USA Government na EPA hawataki Afrika na Tanzania iendelee ndio maana...

Naomba chanzo chako cha takwimu? ukinipa chanzo cha takwimu kutoka ulaya, sitakuwa na muda wa kujadiliana nawe kwa maana nitakuwa nimeshakuelewa kuwa ni yale mazombie ya wazungu.
you must have other problems to focus on,
 
you must have other problems to focus on,

I caught you damn shit, if zombies wont imitate what they have swallowed from Dem crackers, they have nowhere to go.... IT IS EASY TO CAUGHT UNACKNOWLEDGED LIES. WAJINGA HAWANA UWEZO WA KUTOA USHAHIDI WA DOCUMENTED FACTS OUTSIDE DEM CRACKERS A.K.A CAVE DWELLERS.

WENYE UWEZOHUWA HATUHITAJI USHAHIDI WOWOTE KUTOKA KWA MZUNGU. USHAHIDI TUNAISHI NAO NDANI YA DAMU ZETU WEUSI.
 
Huo uwezo haupo,wacha propaganda bhana,kwa mfano marekani Tanzania itapambana nayo vipi?

nusu ya bajeti ya nchi inatoka marekani au nchi ambazo marekani ikiamua iziambie zisitoe hata mia kwenye bajeti,hazitoi.

Kama ni vita,marekani ina manuari za kivita bahari ya hindi zenye makombora ya kinyuklia na ya kawaida,wanapaki meli bahari kuu wanaanza kurusha makombora,wana makombora yanayoweza kusafiri mpaka kilometa 2000,sawa na umbali wa mwanza dar mwanza,na kwa kuwa jeshi letu ni la nchi kavu zaidi,hao askari wa miguu hawawezi kutembea juu ya maji,kama ni ndege,marekani wana maelfu ya ndege ambazo wakizirusha zote kwa wakati mmoja katika jiji la dar,dar itaonekana giza

kama ni kiuchumi,nenda zimbabwe,ni mfano mzuri wa economic wars and sabotage
Kaka usifikiri kila vita inatumia silaha.
Naomba nikupe vita ambayo nchi zote za afrika tumepambana kwa umoja na tumeshinda
1. Bashir ar Asadi
2. Robert Mugabe
3. Ushoga
4. Eppa
 
Haya leo nimewakubali wabunge tena sana. Hawa ni Bashe na Kabwe. Sana sana bashe kwa kuipinga EPA na mkataba wao.

Tusijidanganye hata siku moja tukafikiri serikali za wazungu zinataka tuendelee. Hata wakitupa mikopo hiyo mikopo inakuja na mashariti na mitego ili sisi tuwategemee wao. Hawa wamarekani na wazungu mbinu yao ni kuwa na uwezo wa kuzitawala nchi za kiafrika bila hata kutumia silaha wala kulazimisha utumwa.

Huu utumwa mpya ni ule utumwa wa kudanganywa. Ningependanda kumpongeza Raisi Magufuli kwa kuukataa huu mkataba. Ingawa sikubaliani na wewe lakini hapa umeonyesha hekima sana.

EPA iliundwa sio kulinda Ardhi na sio kupunguza polution bali walitumia kisingizio cha polution ili waweze kupitisha kodi mpya, kuipa serikali ya marekani madaraka makubwa zaidi na kupata kisingizio cha kuunda serikali moja ya dunia yenye uwezo wa kunyanyasa nchi yeyote ile.

Serikali ya marekani ina nia za uovu kila pale inapojihusisha na Africa na tusijidanganye kwamba wanataka kutusaidia. Kwa mfano wao walitumia dawa ya DDT kuondoa mmbu nchini kwao lakini wakaikataza kwenye nchi za kiafrica kisa kisingizio chao kilikua ni polution na cancer. Ukiangalia mda walipo tumia hiyo dawa na kabla ya wao kuitumia watu walikuwa wanapata cancer bila hata kukutana na hiyo dawa. Lakini walitaka wazuie nchi za kiafrica kuitumia hiyo dawa ili waweze kusema kwamba wanahitaji kuingilia nchi za kiafrica na kuwa na madaraka juu yake ili kuzisaidia kupambana na malaria. Lakini wote tunajua huo ni uongo.
Acha kutumika.
 
I caught you damn shit, if zombies wont imitate what O NDANI YA DAMU ZETU WEUSI.
sasa unaposema kuwa nikupe evidence halafu unaweka sharti kwamba source yenyew isiwe from europe nona km kchwa chako kina matatizo..evidence ni evidence haijalish inatoka china au venezuela
 
I completely disagree with you. Wazungu sio parasites sisi ndio tunataka kuwa parasites na wao hawataki hilo litokee. Tunataka watupe hela tununue mashangingi ya viongozi bila malipo yenye interest! Ni nani atafanya hivyo? Labda awe kichaa. They want to build their economy through trade. Sasa kama serikali yetu ina magari mengi na expensive kuliko serikali ya USA huoni kwamba sisi ndio wajinga. Hela inatakiwa izunguke ili iongezeka magari yanadepriciate kila siku sasa tutaendelea kivipi?! Jana nimeangalia mashangingi yaliyokuwa kwenye msafara wa Sitta kule tabora nikabaki mdomo wazi. Poor planning and lack of vision beyond the political gains is the source of our poverty. Let's quit projecting our problems to others and focus on building our own economy through our own resources. This can only happen if we elect leaders with interest in the country and not political party.

Kwanza pole sana maana hujajenga hoja juu ya kile nilichokieleza kuwa HIVI VIUMBE NI MAPARASITE. Utajiri wao haukutokana na kutumia resources zao huko kwao, kwa kuwa hawana resources za kuweza kuwasustain maisha. hivyo ndio maana wakavuka mipaka yao na kwenda kuua na kunyonya maeneo mbalimbali ya dunia.

Hadi leo hawawezi kujisaidia kule kwao ulaya, wanaendelea kunyonya nchi nyingi kwa nguvu na kibiashara.
mifano ni mingi ya udhahiri.

Kwanza: waliujenga mfumo ktk sehemu kuu 3: Nazo ni ELIMU (Mitaala Duni), DINI (Mafundisho ya Uzushi na ya uwongo) na AFYA (kwa kujenga Hospitali ambazo dawa za kudhoofisha Afya za Watu).

Kwa sababu mme-embrace, u will be always their zombies nakuona kama sio wanyonyaji mpaka pale utakapotumia jicho la 3.

Sii kweli kwamba Serikali ya Marekani ina magari yasio yagharama kama kwetu. Hapa unatakiwa ufanye ulinganifu wa utajiri ulio mikononi mwa watu na utajiri ulioko chini ya ardhi. kama ungeangalia msafara wa polisi wa marekani ktk mji wa detroit, wakati Police walipomuuwa Black Amerika, walipoenda kujaribu kuzima maandamano ya Blacks, usingejaribu kusema magari ya viongozi wetu ni ya thamani kubwa sana kuliko ya viongozi wa Marekani.

Na sipingi kuwa maendeleo yetu yataletwa na sisi wenyewe, lakini pia hawa washenzi lazima watulipe fidia. Hatuna sababu ya kucheka nao. Walitunyonya miaka 500, kabla ya kuwatimua, na bado wanaendelea kunyonya kwa njia ya mifumo walioiweka. Tukate mirija yao (mikataba na mashirika ya kimataifa ya kijambazi) na kuwadai reparations.
 
Back
Top Bottom