USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Jaji matundu

Mbu ni mdogo sana lakini anaweza kukuuguzA malaria ukalala hoi.

Anyway.. Udukuzi hauepukiki.

Usishangae siku nyingine ukasikia China ananung'unika. Kama vile Edward Snowden alipoichafua washington kuhusu NSA na njama zao za kufanya udukuzi kwa Chancellor mama Angela Merkel wa ujerumani. Utaona kuwa wanafanya hivi kujua nyendo za wenzao.

Wataalamu wa software wako wengi na kwa nature ya internet it is possible kuiba information. Hata Iran huwa inaiba siri kwa Israel na USA. Inasemekana ule mtambo wa Ku intercept makombora wa Gaza ulishaibiwa na wairan.
Usisahau haya mataifa yana satelites zao kwenye space. Pia iran iliweza kuikamata drone moja madhubuti ya wamarekani kwa tecknolojia ya infrared.

Baada ya muda wanasayansi kadhaa wa Iran wakauwawa. Shutuma zikapelekwa kwa waisrael kuhusika. Ila hawakujibu kitu.
kompyuta knowledge iko diverse sana.

USA imekua ikiiba siri uchina, Russia na sehemu nyingine duniani. kwa maslahi yake.

Ilishatokea ndege moja kukamatwa Hanoi Chinabbaada ya kutua kwa kulazimishwa. Ni Baada ya kuigonga ndege ya jeshi ya uchina ikadondoka na kuia rubani aliyekuwa akowafiatilia. China waliiachia ndege ya USA iondoke vipandevipande kwenye meli mpaka marekani wakiamini kuwa ikiruka tena itaiba siri tena.
 
Last edited by a moderator:
Pole. Najua Hukutarajia US Navy kuweka ushahidi wa kuwaumbua kirahisi namna hii.

Tuendelee na hoja ya US are not able to overcome S-300 air defence system
Hazijawa war tested against US mighty kwa hiyo huwezi ku-claim kuwa hawawezi na vice versa.

Sasa ulitegemea kuona meli imetia nanga katikati ya bahari ili tu isionekane "inakimbia"?
 
What I know USS is a free country. Americans enjoy freedom of expression in so many ways
Code:

Kwa nini SNOWDEN katangaziwa 'Fatwah'na Marekani?

Kwa nini contractors wa Marekani wanashirikiana na mapuppet wao wa Kiev kuua waandishi habari wa Russia?

Kwa nini contractors wa Marekani wanashirikiana na ISIL kuua waandishi habari wa Iran. Mfano Mwandishi wa habari wa kike aliyeuliwa nchini Syria wakati akijiandaa kufichua siri ya Contractors wa Marekani wanashirikiana na shirika ya UN kusafirisha dhana za kivita kuwapelekea ISIL?

Uhuru gani huo unaouzungumzia, ukizingatia kuwa hao waliouwawa na waliotangaziwa 'fatwah' walikuwa wanawapelekea habari wa America kuhusu viongozi wao wanavyowandanya na kutumia rasilimali zao kwa manufaa ya kibinafisi, pia kuwaonyesha kuwa virugu nyingi duniani zinasababishwa na viongozi wao?
 
As for the fools that stated USA the greatest country, the whole world belong to America, I can only assume he/she is a dumbest american. That's commendable.

Ahahahahaaaa look at you now...acting all thuggish and shit.

Flinging civility to the wind and dishing it out huh?

Bravo bravismo.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:

Now you can go take a nap on the highway or jump off a cliff.

Have fun while you do that.

Deuces.
 
Mkuu koba hebu orodhesha hayo made ni ambayo assets,nazitaka hizo liabilities ambazo ni assets, ziweke tu hapa nielimike, na nikarudie tena CPA
 
Yale wanayodai wananchi, wanayo dai japan, china kwa hiyo ni assets kwa america zile, zile treasury bonds, sababu hawa wachina wakitoa bonds zao america inaweza ingia kwenye economic crisis, mfano hapa Tanzania serikali inadaiwa sana na mashirika ya kijamii kama nssf, ppf, lapf. Ipo siku haya mashirika yatashindwa kulipa pension kwa wafanyajazi sababu serikali hawajayalipa haya mashirika na ndio maana wameongeza retirement age, hata USA itafikia kipindi itashindwa utaona tu, viwanda vyenyewe saiv vinahamia china, in longterm utaona impact yake mkuu koba kama umesoma vizuri uchumi tafakari
 
TUJITEGEMEE

Kwa mujibu wa kazi za kijasusi. Ni makosa kwa jasusi. Kuvujisha SIRI.
Na anapobainika kutenda kosa hili anajua fika adhabu yake ni Kifo. Hakuna adhabu ya maisha.

Snowden anajua kabisa na alijua kabla kuwa kitendo
chake kina repercussion, ya Kichwa chake. But he messed up...
So Fatwa kaifuata mwenyewe. Kwasababu sheria ziko wazi. Tena ufahamu kuwa sheria hizi kwa majasusi ni world wide. Hata tanzAnia, ukileta za kuleta wanakukolimba.
Pia kuna taarifa unaweza eneza zikapelekea madhara Makubwa sana kwenye operations za serikali. Kwani wapo watakao amini kirahisi rahisi upotoshaji. Ni budi waku silence. Cause only dead people keep secret.
Alichokifanya snowden kinapelekea mkakati wa kupambana na ugaidi kuwa tough na Ku-risk RAIA wa USA.
Utaona fatwa hizi haziwalengi civilians bali staff wanaokiuka mikatana ya kazi. Nb;kila kazi INA sheria zake.
 
Last edited by a moderator:
Interesting comments from the ignorant and keyboard traveler below. Lets not talk about zionist puppet Obama or Cameroon's approval rating. Aside also USA is the war mongering, false flags and possible martial law collapse, but the ninety percent of sleeping pro-americans wouldn't know what the hell I'm talking about. As for the fools that stated USA the greatest country, the whole world belong to America, I can only assume he/she is a dumbest american. That's commendable.

How you start to attack personality instead of the idea. There could be a pathetic delusional.Couldn't it?

There are those who choose to hate the truth. Let the democracy pave the way to civilized society.

The truth is USA is the greatest of all. USA is mighty in the most spheres, be it; militarily, economicaly, socially, SPACE technology etc. USA is the best in the world. Russia & China are good but not as good as the United States of America.
God bless USA.
 
how you start to attack personality instead of the idea. There could be a pathetic delusional.couldn't it?

There are those who choose to hate the truth. Let the democracy pave the way to civilized society.

The truth is usa is the greatest of all. Usa is mighty in the most spheres, be it; militarily, economicaly, socially, space technology etc. Usa is the best in the world. Russia & china are good but not as good as the united states of america.
God bless usa.

akili yako cio nzma unaibariki usa wakat wanatuua cc waafrika na ebola wametengeneza ukimwi lengo wapungue blacks bado huyajui na huyaoni
 
HAsante
teh teh teh beautiful comment.!!! worth read.!!!

Haya potezea bana.!!! Insulting is not my hobby but you must open your eyes. Things are not as they seem. Once you accept this as so, then everything will swiftly come to you and you will find yourself in a state of enlightenment. USA is number one at war crimes, loosely government, loosely healthcare, loosely economy, fighting losing war, spend 700 billion dollars on military, most crime in the world and freedom is not freedom when you have guns and you are paranoid of the government. America is the greatest country.???

Kila wanapochagua viongozi marekani. Afrika huwa inalialia kujua USA atawasaidiaje, which means tunaiitaji USA kuliko inavyotuhitaji. Mazuri ya USA ambayo ni mengi sana ndiyo yanayoiweka kwenye chati duniani.

Wao ndio role model na baba wa demokrasia duniani.
You said...Most crime in the world... Hell NO! Cant be...

USA ni polisi wa dunia. Polisi kazi yake ni kusimamia haki. Iweje leo useme polisi ndiye mhalifu?.
Hivi pembe zetu za tembo zinazoibwa zinapelekwa China au USA?

Hivi mipango ya wizi wa rada na ndege nchini walioisema ni sisi ama wazungu wanaohusika?

Mipango ya kupeleka twiga arabuni waliifanya wazungu.?

Kwa taarifa yako sisi na waarabu tunalo tatizo la viongozi miungu watu. Na hii imepelekea kuhujumiwa na viongozi wetu wenyewe, Kisha kuwasingizia wazungu. Bahati mbaya sana viongozi wa kiarabu hupenda kutumia ideology kama excuses kwa wananchi wao.
Matatizo ya amani tunayaleta wenyewe. Wazungu ndio huja kuyasuluhisha kwa kutumia resources zao.
Mbona wao hawauani kama sisi.
Viongozi wetu ndio wanaoweka hela benki za ulaya. Sio wazungu wanaweka hela kwetu wala arabuni.
China haina demokrasia hili sio la kutunga ni kweli.


USA INA host UN HQ.

Pale ndio makao makuu ya United Nation. Mahali mataifa yote yanapanga vision ya dunia. Mustakabali wa wanadamu.
Kubadilisha panga la kuchinjia mtu kuwa plau la kulimia. Sio jembe kama sisiemu. Jembe teknolojia ya zamani sana.

Motto wao umeandikwa ISAYA 2:3-4.
Dunia isingeipa heshima kubwa na jukumu lote hili USA kama ingekuwa ni nchi ya kihunihuni.
Naimani USA ndio taifa bora zaidi kuwepo duniani. Tangu dola ya kirumi iliyodumu miaka 400.
USSR ilikua ya kidikteta sana. Conservative na yenye mikakati ya kishetani na ndio maana ilikufa mapema. USA wamewezEsha hado hako za mtu mweusi na mwanamke kupata heshima inayostahili duniani. Hadi ulaya. Wamechochea innovation na ushindani duniani.

Uchina ya Mao sio ya Leo. Angalau ya Leo INA kazi freedom. Ile ya Mao ilikua ya mauaji na ukatili mkubwa.
Kwa namna waafrika na waarabu tunavyoiga utawala bora na Ku -exercise haki za binadamu ndivyo tunavyoboreka kiuchumi na amani.vise versa is also true.
Angalia ghadafi, Saddam, museven, Mugabe, mwa kibaki, Jonathan wa Nigeria . utagundua Nigeria imetulia kisaikolojia alipoingia bukhari, kuliko Jonathan. Hata ufisadi wakati wa Jonathan ulikua mkubwa zaidi . kibaki alipelekea wakenya kuuana, museven hataki kuachia nchi, yule mrundi mkurumzinza naye vilevile, Somalia hapajatulia kivile., gadafi hakutaka kuachia nchi likewise sadam. Wote walikua wakikandamiza upinzani. USA ikiingilia. Watu wanaanza kuchonga.
Russia kapeleka ubabe Crimea , China imeshikwa na aibu haiwezi kusema kitu inataka siku moja Russia amlinde na yeye kwenye ubakaji wake wa visiwa halali vya japan na mipaka na nchi za Vietnam, philipines. Vilevile na nchi huru ya Taiwan.
Sasa sauti takatifu na Ya kweli itatoka kwa USA tu. Mwenye jeuri ya kuikemea.
Kimsingi
China haina confidence kuingiza mabuti Iraq wakati wanajua kabisa kuwa wao ndio wanyonyaji wakubwa wa rasilimali za iraq. Inaishi kiujanjaujanja ndio maana hata tembo wetu wanaangamia kwa hujuma zao .Ndio tegemee China isimamiee mustàbali wa dunia wakti haina gut? nani ampe usupa pawa. Labda apewe na mugabe mwenye bifu na wazungu.
Hatutoi usupa pawa kama pipi. China must work hard and wisely to get it.

Kuhusu vita kati ya USA na Russia.
Putin ametamka.
wazi kuwa ni ujinga kwa watu kuwaza kuwa Russia inawaza kupigana. Vita na usa,. Vita ambayo inachukua large scale katika dunia ya leo. Vita ya namna hiyo haiwezekani Kwani italeta madhara mabaya sana. Likewise USA walisema ikifika swala la nuclear wao na Russia wanaelewana .Kwahiyo dunia isihofu.
So Russia haina jeuri ya kuishambulia USA. Pengine kwa mawazo yangu USA inawezà uthubutu na si China wala Russia kuanzisha vita dhidi ya USA. Tena china tuiondoe kwenye hii equation ibaki Russia. USA is a monster.
 
Vikwazo dhidi ya urusi kuendelea na ikibidi kuongezwa kutokana na vurugu za Ukraine. China ajiingize ama ajitoe. China haina uwezo wa western. Msimano uko pale pale. Obama yooooo
 
Kinachofanyika ni Amerika anatumia ushawishi wake katika jumuiya za kimataifa hasa hasa jumuiya ya ulaya ili kuhakikisha Urusi inadumaa kiuchumi.

Kumbe unaikubali Marekani eeh? Safi sana kuwa mwishowe umekiri kuwa Marekani ina ushawishi katika jumuiya ya kimataifa. Ukiwa world's only super power lazima uwe na ushawishi.

Hakuna nchi katika jumuiya ya ulaya inayoweza kusimama na China katika sekta zote, ni Amerika pekee ndio inajivunia kutokana na kuwa na wanasayansi kutoka mataifa mbali mbali duniani.

Good to finally see you acknowledge America. USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2:

Tofauti na hapo China wamefaulu kuufanya uchumi wao kuwa wa kileo bila ya kujiingiza katika utamaduni wa kimagharibi.

Wachina ni kivipi hasa hawajajiingiza katika utamaduni wa Kimagharibi wakati karibu kila kitu wao kuiga tu?

Hujawahi kuona wana hip hop wa Kichina, kwa mfano? Hujawahi ona equivalent ya America's Next Top Model ya Kichina?

Wachina hadi wana ligi yao ya mpira wa kikapu (na kama hujui mpira wa kikapu ulivumbuliwa Marekani) na wanapenda sana kusajili wachezaji wa Kimarekani waliochuja. Hiyo ligi yao inajaribu kuiiga NBA.

Btw, NBA ni ya Marekani.



Acha kabisa kuhusu Marekani bana....hata Urusi kuna wana hip hop vile vile. Unabisha?
 
Last edited by a moderator:
Hapana bwana, amejaribu kuandika vitu vingi kwa wakati mmoja. Kahusisha hadi hali ya Afrika ya leo na matukio yanayoendelea magharibi na mashariki mwa dunia. Vitu vingine kuhusu Afrika nitavijibu katika ujio wa Obama pale Kenya, nadhani itakuwa ni mwezi huu au ujao.

Heheheheeee kumbe unajua hata rais wa dunia anaenda lini Kenya eeh?

Safi sana.
 
Nasikia mchina anadevelop kifaa chenye uwezo wa kuzuia mawasiliano ya satellite na mashambulizi yoyote ya space weapons. U.S analalamika kuwa hicho kifaa sio defensive bali ni offensive as long as hakuna threat yoyote ya soace weapons duniani kutokana na mkataba ule wa kimataifa wa kuzuia S.P.Mchina anasema ile sio silaha ni kifaa cha research za anga tu! Sasa kama mchina anatengeneza silaha kujizuia na space weapons, si mjinga, kuna mahali intelijensia yake inamweleza kuwa zipo.Je, mchina anaweza kutishiwa na nchi gani dunia hii? Ni nani mwenye uwezo wa kumiliki space weapons zaidi ya U.S, Russia?Kwa nini U.S ilalamikie uchina suala la space weapons? Kumbuka U.S isivyopenda watu wengine wamiliki nuclear na huku yeye na Israel wake kayajaza hadi uvunguni!
 
How you start to attack personality instead of the idea. There could be a pathetic delusional.Couldn't it?

There are those who choose to hate the truth. Let the democracy pave the way to civilized society.

The truth is USA is the greatest of all. USA is mighty in the most spheres, be it; militarily, economicaly, socially, SPACE technology etc. USA is the best in the world. Russia & China are good but not as good as the United States of America.
God bless USA.

U r delusional Dude
Usa ain't a match for USSR in space and military technology
China hold almost 50% for us tresure bonds so how the hell cud USA be well economical than CHINA?
It's Unbeliavable u guys don't talk fact only emotions and that is pathetic!
 
Vikwazo dhidi ya urusi kuendelea na ikibidi kuongezwa kutokana na vurugu za Ukraine. China ajiingize ama ajitoe. China haina uwezo wa western. Msimano uko pale pale. Obama yooooo

Wajiingize au wajitoe wakati wana hold larger percent of ur debts? Wana out smart ur investments abroad? Wana trade larger than US in Africa?

You are not serious mkuu!!!
 
Back
Top Bottom