USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

US ni ya TANO kwa watu waliosoma wakati Russia ni ya KWANZA Duniani kote! - hizi ni FACTS!
For your Information tu ... Russia ndo inaongoza Duniani kwa watu waliosoma kuliko Nchi nyingine yeyote Duniani.
Tena waosema hivyo sio Warusi hapana ila ni hao hao Wamarekani wako.

%D0%AF-%D0%92%D0%B0%D1%82%D0%BD%D0%B8%D0%BA-%D1%80%D0%B0%D0%B7%D0%BD%D0%BE%D0%B5-1380092.jpeg

Read More:
USA today: The most educated countries in the world

Canada, that's an impressive number!, but it's quiet and mysterious, it takes the back seat and not really in the front lines when it comes to (some) International Affairs and Policies that shake the World as opposed to their next door neighbor who's loud and, ( as some have called them) obnoxious,......any ideas?!, am just curious!
 
Nyani Ngabu you have to admit that things are not as we want them or wish them to be, they are just as they are.

Do you admit the same?

I try to recall your views on Obama election, you became very racist to the guy and say that he can not...

How was I racist to him?

Now, argue like an intelligent person and show me exactly how I was racist to him else I will consign you to my list of imbeciles.

your rhetoric was same since day one. But facts (and probably Americans themselves) proved twice that your were deadly wrong.

I was wrong in what exactly? I mean you sound so stupid right about now. Just because I don't support him that makes me racist?

What the hell is wrong with you?

I see same thing on this, just wait for the surgical strike that Israel is intending to conduct on Iran, or that of US for that matter. Then you will see....

Then I'll see what? Be clear in what you are saying because you are not making any sense. You wandering all over the place talking about me being racist (how can I even be racist? And to Obama of all people?) and a "surgical strike that Israel is intending to conduct on Iran". What's that got to do with anything here? Are you retarded or something?

Learn how to frame your arguments. Don't come to me with disjointed ramblings that I can't make heads or tails about. Please.

like you said we are all entitled to our views...that is the beauty of this.

So what's your point?
 
Ha! ha! ha! ... ni kweli hawalingani! ... hivi Mkuu unawafahamu Spetsnaz au unawasikia tu! ... hao Navy Seals hawafui dafu kwao ... walishawahi kufanya Training pamoja .. na US wenyewe waliwakubali kuwa they are extraordinary

4056302-spetsnaz_training.jpg

4056303-14.jpg

"Aside from training in teamwork, SEALs spend more than 30 months learning how to dive and drive, engaging in combat swimming, training with explosives, and parachuting and swimming with their hands and feet bound. Of course, before you even get into the SEAL program, you have to be in good enough shape to swim 500 yards (457.2 meters) in 12.5 minutes or less; take a 10-minute break; do 42 push-ups in less than two minutes; take a two-minute rest; do 50 sit-ups in less than two minutes; rest for two minutes; do six pull-ups;, then run a mile and a half (2.4 km) in less than 11.5 minutes."

Huu muziki nao si mdogo mkuu, the word Super fits them well, they both go through unimaginable intense training!

Hamna cha kuwasaidia, yeye anakula bata na kujijengea majumba ya kifahari kwa fedha za kuiba wenzake wanakufa na njaa.

Ni ujinga tu, dunia ya leo huwezi ukaji isolate ukaendelea. Utabana mwiisho utaachia tu, tulipitia huko, Nyerere akajidai kuche na T

Ha ha ha .. Hata hivyo nimeipenda hii
 
Do you admit the same?

How was I racist to him?

Now, argue like an intelligent person and show me exactly how I was racist to him else I will consign you to my list of imbeciles.

I was wrong in what exactly? I mean you sound so stupid right about now. Just because I don't support him that makes me racist?

What the hell is wrong with you?

Then I'll see what? Be clear in what you are saying because you are not making any sense. You wandering all over the place talking about me being racist (how can I even be racist? And to Obama of all people?) and a "surgical strike that Israel is intending to conduct on Iran". What's that got to do with anything here? Are you retarded or something?

Learn how to frame your arguments. Don't come to me with disjointed ramblings that I can't make heads or tails about. Please.

So what's your point?

Just go back to your posts and read between the lines. Dude it is not me who made you who you are, or not me who proved you wrong. I also know the difference between supporting and opposing a candidate, just as much as i know what race-ism is, so as unintelligent and stupid i may sound to you, be sure i know what am talking about. I may as well be wrong, but i highly regard your opinion "entitlement" position. This is bell which saves me.

My point is facts will always be facts, no matter what we wish things to be.
 
Just go back to your posts and read between the lines.

Reading between the lines is subjective to ones biases and prejudices.

You said I was being racist towards Obama (which is absurd).

That's a very specific charge to level at someone.

Now show me where I was being racist towards him.

If you can't show me then be a gentleman and take back your remark.

Dude it is not me who made who you are or who proved you wrong, i know the difference between supporting and opposing a candidate, just as much as i know race-ism.

Okay, fine. Just show me where I was being racist towards Obama

My point is facts will always be facts, no matter what we wish for.

Fair enough. Now show me where I was being racist towards Obama.
 
Humu sioni la maana zaidi ya ushabiki tu.
Nyani Ngabu una muda...hawa watu hakuna hata moja anayeijua Marekani, wanaiskika tu kwa kusoma Wikipedia na source zao zinatoka kwa hao hao. Hawajui falsafa ya WYSWYG. Russia ni ya Warusi, China ni ya Wachina...je wanajua Amerika ni ya akina nani? Hili swali tu litamfanya mtu yeyote yule ajiulize mara mbili kabla ya kuropoka. When disaster strikes, people like Dotworld will realize what they have been reading is just that; what they are required to read and believe!...lakini wao wanaita data, data my foot! ha ha haa!
 
You guys, US...President clearly said, they CAN PENETRATE S - 300 without any problem....simply no problem...go and google it...!!! In Syria eg....Russia sold to Syria S - 300...but Israel war planes are striking daily...!!!!

👇👇👇👇👇👇

Just to alert u....THE TOTAL WORLD MILLITARY SPENDING COMBINED TOGETHER, IS JUST HALF OF US. DEFENCE BUDGET....!!!!

👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆

So be very sensitive once u talk of US Millitary capabilities.....it's beyond ur scope and REACH to analyse....I know ur pro- Russians...but US is a lonely MONSTER.....be aware of tht....!

U.S. Foreign policy is not to wage war against any country with same or near capabilities ...,that's why they are busy to suppress emerging and existing war powers ...
In an event where a country is able to land missiles in U.S. Even if they are likely to win..they will not go to war ..rather not conventional wars but ..these war called trade embargo ,barriers etc ..is what they do to fight china ,Russia ,North Korea etc .
 
Hamna cha kuwasaidia, yeye anakula bata na kujijengea majumba ya kifahari kwa fedha za kuiba wenzake wanakufa na njaa.

Ni ujinga tu, dunia ya leo huwezi ukaji isolate ukaendelea. Utabana mwiisho utaachia tu, tulipitia huko, Nyerere akajidai kuche na T

Ndugu, zimbabwe wame advance sana, hii porojo unazozisikia ni european media ndo zinaipaka matope. Hivi sasa Zimbabwe ina chimba chuma, ina yeyusha, inaunda tractor kila kitu bila kuagiza hata spear moja kutoka nje ya nchi na ni wataalamu wake. Ndo maana mzee ana tamba sana na anakuwa mjasiri na watu wake wanaelewa kwamba wako kwenye vita na wazungu.
Umemuona somebody shivengilai pupet wa wazungu alivyoadhirika mwisho wa siku?......LOL
 
Unajua watu wanashindwa kuelewa kuwa hawa jamaa wakitaka kukupaka matope utaonekana mjinga sana ila kwenye ground ni tofauti sana, Angalia wanavyoifanya kule somalia kuwa ni shida sana wakati mm na jamaa yangu yupo kule anakwambia Kuna sehemu huko Mogadishu watu wanakula raha tu. So habari zote tunazopata kutokea somalia nyingi ni kutoka media za wenzetu
 
Reading between the lines is subjective to ones biases and prejudices.

You said I was being racist towards Obama (which is absurd).

That's a very specific charge to level at someone.

Now show me where I was being racist towards him.

If you can't show me then be a gentleman and take back your remark.

Okay, fine. Just show me where I was being racist towards Obama

Fair enough. Now show me where I was being racist towards Obama.

Dude, let me gentleman then, may be i over used words. Or may be i have been insensitive towards your feelings...So u take back my race-ism word.
 
Israel ni ya 4.kwa wasomi duniani.
Sijajua nchi gani ya kiarabu inaongoza kwa wasomi uarabuni.. Mwenye facts atujuze

Cc FaizaFoxy

Why not care about Tanzania? Kwa nini tuisifie mvua?

Uarabuni shule in western definition ni almost 0, lakini wana shule zao ambazo kila mtu anakwenda. In their sense may be all of them are literate. Hapa Tanzania pia kuna watu wanapuuza waislamu kuwa hawajasoma, nadhani ni watoto wachache sana hawawezi kusoma aya za juzuu wote wanajua.
 
Nyani Ngabu una muda...hawa watu hakuna hata moja anayeijua Marekani, wanaiskika tu kwa kusoma Wikipedia na source zao zinatoka kwa hao hao. Hawajui falsafa ya WYSWYG. Russia ni ya Warusi, China ni ya Wachina...je wanajua Amerika ni ya akina nani? Hili swali tu litamfanya mtu yeyote yule ajiulize mara mbili kabla ya kuropoka. When disaster strikes, people like Dotworld will realize what they have been reading is just that; what they are required to read and believe!...lakini wao wanaita data, data my foot! ha ha haa!

Kiongozi naona umeongea kwa mahaba tu. Maelezo ya Dotworld yapingwe kwa vyanzo mwanana sio global conclusions kwamba USA ni power house #1 .

Semeni ni uongo dege la Russia halijachezea warship ya Obama kwenye Black Sea? Yaani panya achezee sharubu za paka na asile kichapo?

Tukisema Tanzania ya watanzania haimanishi ndio tumekuwa exceptional..
Ni ukweli USA ni super power lakini kuna wababe wenzie.....and Russia fits the bill
 
Last edited by a moderator:
Ndugu, zimbabwe wame advance sana, hii porojo unazozisikia ni european media ndo zinaipaka matope. Hivi sasa Zimbabwe ina chimba chuma, ina yeyusha, inaunda tractor kila kitu bila kuagiza hata spear moja kutoka nje ya nchi na ni wataalamu wake. Ndo maana mzee ana tamba sana na anakuwa mjasiri na watu wake wanaelewa kwamba wako kwenye vita na wazungu.
Umemuona somebody shivengilai pupet wa wazungu alivyoadhirika mwisho wa siku?......LOL

= spare

Hongera zao sana.
 
Hayo ma s-300 yapo kule syria putin aligawa bure na kutoa training ya kutosha on how to oparate them sucessifuly..But wonderful enough kila siku Israel anastrike na kutoka salama bila kudunguliwa...
Haya ma U.S ni majanja sana,hata kma wanajua kua s-300 sio tatio kwao watapiga kelele za kinfki tuu ili kupat justifications na support kwe public kuwa iran ni theat kwa usalama wa dunia..But ikifika tyme ya kumchap iran,it will be suprise for all of us..Ni ishue ya kutenga $2tril kwe budget special for war and rebuilding..then watch the movie..
If u think s-300 is a problem for u.s think again
 
You are not updated about S-300 deal to Syria: it was cancelled because Israel complained about the delivery. Putin himself reminded Netanyahu about it when the two were discussing the S-300 deal for Iran. Putin gave the reason for canceling the S-300 delivery to Syria was that the anti-missile system in Syria would practically pose a direct threat to Israel as it would cover the entire Israel's sovereign air space and thus give a no-fly zone against Israel. Jihabarishe at rt.com and sputniknews.com juu ya hili!
 
Mkuu Mr. President
..

Hiyo list yako ya expenditure sio jibu la kuwa Jeshi lako lipo vizuri!

Kama huna home grown Military Industry basi tegemea kuwa utaspend a lot of money katika ulinzi tofauti na wale ambao wana home grown military machines!

Mfano angalia, huwezi kuifananisha nchi kama China na India ambapo China wana make wenyewe for export wakati India wana-import silaha kwa ajili ya Ulinzi.

Sasa US wamezoea kuwaiba na kuwanunua Scientist ambao ni wazuri katika masuala ya silaha kutoka nchi nyingine na kuwapa uraia ndo maana unakuta military xpenditure zao zipo juu.

hali hii ni tofauti na nchi kama Russia ambayo kama ni nyuklia wanazo, scientists wanao hivyo hawahitaji kuwekeza sana katika kuingia gharama za kuwaajiri wanasayansi wapya wa masuala ya kijeshi as anachukua wa ndani tu!

Angalia kwa mujibu wa "data" za image yako ... imagine KSA (Kingdom of Saudia Arabia) ana-spend almost sawa na Russia! - sasa je ina maana kuwa jeshi la Saudia Arabia ni sawa na Russia?!!!!!!!!!! - nonsense!! -

Hawa KSA (Saudi Arabia) wanaspend sana kwa sababu wananunua silaha kutoka US & very expensive! & it means angalia kwanza mfano Yemen, Saudia Mabomu yake yameisha amemuomba US amuongezee mabomu ya kushambulia Yemen! (sasa kuna jeshi hapo?)

So kuniambia kuwa kwa sababu US wana-spend sana katika military basi ndo kiashiria kuwa wapo juu -- hiyo ni nonsense!

u.s anaspend more sababu y new tech,military bases na current wars...nothing else
hujajibu why s-300 zipo syria na israel anastrike daily?
Ishue ya us kununua scientists....hapo mkuu umechemka...u hav to admit that honestly
 
Back
Top Bottom