USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

China has already outsmarted US economically and in trade.

Russia has already outsmarted US militarily.

US wanatumia international organisations kama UN WB IMF ku-control influence duniani hasa kwa nchi masikini.

BRICS ikishaundwa tunasubiri tuhamie huko, US and her allies watakuwa absolutely nothing.
 
Katika diplomasia na jamii za kimataifa hakuna taifa lenye uwezo wa kuweka vikwazo dhidi ya taifa lingine. Kinachofanyika ni Amerika anatumia ushawishi wake katika jumuiya za kimataifa hasa hasa jumuiya ya ulaya ili kuhakikisha Urusi inadumaa kiuchumi. Lakini unatakiwa kufahamu ulaya unayoisikia na kuiona kwenye vyombo vya habari sio ile ya zamani, ulaya sasa hivi nchi nyingi ni masikini sana kuliko hata baadhi ya nchi za Afrika. Sio zaidi ya nchi 15 zenye uwezo wa kujiendesha zenyewe bila ya msaada wa EU.
Hakuna nchi katika jumuiya ya ulaya inayoweza kusimama na China katika sekta zote, ni Amerika pekee ndio inajivunia kutokana na kuwa na wanasayansi kutoka mataifa mbali mbali duniani. Tofauti na hapo China wamefaulu kuufanya uchumi wao kuwa wa kileo bila ya kujiingiza katika utamaduni wa kimagharibi.
Tunaposema Rais kikwete ana nguvu kuliko Francis Cheka, hatuangali personality yake. Tunaangalia power of influence. Unaposema USA inatumia ushawishi wake, unapuuza ukweli mchungu kuwa USA INA power ya kusimamia dunia kwa remort control?
Ni nchi gani duniani inaweza kuiwekea marekani vikwazo.? ...None.indeed

Sasa kama hujajua maana ya super power. Huwa tunaangalia vitu3
military mighty,
economic giant and influence.

USA bears all three in his shoulder.

China sio msafi ndio maana hawezi kuinyooshea kidole nchi yoyote duniani. USA. Wanajiamini Na wanaweza
China ndio wezi wa pembe za tembo nchini.

Kiss my ass..
Ulaya ni ulaya tu. Haijabadilika kivile usemavyo.
Utalii nchini unategemea mataifa ya ulaya kuliko hata sisi wabongo na hao wachina uwasemao.

Usitumie matatizo ya uchumi ya ugiriki kama kisingizio.
Ujeumani, England, France wanaishi vizuri na kulipwa vizuri kuliko wachina wote.

China wenyewe inategemea soko nono la ulaya magharibi...even Arabuni kote wanategemea western Europe.
Russia mwenyewe amekiri kuwa pesa nono ya gesi anayouza IPO ulaya na sio China.
Ukraine kupenda kujiunga na ulaya ni kutaka kunukia harufu ya mafanikio ya ulaya magharibi.

Wananchi wa Japan wanaishi vizuri zaidi ya wachina. Japan ni ya tatu kwa uchumi mkubwa duniani.
Wa Taiwan, south Korea wanainjoy uchumi wao kuliko wachina.
Wachina wa Hong Kong ndio wako vizuri zaidi.

Wachina tupo nao wanauza karanga na mahindi ya kuchoma hapa bongo..na kufanya smuggling rasilimali zetu.

Huku ukisoma na kusikiliza media unaambiwa china ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani. Kumbe uchumi unapaswa kuwanufaisha wananchi.
Hii inamaana China ikithubutu kugawana na wananchi wake, itaporomoka nafasi yake na kurudi nyuma ilikoanzia.

China imepanda haraka sana kiuchumi. kinachoiva mapema huvunda mapema vilevile. Pamoja na uchumi wa china kuwa mkubwa, bado China haina uwezo wa kupandisha thamani ya pesa yao ya Yuan, Kama ilivyo US dollar. Inajua ikithubutu kuipandisha thamani, itapoteza soko lake, ulaya na amerika. So Inatumia saikolojia kujijengea jina duniani. Watu wananunua vitu vya kichina kwasababu ni rahisi.

.
 
Chinese will bring down the american economy, just like the soviets did in 1989.

This is delusional. Though at least umeonkana ukitambua kuwa China Bado ni junior kwa USA. Na ndio tunachokitetea hapa na Nyani Ngabu.
Hata hivyo binafsi sijawahi kuvaa kikoi na kupiga ramli. So Siwezi kukutajia fyucha ya marekani. But nashangazwa na utabiri wako huo kuhusu marekani, unao relying under ceteris peribas.
So pedantic argument.
 
Last edited by a moderator:
China has already outsmarted US economically and in trade.

Russia has already outsmarted US militarily.

US wanatumia international organisations kama UN WB IMF ku-control influence duniani hasa kwa nchi masikini.

BRICS ikishaundwa tunasubiri tuhamie huko, US and her allies watakuwa absolutely nothing.

that is obvious mkuu.Kinachonisumbua mimi ni kama mzungu atakubali kusalimu amri without war.Hili ni gumu.U.S ni western europe na western europe ni U.S.Ustaarabu wa dunia yetu umekuwa dictated na wazungu hawa kwa miaka mingi.Wana mchango mkubwa juu ya maendeleo na ustaarabu wa dunia ya sasa,lakini pia na matatizo yake.Je,watakubali kusalimu amri peacefully,wakijua fika kuwa ndio mwisho wa enzi?i don't think so. Kama mchina na wenzie wanauteka uchumi wa dunia then we are heading to the final battle ,maana hakuna wakati wowote dunia iliwahi kuwa na maendeleo hasa ya nishati kama sasa,na sikumbuki ni falme gani kubwa ya dunia iliwahi kuanguka bila kuitikisa dunia kwa damu!Vita ya mataifa hayo makuu duniani ni jambo la kutisha lisilofikirika linaloweza kuiangusha dunia kabisa ikarudi zero,na kadri uwezekano wa kuanguka mzungu kiuchumi unavyozidi,ndivyo uwezekano wa vita hiyo uongezekavyo.Mzungu ana historia iliyojaa damu katika kutafuta na kutetea ustawi wake.
 
China has already outsmarted US economically and in trade.

Russia has already outsmarted US militarily.

US wanatumia international organisations kama UN WB IMF ku-control influence duniani hasa kwa nchi masikini.

BRICS ikishaundwa tunasubiri tuhamie huko, US and her allies watakuwa absolutely nothing.

What else do China need to be powerful??
 
Urusi ni nchi ya ajabu sana, mnaoipinga nafikiri mmeshindwa kuushughulisha ubongo wenu hata kidogo tu, sio leo tu toka zamani urusi ni taifa lililokuwa linawaogopesha wamagharibi na bado linaendelea kuwaogopesha, hitle aliamini kkuwa akiiteka rusia ameiteka dunia, bahati mbaya alishindwa, wamarekani nao pia kwa kipindi kirefu wanaamini kama wakiidhoofisha rusia basi watakuwa hawana mpinzani hii ni kwa sababu nje ya russia basi hakuna tena mwenye uwezo wa kumpinga mmarekani, hapo swali ni kujiuliza je mrusi kwa nini anaogopeka na nchi zote za magharibi?, urusi ni nchi gani
ina nini mpaka nchi za uulaya zinamwogopa na kmtegemea mmarekani awalinde? Ni nini anacho urussi kiasi kwamba marekani anajiona hayuko salama mpaka russia isambaratishwe? Kwa nini hawalali kupanga mikakati ya kuififisha urussi? Washabiki wa marekani mnasema marekani ina nguvu lakini mbona nguvu yake haitoshi mpaka aw2e na nato ndo ajihami dhidi ya urusi? Lazima mtu yoyote ajulize miaka yote ni urusi urusi urusi.... kwa nini urusi? Hawa warusi ni watu wa aina gani? Wakati ulaya wanakuja kuitawala africa warusi walikuwa wanafikiria kwenda angani.....hawa warusi watu wa aajabu sana, ulaya wanavuna mali africa urussi anaenda kujitwalia maeneo huko actic kwenye mibarafu k)siko hata na dalili za kukaa watu....warusi bwana.... leo hii hayo maeneo ndo yenye utajiri mkubwa ajabu...wazungu iwamebong'aa tu kimya..... wanasema urusi waliisambaratisha kila mmoja anakubali kuwa ilisambalatika kabisa na ikadhoofika kiuchumi....leo hii huyo ...waliemsambsratishabado wanamuogopa y..kweli?!!! Kwanini wamuogope na wamkarie vikao kucha kama hana lolote kama nyie mnavyotusminisha?
 
mnyikungu

Umeanza vizuri mkuu, umejenga hoja sana mkuu.

1: Hoja zako zimepuuza nguvu ya propaganda za magharibi. USA walimtangaza vibaya Osama bin laden. Na hata walipompata haijabadilisha kitu kwenye vita ya ugaidi. Ubongo wangu nimeushirikisha na nimegundua ukweli kuwa USA inataka kuiangamizA Russia ili ibakie sole power worldwide. na ni Russia ambao washtukia mkakati huo hatari dhidi yao, na ndio maana inajihami dhidi ya kujitanua kwa marekani.

China ameshawaeleza wamarekani kuwa Russia inataka usalama wake Uwe considered. Russia haikua tayari kuona Ukraine inahamishia ushirika wake ulaya magharibi.

2: UmepuuzA ukweli kuwa USA ni NATO na NATO ni USA. Russia ilikua inategemea USSR lakini Leo hii USSR ilishindwa dhidi ya NATO. Russia kwa sasa Inahofia kuzungukwa na marafiki washirika wa NATO kuliko mataifa yenye aeilobya kosoviet.

3. Umemtaja Hitler lakini ume skip kuitaja motive ya Hitler ambayo ilikua ni kuonyesha usuperiority kwa kuikalia Russia. Kama ambavyo uingerez ilivyokua ikiitawala India yenye population kubwa kuliko UK. So Hitler aliangalia saizi ya eneo la russia na population yao na sio uwezo wa kijeshi wa Russia.
Pia usisahau kuwa ujerumani ya Hitler ilikua vizUri zaidi kuliko Russia . mapungufu ya ujerumani ni costs za kupiga vita nyingi duniani kwa wakati mmoja.

4: Russia ndio ilikuwa na wataalami wengi wakutengeneza mabomu ya nuclear, baada ya soviet kufa. Na umaskini wa hili taifa ulihofiwa kuwafanya watalamu hawa wa Russia waliokiwa wakifanya kazo kwenye umoja wa nchi A kisoviet., kubaki jobless, na matokeo yake iwe rahisi kuchukuliwa na mataifa hasimu wa marekani ili kuwatengenezea silaha hatari. Ndio maana USA ilkuwa iliwasapoti kiuchumi ili wasishawishike.

Pia nguvu ya middle East na mgogoro kati waarabu na Israel umekua ukibalansiwa kati ya influence ya USA na Russia. Kwa namna Fulani ni kweli Russia imekua kikwazo cha Israel kuchukua ardhi zaidi ya middle east . Russia ndio sababu ya Israel kusimamisha vita ya siku sita. Na kupelekea mapatano na rais Sadat wa misri na Israel. Mgogoro wa. Middle East una mkono wa USA na Russia.

5: USSR ilikufa hata ukibisha hapa ukaja na ubishi mgando. Nitakukimbia mapema. Maana hata Rais Putin amekua akilaumu Mara kwa Mara kushindwa kwa usoviet duniani. Hata putin anajua kuwa usoviet ulikufa.

Kitu ambacho hakijafa ni millitary mighty ya Russia. Urusi ilikufa sasa hivi IPO Russia.

Kwani makao makuu yaani Moscow iko imara. Na wale ndio waliokuwa wakisimamia umoja wao wa kisoviet.
Nchi nyingi zilijiengua kipokea mamlaka kutoka Moscow, kwasababu ya umaskini.

NATO imendelea kuWa kigogo kwasababu ya uchumi.imara na mbinunnyinhi za kiitelijensia na propaganda.

So ukweli ni kuwa USA inatakankuizunguka Russia na kuiangusha. Na Russka wameshtukia mkakati huu mkali na madhubuti wa Obama..Obama ni smart ndio maana aliweza kumshika Osama, ameweza kufunga Gereza la Guantanamo na sasa anajaribu kujenga upya mahusiano ya USA na Cuba.

Kubwa kuliko yote USA anatumiq mbinu kuishambulia Russia ili dunia ijue Russia ni mbaya.kwa hatma ya dunia. Kama ilivyosema USSR ni mbaya wakaibomoa.
 
Last edited by a moderator:
Hapa ninapozungumza ni kwamba USA imeshaipiku Russia kama biggest oil and gas producer
 
2: UmepuuzA ukweli kuwa USA ni NATO na NATO ni USA. Russia ilikua inategemea USSR lakini Leo hii USSR ilishindwa dhidi ya NATO. Russia kwa sasa Inahofia kuzungukwa na marafiki washirika wa NATO kuliko mataifa yenye aeilobya kosoviet.
NATO ilianziswa na mataifa ya ulaya ila marekani aliingilia kati na kujichomeka humo maana alijua akiwaacha peke yao wataota mapembe ndo maana viongozi wengi wa ulaya sasa hivi wanafikiria kuanzisha tena ushirika mwingine wa kwao kama ulaya pasipo mareka na wako mbioni kufanya hivyo, russia haikutegemea USSR maana wao ndo kitovu cha USSR, Kuna sababu nyingi zilizofanya USSR isambaratike lakini kigezo siyo NATO, NI KWELI RUSSIA inahofia kuzungukwa na lazima ihofie na isingehofia tungeishangaa sana, tungemshangaa kwasababu wanaomzunguka ni maadui... je wewe ungekuwa tiyari kuzungukwa na maadui? kila nchi lazima ijihami na russia wanachofanya ni kujihami
3. Umemtaja Hitler lakini ume skip kuitaja motive ya Hitler ambayo ilikua ni kuonyesha usuperiority kwa kuikalia Russia. Kama ambavyo uingerez ilivyokua ikiitawala India yenye population kubwa kuliko UK. So Hitler aliangalia saizi ya eneo la russia na population yao na sio uwezo wa kijeshi wa Russia.
Pia usisahau kuwa ujerumani ya Hitler ilikua vizUri zaidi kuliko Russia . mapungufu ya ujerumani ni costs za kupiga vita nyingi duniani kwa wakati mmoja.
mkuu hapa ni shida, usuperiority utauonyeshaje kwa kumpiga mnyonge? hitler alijua fika uwezo na nguvu za russia ndo maana alitaka awatandike ili kujipa nguvu zaidi maana alijua mwenye kiburi wakati huo alikuwa russia, hivyo ili uithibiti dunia vilivyo lazima uithibit russia, russia ina historia ndefu sana hapa duniani, hata kabla ya vita vya kwanza vya dunia russia chini ya wafalme wake ilikuwa inanguvu wakati huo ndo maana unaona ina eneo kubwa kuliko nchi nyingine yoyote unafikiri lile eneo walilipata kirahisi?
4: Russia ndio ilikuwa na wataalami wengi wakutengeneza mabomu ya nuclear, baada ya soviet kufa. Na umaskini wa hili taifa ulihofiwa kuwafanya watalamu hawa wa Russia waliokiwa wakifanya kazo kwenye umoja wa nchi A kisoviet., kubaki jobless, na matokeo yake iwe rahisi kuchukuliwa na mataifa hasimu wa marekani ili kuwatengenezea silaha hatari. Ndio maana USA ilkuwa iliwasapoti kiuchumi ili wasishawishike.
wewe marekani huyu huyu mwizi wa scientist wa watu awasaport watu wa russia ili wasishawishike kuchukuliwa na mataifa mengine.... mmmhhhh!!!!! haiji kutokea, kumbuka vita vya kugombania, kuibiana na kugundua technolojia ni kubwa sana duniani, hasa haya mataifa makubwa ndo hupigana sana hii vita kwa gharama kubwa sana, sio rahisi maneno haya kuwa ukweli kama ikitokea hata leo russia anafeli kwa lolote basi marekani atakuwa wa kwanza kuwalaghai scientist wa kirussia, HIVI ANAYESEMA RUSSIA MASKINI NI NANI? unafahamu gharama za kufanya space reseaech wewe? ulaya tunaoamini ni matajiri na ujanja wao wote hawana uweo kwa nchi moja moja kufanya hii space technoloji, ila russia anafanya peke yake... kuna umaskini hapo? ulaya wanaungana dhidi ya russia russia yuko peke yake anawatunishia misuli ulaya ni maskini huyo? lazima ujue kuwa russia kuna wakati walibadilisha mbinu ili waongeze kiwango cha uchumi wako, uchumi umekuwa kwa malengo waliokuwa wanataka sasa wameanza kazi yao duniani
Pia nguvu ya middle East na mgogoro kati waarabu na Israel umekua ukibalansiwa kati ya influence ya USA na Russia. Kwa namna Fulani ni kweli Russia imekua kikwazo cha Israel kuchukua ardhi zaidi ya middle east . Russia ndio sababu ya Israel kusimamisha vita ya siku sita. Na kupelekea mapatano na rais Sadat wa misri na Israel. Mgogoro wa. Middle East una mkono wa USA na Russia.
5: USSR ilikufa hata ukibisha hapa ukaja na ubishi mgando. Nitakukimbia mapema. Maana hata Rais Putin amekua akilaumu Mara kwa Mara kushindwa kwa usoviet duniani. Hata putin anajua kuwa usoviet ulikufa.
Kitu ambacho hakijafa ni millitary mighty ya Russia. Urusi ilikufa sasa hivi IPO Russia.
Kwani makao makuu yaani Moscow iko imara. Na wale ndio waliokuwa wakisimamia umoja wao wa kisoviet.
Nchi nyingi zilijiengua kipokea mamlaka kutoka Moscow, kwasababu ya umaskini.
NATO imendelea kuWa kigogo kwasababu ya uchumi.imara na mbinunnyinhi za kiitelijensia na propaganda.
So ukweli ni kuwa USA inatakankuizunguka Russia na kuiangusha. Na Russka wameshtukia mkakati huu mkali na madhubuti wa Obama..Obama ni smart ndio maana aliweza kumshika Osama, ameweza kufunga Gereza la Guantanamo na sasa anajaribu kujenga upya mahusiano ya USA na Cuba.
Kubwa kuliko yote USA anatumiq mbinu kuishambulia Russia ili dunia ijue Russia ni mbaya.kwa hatma ya dunia. Kama ilivyosema USSR ni mbaya wakaibomoa.

unayosema ni kweli USSR ilikufa na atakayebisha ni mppumbavu...... lakin nakuambia hii russia ya moscow ina nguvu sana tofauti na wengi wanavyofikiri, hawa jamaa wamewekeza sana katika technolojia za kijeshi kwa ajili ya kujilinda maana wanajua kabisa adui yao anamipango gani... kuinyakuwa crimea ule ni mkakati mzito sana ambao hata wazungu walishangaa maana hawakutegema kama russia ingejua hila zao.
MWISHO NAKUAMBIA RUSSIA NA AMERICA NYUMA YA PAZIA NI WASHIRIKA WAZURI KWA MAMBO MENGI TU, WANATEGEMEANA KWENYE NYANZA NYINGI TU, ILA SISI TUSIYEJUA TUNAJUA KUWA HAWA YAWEZEKANA HATA MARASI HUWA HAWASHIKANI MIKONO KUMBE HAPANA SI HIVYO
 
teh teh teh ngoja nikupe mfano mmoja wa hapo Tanzania; Madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania pekee lakini miongoni mwa nchi zinazouza sana haya madini katika soko la dunia ni India, Afrika ya Kusini, Kenya na ikifuatiwa na Tanzania ambayo ndio inatoa haya madini. Kwa Tanzania tatizo ni ulinzi na usimamizi mbovu.
Kwa Urusi ni tofauti kidogo, kwani Urusi ni nchi inayoongoza kuwa na akiba ya gesi na mafuta duniani "gas & oil deposits" lakini kutokana na vikwazo alivyowekewa na jumuiya ya kimataifa, usafirishaji na uhitaji umepunguzwa kutokana na vikwazo vya kibiashara. Kwa hiyo hawezi kuzalisha sana wakati uhitaji umepungua "the higher demand the better supply, the lower demand the worse supply and vice versa is true". Kwa hiyo nafasi aliyonayo Amerika kwa sasa ni ya muda tu labda vikwazo viendelee milele na ni jambo ambalo haliwezekani. Ni faida pia kwa Urusi kwani rasirimali zao zilizotakiwa kudumu kwa miaka 75, zitadumu kwa miaka zaidi ya 75 kutokana na kupungua kwa matumizi.

Kwa kifupi sana ...vikwazo vinavyoendelea dhidi ya russia havihusishi uuzwaji wa Gas.
 
NATO ilianziswa na mataifa ya ulaya ila marekani aliingilia kati na kujichomeka humo maana alijua akiwaacha peke yao wataota mapembe ndo maana viongozi wengi wa ulaya sasa hivi wanafikiria kuanzisha tena ushirika mwingine wa kwao kama ulaya pasipo mareka na wako mbioni kufanya hivyo, russia haikutegemea USSR maana wao ndo kitovu cha USSR, Kuna sababu nyingi zilizofanya USSR isambaratike lakini kigezo siyo NATO, NI KWELI RUSSIA inahofia kuzungukwa na lazima ihofie na isingehofia tungeishangaa sana, tungemshangaa kwasababu wanaomzunguka ni maadui... je wewe ungekuwa tiyari kuzungukwa na maadui? kila nchi lazima ijihami na russia wanachofanya ni kujihami

mkuu hapa ni shida, usuperiority utauonyeshaje kwa kumpiga mnyonge? hitler alijua fika uwezo na nguvu za russia ndo maana alitaka awatandike ili kujipa nguvu zaidi maana alijua mwenye kiburi wakati huo alikuwa russia, hivyo ili uithibiti dunia vilivyo lazima uithibit russia, russia ina historia ndefu sana hapa duniani, hata kabla ya vita vya kwanza vya dunia russia chini ya wafalme wake ilikuwa inanguvu wakati huo ndo maana unaona ina eneo kubwa kuliko nchi nyingine yoyote unafikiri lile eneo walilipata kirahisi?

wewe marekani huyu huyu mwizi wa scientist wa watu awasaport watu wa russia ili wasishawishike kuchukuliwa na mataifa mengine.... mmmhhhh!!!!! haiji kutokea, kumbuka vita vya kugombania, kuibiana na kugundua technolojia ni kubwa sana duniani, hasa haya mataifa makubwa ndo hupigana sana hii vita kwa gharama kubwa sana, sio rahisi maneno haya kuwa ukweli kama ikitokea hata leo russia anafeli kwa lolote basi marekani atakuwa wa kwanza kuwalaghai scientist wa kirussia, HIVI ANAYESEMA RUSSIA MASKINI NI NANI? unafahamu gharama za kufanya space reseaech wewe? ulaya tunaoamini ni matajiri na ujanja wao wote hawana uweo kwa nchi moja moja kufanya hii space technoloji, ila russia anafanya peke yake... kuna umaskini hapo? ulaya wanaungana dhidi ya russia russia yuko peke yake anawatunishia misuli ulaya ni maskini huyo? lazima ujue kuwa russia kuna wakati walibadilisha mbinu ili waongeze kiwango cha uchumi wako, uchumi umekuwa kwa malengo waliokuwa wanataka sasa wameanza kazi yao duniani
Pia nguvu ya middle East na mgogoro kati waarabu na Israel umekua ukibalansiwa kati ya influence ya USA na Russia. Kwa namna Fulani ni kweli Russia imekua kikwazo cha Israel kuchukua ardhi zaidi ya middle east .

unayosema ni kweli USSR ilikufa na atakayebisha ni mppumbavu...... lakin nakuambia hii russia ya moscow ina nguvu sana tofauti na wengi wanavyofikiri, hawa jamaa wamewekeza sana katika technolojia za kijeshi kwa ajili ya kujilinda maana wanajua kabisa adui yao anamipango gani... kuinyakuwa crimea ule ni mkakati mzito sana ambao hata wazungu walishangaa maana hawakutegema kama russia ingejua hila zao.
MWISHO NAKUAMBIA RUSSIA NA AMERICA NYUMA YA PAZIA NI WASHIRIKA WAZURI KWA MAMBO MENGI TU, WANATEGEMEANA KWENYE NYANZA NYINGI TU, ILA SISI TUSIYEJUA TUNAJUA KUWA HAWA YAWEZEKANA HATA MARASI HUWA HAWASHIKANI MIKONO KUMBE HAPANA SI HIVYO

Unaposema USA aliingilia NATO, Haisaidii sana kwasababu Marekani ilikua INA Fanya biashara na nchi za ulaya. Masoko yake makuu yalikua huko ulaya. So NATO inamhusu Kwani yeye ndiye viongozi mkuu na pia ana masoko anayohitaji ku-secure mitaji.
Kuhusu kuanguka kwa USSR,
Wewe na Masunga Jr. Mnahoji alishindwa USSR alishindwa vita gani. Mnajidahahulisha uwepo wa so called COLD WaR.

Kwenu ili Uwe vita lazima Uwe Hot.
N vizuri mkitofautisha ksti ya majibizano na vita. Mnapuuza ukweli kuhusu athari za NATO-USSR proxy war ambapo yapo mstukio kama, majeshi ya soviet yalishindwa afghanstan na kupata hasara kubwa dhidi ya mujahidina waliokuwa nyuma ya CIA katika kuidhohofisha soviet. Mnapuuza mkakati wa kutengeneza mujahidina duniani zilianzishwa rasmi na USA, nchi kama Pakistan Ikitumika kutoa wanafunzi wengi watamaniao kujiua kwenye jihadi dhidi ya majeshi ya urusi na madrasa zilijengwa pakistan kwa US dollar. USA Mission were accomplished.

Mnapuuza urafiki wa USA na China uliopelekea kuipa China hadhi ya veto power, ili kutenganisha nguvu ya mashariki, mnapuuza kuanguka kWa ukuta wa Berlin na kuiunganisha ujerumani kuwa moja. Mnapuuza kuuwawa kwa wanaharakati mbalimbali afrika akiwemo Patrice Lumumba wa congo na CIA na serikali ya Belguim . most of all mnapuuza sababu za vita ya israel ya siku Sita na mapatano ya Israeli na Egypt. Yaliokua na lengo la kuitenga Egypt dhidi urusi. Moja ya lengo kuu la marekani ni kuiepusha Egypt isiingie kwenye mikono ya wasoviet.
Na hapa mnapuuza kuwa silaha za waarabjlu zikiwo ndege vifaru ni mikopo ya urusi. Ambapo urusi ilihofia kupoteza nchi za kiislamu kama washirika na deni lake kutolipwa hivyo kupata hasara
.

Mnapuuza harakati mbalimbali zilizopelekea rais wa urusi Mikhail Gorbachev kusema enough is enough. Na kuamua kuziachia nchi zile autonomy, baada ya kuona haina kipya zaidi ya kutumia muda wake kuunda military pacts na makombora. Costs za kuzi monitor zIkawa kubwa. Na hakukua na mipango zaidi.
Na hapa ume puuza kuona kuona kuwa Gorbachev kwa aliona njia pekee kulinda mustakabali wa Moscow ni kuacha nchi zijisimamie zenyewe.

Na hapa mnapuuza sababu za msingi za warussia kwa wageni especially waafrika waliokua wakisoma nchini Russia baada ya kuanguka kwa ukomunisti. Jinsi walivyokua wakiuwawa kwenye vyuo maarufu kama Patrice Lumumba, st. Petersburg nk.

Masunga Jr.
anapuuza ukweli kuwa USA haikushindwa Somalia. Ni sawa na kusema hajui wamarekani walikwenda somalia kufanya nini. Na kama angejua unyeti na ubora wa kile kikosi kilichopelekwa somalia angekubaliana na serikali ya USA ya kukiondoa mapema ili kuepuka hujuma za kigaidi, ukichukulia lengo lao lilikwisha timia.

Most of all mnapuuza ukweli mchungu kuwa USA ilikua imekuwa ikiipa pesa ya posho Russia ili ijikimu na ukali wa maisha.

Nakubali ukweli kuwa Russia ina uchumi mkubwa kuzidi nchi kadhaa za ulaya magharibi. But kule Asia China, Japan na India ndio zipo vizuri kiuchumi kuliko Russia. Na ulaya magharibi ni more wealthy than eastern Europe. Malaya wengi wa west wametokea kwenye Lindi la umaskini kutokea ulaya mashariki. So hiyo Eurasia ni bogus.
 
Winners are...
The world super powers are Russia & China
Screen-Shot-2015-05-08-at-3.38.45-PM-1024x762.jpg
The debate is over.!!!​
Mjinga huyu hana akili huyu sijui kala maharage ya wapi huyu..aaaaarrrgg
 
teh teh teh don't take attention. You're only a cheap trolling.

You are delusional analyst.
Unazungumza mengi na Ku paste vyanzo lakini reality inakuhukumu. Kile usemacho hakuendani na kinachoonekana.

Kuna tofauti kubwa kati ya vita ya maneno na cold war.
Kai study vizuri ujue cold war ikoje. Manake usije sema kuna sasa hivi kuna cold war

Ngoja ni summarize hapa kinachoonekana;

USSR ukiongozwa na Russia ilishindwa vibaya na NATO ikiongozwa na USA.
Yaani kama USSR isingekufa pengine cold war isingemalizika. Gorbachev knows best.

Usa ilikamilisha lengo lake la kwenda somalia. Na kuondoa majeshi immediately.
Ikapeleka Iraq na kushinda kwa kishindo.so Somali and Iraq; both mission were accomplished effectively. No doubt. Ka study upya kwanini USA walikwenda somalia.?

USA iliipiga mkwara mzito USSR kuwa itaivamia Cuba ndani ya SAA 52 ikiwa tu, hawataondoa vichwa vya nuclear vilivyopelekwa kule. USSR ikatii agizo kWa aibu. Ndani ya John F Kennedy.

Swiss inaweza kuwa maskini kiuchumi kuliko Russia lakini population ya wa swiss sio huge kama wa Russia.
pili lengo la USA la kuisapoti Russia lililenga kiusalama zaidi. So still Russia is poor.

Hao ma pimp wa western wenye kumiliki Malaya.
Wana Fanya kitu wanaita human trafficking. Wanawake maskini kutokea mashariki na arabuni wanasafiri kwenye western kufanya ukahaba na kazi za bei che ili waishi. Hata sasa wako wahamiaji haram kutoka.afrika kaskazini, arabuni, kama Yemen wamekua wakikamatwa na wengine kufa. Na wote hao wanaelekea ulaya magharibi kwenye maisha bora na utajiri.. Fanya tath mini ya kwanini vijana hupenda kukimbilia mijini kutokea vijijini. West ndio town kwenyewe. Wachina wenyewe wanakuja kwetu kuwa machinga. Chezea western?!

USA iliibuka super power duniani baada ya kuitokomeza USSR.na si vinginevyo. USA ikawa na uchumi imara, ushawishi, na nguvu za kijeshi. Haijasikika mahali popote kuwa NATO walishindaa na USSR.

Rais wa sasa wa jamhuri ya watu wa CHINA. Ametamka wazi kuna together thy are power full. Yaani wakiwa tofauti hawana nguvu ila wakiungana na Russia watakua na nguvu. They all know how USA'powerfull is.......

Putin
Former Member wa KGB amekua Mara nyingi katika hotuba zake za mwanzoni alipoingia kwenye urais baada ya kupokea kutoka kwa Boris Yeltsin akilaumu kuanguka kwa USSR-Putin knows best than you brother. USA is a victor. Russia is a loser.
Alichokifanya putin hiki cha kuvuruga Ukraine ni sawa na kuvaa Bomu na kujilipua. Utagundua hakuna nchi iliyowahi kusalimu amri kwa wanaojilipua.

USA is the wealthiest of all.
Na Ulaya promised to impose more sanctions against Russia.
And with time being Russia ndo anapotea hivyo na Ego yake. Watch.
 
Na wewe hili neno ndo ​maana yake ni nini.???

Hapo ni mambo ya lahaja tu.

Ukienda Mvita, Malindi, Lamu, Tanga, na Zanzibar neno 'ndiyo' wakati mwingine hutamkwa 'ndo' kulingana na aina ya sentensi na muktadha husika.

Nunua kamusi ya Kiswahili sanifu ujifunze Kiswahili.

Hivi unajua hata 'lahaja' maana yake ni nini?
 
You are delusional analyst.
Unazungumza mengi na Ku paste vyanzo lakini reality inakuhukumu. Kile usemacho hakuendani na kinachoonekana.

.......
USA iliipiga mkwara mzito USSR kuwa itaivamia Cuba ndani ya SAA 52 ikiwa tu, hawataondoa vichwa vya nuclear vilivyopelekwa kule. USSR ikatii agizo kWa aibu. Ndani ya John F Kennedy.

....
Link Cuban Missile Crisis - Cold War - HISTORY.com

Following this news, many people feared the world was on the brink of nuclear war. However, disaster was avoided when the U.S. agreed to Soviet leader Nikita Khrushchev's (1894-1971) offer to remove the Cuban missiles in exchange for the U.S. promising not to invade Cuba. Kennedy also secretly agreed to remove U.S. missiles from Turkey.
 
Urusi ni nchi ya ajabu sana, mnaoipinga nafikiri mmeshindwa kuushughulisha ubongo wenu hata kidogo tu, sio leo tu toka zamani urusi ni taifa lililokuwa linawaogopesha wamagharibi na bado linaendelea kuwaogopesha, hitle aliamini kkuwa akiiteka rusia ameiteka dunia, bahati mbaya alishindwa, wamarekani nao pia kwa kipindi kirefu wanaamini kama wakiidhoofisha rusia basi watakuwa hawana mpinzani hii ni kwa sababu nje ya russia basi hakuna tena mwenye uwezo wa kumpinga mmarekani, hapo swali ni kujiuliza je mrusi kwa nini anaogopeka na nchi zote za magharibi?, urusi ni nchi gani
ina nini mpaka nchi za uulaya zinamwogopa na kmtegemea mmarekani awalinde? Ni nini anacho urussi kiasi kwamba marekani anajiona hayuko salama mpaka russia isambaratishwe? Kwa nini hawalali kupanga mikakati ya kuififisha urussi? Washabiki wa marekani mnasema marekani ina nguvu lakini mbona nguvu yake haitoshi mpaka aw2e na nato ndo ajihami dhidi ya urusi? Lazima mtu yoyote ajulize miaka yote ni urusi urusi urusi.... kwa nini urusi? Hawa warusi ni watu wa aina gani? Wakati ulaya wanakuja kuitawala africa warusi walikuwa wanafikiria kwenda angani.....hawa warusi watu wa aajabu sana, ulaya wanavuna mali africa urussi anaenda kujitwalia maeneo huko actic kwenye mibarafu k)siko hata na dalili za kukaa watu....warusi bwana.... leo hii hayo maeneo ndo yenye utajiri mkubwa ajabu...wazungu iwamebong'aa tu kimya..... wanasema urusi waliisambaratisha kila mmoja anakubali kuwa ilisambalatika kabisa na ikadhoofika kiuchumi....leo hii huyo ...waliemsambsratishabado wanamuogopa y..kweli?!!! Kwanini wamuogope na wamkarie vikao kucha kama hana lolote kama nyie mnavyotusminisha?

cc,2013,nyani ngabu na USA supporters
 
Back
Top Bottom