali moja ya dunia yenye uwezo wa kunyanyasa nchi yeyote ile.

Serikali ya marekani ina nia za uovu kila pale inapojihusisha na Africa na tusijidanganye kwamba wanataka kutusaidia. Kwa mfano wao walitumia dawa ya DDT kuondoa mmbu nchini kwao lakini wakaikataza kwenye nchi za kiafrica kisa kisingizio chao kilikua ni polution na cancer. Ukiangalia mda walipo tumia hiyo dawa na kabla ya wao kuitumia watu walikuwa wanapata cancer bila hata kukutana na hiyo dawa. Lakini walitaka wazuie nchi za kiafrica kuitumia hiyo dawa ili waweze kusema kwamba wanahitaji kuingilia nchi za kiafrica na kuwa na madaraka juu yake ili kuzisaidia kupambana na malaria. Lakini wote tunajua huo ni uongo.
Mkikataa mbadala wake ni utajiri au umasikini?

Angalia pande zote mbili ndiyo utajenga hoja endelevu.
 
Sipingani sana na baadhi ya kauli zako. Ila kuna udhaifu mkubwa na wa uwazi juu ya uelewa wa mambo ya dunia hii.

Kwanza marekani ni bara sio nchi. Labda ulitaka kutuambia U.S.A. Hata ingekuwa U.S.A haijaweza kujinasua na mataifa yaliotawala ardhi hio hadi hivi leo.

Kumbuka U.S.A ni muunganno wa majimbo kadha ambayo yalikuwa katika makoloni ya nchi tofauti ya Ulaya, ikiwemo Uingereza, Ufaransa na Uispania. Na katika majimbo ya makoloni haya huongea lugha za mataifa haya.

Hivyo nchi kama nchi bado haijapata ukombozi, wenye ardhi bada wangali watumwa hadi leo.

Pili: hoja ya haya mataifa kuwa na ulaghai ni sehemu ya maisha yao. Kumbuka mwalimu nyerere aliwai kusema kuwa Mzungu hana urafiki na mtu yeyote. Unaweza ukadhani anacheka na wewe kumbe moyoni anasema i wish i could crash you now.. son of bitch..

Ndivyo walivyo kinature hawataki wala hawawezi kusubmit to black leadership. Hawana undugu walla urafiki na taifa lolote. Wapo kwa ajili ya kunyonya tu. By nature they are the parasites. They can not help themselves.

Kwanza elewa kuwa HAWA ni last branch of human family genetically. Hili tu kisaikolojia limewaharibu sana. Ndio maana wanataka wawe juu tu hata kwa kuua.

Never make or trust them with any thing. They are the deceiver and the destroyer. Ndio maana kwa miaka 600 hawajawai kukujenga kiuchumi.
I completely disagree with you. Wazungu sio parasites sisi ndio tunataka kuwa parasites na wao hawataki hilo litokee. Tunataka watupe hela tununue mashangingi ya viongozi bila malipo yenye interest! Ni nani atafanya hivyo? Labda awe kichaa. They want to build their economy through trade. Sasa kama serikali yetu ina magari mengi na expensive kuliko serikali ya USA huoni kwamba sisi ndio wajinga. Hela inatakiwa izunguke ili iongezeka magari yanadepriciate kila siku sasa tutaendelea kivipi?! Jana nimeangalia mashangingi yaliyokuwa kwenye msafara wa Sitta kule tabora nikabaki mdomo wazi. Poor planning and lack of vision beyond the political gains is the source of our poverty. Let's quit projecting our problems to others and focus on building our own economy through our own resources. This can only happen if we elect leaders with interest in the country and not political party.
 
mawazo km hayo ndio tatizo...unadai kuwa kwa miaka 600 hawajawah kutujenga kiuchumi sasa ni kwann wao watujenge sisi kiuchumi? unategemea nan aaache maslahi yake nyuma aje atujenge sisi kiuchumi?wamrekan,wazungu nawachina wote ni destroyers tu ambao wanatutumia sisi kujenga nchi zao sema kwakuwa wazungu na wamarekan waliendelea toka zaman hvyo wametunyonya kwa muda mrefu hvyo nchi zetu zakiafrica zimefunguka macho sasa na kuliona hilo lakin sasa tunafanya makosa mengine kwakuegemea uchina ambao nao watatufanya hvyohvyo...ndio maana nkasema kuwa kulalamika kuhusu hawa wenzetu wa ngozi nyeupe kwamba wao ndio source ya matatizo yetu sisi waafrica hakutotusaidia hata kidogo maana hta india na korea na wao walishwah kutawaliwa na mataifa mengine lakin kwa sasa wamepiga hatua......tujenge nchi na tuache hayo mawazo ya kusema tunakuwa maskin sababu ya wazungu maana tunazd kudumaa kwakuwa na mawazo km hayo

Nafahamu hilo kwamba ni sisi wenyewe ndio wenye dhamana ya kuzijenga nchi zetu. Lakini kumbuka hizi nchi zlizokakaliwa kimabavu na kutawaliwa na wazungu kama china, korea na india, yamekuja kujengwa na haohao wazungu kwa kuwapa elimu ya ufundi na technolojia... REPARATIONS

Hata kujenga mavinu ya kinyuklia kama india, korea, japan n.k. kama reparations...

Hawa wamewalipa fidia ya unyonyaji na mauwaji walioyafanya ktk nchi zao. Lakini kwanin hawataki kulipa fidia kwa nchi za kiafrika walizozinyonya kwa njia zozote zile ili Afrika isonge mbele?

Hapa ndipo niliposema hawakutujenga kiuchumi. Maana wanapaswa kutulipa fidia kwa kunufaika na resources zetu, raslimali watu(watumwa) n.k.

Jpan kupigwa mabomu ya Nagasaki na Ishorima. Ndani ya miaka 20 tukaona Japan imepaa kitechnolojia. Nani aliwasaidia ni fidia ya vita ya pili ya ulaya na asia.

Nadhani unafahamu haya.....
 
I completely disagree with you. Wazungu sio parasites sisi ndio tunataka kuwa parasites na wao hawataki hilo litokee. Tunataka watupe hela tununue mashangingi ya viongozi bila malipo yenye interest! Ni nani atafanya hivyo? Labda awe kichaa. They want to build their economy through trade. Sasa kama serikali yetu ina magari mengi na expensive kuliko serikali ya USA huoni kwamba sisi ndio wajinga. Hela inatakiwa izunguke ili iongezeka magari yanadepriciate kila siku sasa tutaendelea kivipi?! Jana nimeangalia mashangingi yaliyokuwa kwenye msafara wa Sitta kule tabora nikabaki mdomo wazi. Poor planning and lack of vision beyond the political gains is the source of our poverty. Let's quit projecting our problems to others and focus on building our own economy through our own resources. This can only happen if we elect leaders with interest in the country and not political party.
Nami nakubaliana kuwa matatizo mengine ni sisi wenyewe tunaongezea.Nilisoma humu article ikizungumzia mshahara wa Raisi wa Marekani kuwa ni TakribanTz shillings million 87 kwa mwezi.Cha kushangaza tulikuwa na watu nchi hii wanalipwa 40million kwa mwezi,na wa Tz wengine humu wakiwatetea eti wanazalisha sana kwa hiyo wanastahili,tusiwaonee wivu.
 
Nafahamu hilo kwamba ni sisi wenyewe ndio wenye dhamana ya laya na
Nadhani unafahamu haya.....
ethiopia wamejitawala wenyew tangu enzi mpk leo, hamna chakusema walitawaliwa na kunyonywa km cc waafrica wengine tunavyojitetea lakin ethiopia ni moja kati ya nchi 20 maskini zaidi dunian .hapo ndio ujue cc waafrica tuna matatizo yetu yanayotusumbua........
 
Naomba chanzo chako cha takwimu? ukinipa chanzo cha takwimu kutoka ulaya, sitakuwa na muda wa kujadiliana nawe kwa maana nitakuwa nimeshakuelewa kuwa ni yale mazombie ya wazungu.
 
Back
Top Bottom