Kessy Wa Kilimanjaro
JF-Expert Member
- Jan 23, 2016
- 327
- 208
Haya leo nimewakubali wabunge tena sana. Hawa ni Bashe na Kabwe. Sana sana bashe kwa kuipinga EPA na mkataba wao.
Tusijidanganye hata siku moja tukafikiri serikali za wazungu zinataka tuendelee. Hata wakitupa mikopo hiyo mikopo inakuja na mashariti na mitego ili sisi tuwategemee wao. Hawa wamarekani na wazungu mbinu yao ni kuwa na uwezo wa kuzitawala nchi za kiafrika bila hata kutumia silaha wala kulazimisha utumwa.
Huu utumwa mpya ni ule utumwa wa kudanganywa. Ningependanda kumpongeza Raisi Magufuli kwa kuukataa huu mkataba. Ingawa sikubaliani na wewe lakini hapa umeonyesha hekima sana.
EPA iliundwa sio kulinda Ardhi na sio kupunguza polution bali walitumia kisingizio cha polution ili waweze kupitisha kodi mpya, kuipa serikali ya marekani madaraka makubwa zaidi na kupata kisingizio cha kuunda serikali moja ya dunia yenye uwezo wa kunyanyasa nchi yeyote ile.
Serikali ya marekani ina nia za uovu kila pale inapojihusisha na Africa na tusijidanganye kwamba wanataka kutusaidia. Kwa mfano wao walitumia dawa ya DDT kuondoa mmbu nchini kwao lakini wakaikataza kwenye nchi za kiafrica kisa kisingizio chao kilikua ni polution na cancer. Ukiangalia mda walipo tumia hiyo dawa na kabla ya wao kuitumia watu walikuwa wanapata cancer bila hata kukutana na hiyo dawa. Lakini walitaka wazuie nchi za kiafrica kuitumia hiyo dawa ili waweze kusema kwamba wanahitaji kuingilia nchi za kiafrica na kuwa na madaraka juu yake ili kuzisaidia kupambana na malaria. Lakini wote tunajua huo ni uongo.