USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

mkuu kui tafuta walichonacho nawanacho daiwa!
 
Huyu elungata anaongelea kitu asichokijua nikueleze kuwa aliyekusimulia amekudanganya
 
.....hehe!, eti itabakiwa na $1 trillion, mbwembe za GDP zisinge complicate mambo kwa hesabu za haraka hata Africa tungewazidi.....lol!
(Sorry for being silly am in a laughing mood)

GDP ni tofauti na deni la taifa. Sio rahisi kwa deni la taifa kuathiri directly GDP ila linaathiri budget moja kwa moja. Itabid US watumie large amount of money kulipa deni from the budget.
 
  • Thanks
Reactions: kui
maziku Masunga Jr Umesema mkuu kupitia posting yako namna 930, lakini
Pia tukitazama kwa upande mwingine wa shilling bila kupepesa macho . tunaona kuwa:
Thamani ya pesa ya China iko chini sana kuliko US dollar . hii inafanya watu waipende dola kuliko yuan.

Na kama umefuatilia, utaona kuwa, USA amemtaka china Mara nyingi apandishe thamani ya pesa yake kwasababu ya uchumi wa china Umekuwa, lakini China amekataa katakata kupandisha
The trick behind ni kuwa China anajua akipandisha thamani hata weza kushindana na mwamerika kwenye biziness na itaathiri uchumi wake na soko lake kule USA .

Vilevile
China wanatengeneza bidhaa za Low Quality LQ na za high quality.
HQ.
Zile LQ zinaletwa dunia ya 3 kwasababu ni affordaable na acceptable na serikali zetu.
wakati zile zenye high quality HQ zinakwenda dunia ya kwanza kwasababu ndizo acceptable.

Pia yapo madai kuwa labours wa China kuna kitumia wafungwa ambao kutokana na uzalishaji wao, utaona cost of production inakuwa minimized. Ukilinganisha na COP ya western.

Utaona hapa sababu ya kwanini Ulaya imepitwa kiuchumi na China. Ni matokeo ya athari za Ajira. ulaya na Amerika. Kama kampuni haiuzi haiwezi kuendelea na kulipa wafanyakazi lazima itawa-dump tu.

Western na Russia wanatumia wafanyakazi na wanawalipa vizuri..na kufanya cost of production kuwa juu.

USA government wana spend zaidi, kuliko China.

Mfano; USA wanashiriki global issues more often than China and Russia put together.

Wakati China ina tread kwenye smooth path..
Mfano USA imepigana vita nyingi na inaendelea kupigana vita ya Iraq lakini investors wakubwa wa mafuta ya Iraq ni China badala ya USA wanaotoka jasho.
China Ina spend lesser katika kuwalinda watu wake na ugaidi.
Ukilinganisha na USA.

Kijeshi:
Mfano bajeti ya ulinzi ya USA ni karibu nusu ya bajeti ya ulinzi ya dunia nzima.
Ndio maana USA wanawa, kupunguza wakati wachina Wana waza kuongeza.

Siasa za kimataifa. USA Wana more responsibilities than Russia and China put them together.

Reality inaonyesha kuwa
USA INA population million 400 wakati China wanafika kwenye bilioni.. wachina ni wengi kuliko Africa yote.
Kwahiyo hata wakiuziana bidhaa zao inatosha kabisa kuwa soko. Soko lao ni la uhakika zaidi.

Haya hivyo China INA maskini wengi Choka mbaya(absolute poverty) kuliko ulaya na america put them together. Wachina/ambao ni "choka chokesti"
Wanafikia 180milioni. Wengi karibu. Mara 4ya population ya watanzania wote. Huku china inatamba INA uchumi mkubwa.

Wajapan wanaishi vizuri zaidi kuliko mamilioni ya wachina?

What if wachina wakiamua kugawana keki ya taifa. Je uchumi wao utaonekana kama ulivyo?..
Kama wachina wanakuja Bongo kuuza karanga na kuchoma mahindi je uchumi wao unawanufaisha? Mimi sina jibu jibu wanalo wakina Xi Jinping.
Hapa utaona tunawaitaji wa USA. Kusimamia utawala bora kuliko wachina kwasababu wachina wanakuja kuinvest kimaslahi. Hawajali sana wananchi wa nchi husika. Hawajali kama wanashirikiana na dikteta. Wao wanajali kile wanapata.

Tembo wetu maskini.
Na hii imewawezesha kujitanua sana duniani kuliko USA.
 
Last edited by a moderator:
The thing that makes it bad, is that the US has turned into a two headed political monster, manipulated by a bunch of invisible puppeteers. You've become from what you have been taught as to hate as children. Be careful who you learn things from.

Nani ni owner wa bloomberg? Serikali?
What I know USS is a free country. Americans enjoy freedom of expression in so many ways.
Far better than People of liberation of China.
Serikali ya Beijing ina tendency ya Ku-control media na watu wake.
 
GDP ni tofauti na deni la taifa. Sio rahisi kwa deni la taifa kuathiri directly GDP ila linaathiri budget moja kwa moja. Itabid US watumie large amount of money kulipa deni from the budget.

Maskini siku zote hawadaiwi. Matajiri ndio hukopa benki.
Kuna theory moja inaitwa

Nukes theory inasema... "you are poor because you are poor."
 
Nina uhakika kuwa USA hata ishambulia north Korea wala Iran

I Don't think so...
My guts tells me otherwise. Armageddon is a lil bit closer than you think.....

Ukizingatia Saudi, Israel hawatapenda kusikia na kuona mapatano ya amani kati ya USA na iran...

Pyongyang huwa wana tulizwa na China mpaka sasa. Iran ni swala la muda tu. Obama kashaonywa na republican kuwa makubaliano yake na Iran ni ya muda tu.hayana maslahi mapana na USA. Akiondoka wanatangua mkataba ikiwa watafanikiwa kushika ofisi.
Na kwa bibi Hilary wa democratic, bado nahop republican wanachukua ofisi tena this time.

Hakuna mipango ya kudumu ya amani kati ya USA na Iran. CuBa kuna matumaini kiasi.

Greedy ya power na world domination hii wamarekani hawawezi iondoa. Hii ndio american dream yenyewe.
Na ndio wanaotaka kuwepo kwa New World Order. Japo Hata Iran wanataka hii NWO. Ahmedinejan aliwahi kusema anaamini itaondoa USA bullying duniani.
 
Hizo mbwembe za GDP na uchumi kwa ujumla muwe mnaangalia pia na madeni wanayodaiwa, marekani ikilipa madeni yake i think itabaki na trillion 1 dollars

Ni kama tukihoji utajiri wachina, utakuaje ikiwa kwa idadi yao iwapo wachina watagawana keki ya taifa lao. Je China itafika hata kwenye Top Ten kwenye uchumi wa dunia kweli?
 
Mkuu pro Russia wakisema Bloomberg ni Western Media and this' s all Western anti-Putin analysis, utasemaje?!

Haina mashiko kitu cha msingi ni facts. Ukikuta taarifa moja iko zaidi ya chanzo kimoja kuna ukweli fulani japo sometimEz inaweza kuwa duped.
 
Russia hawezi kubali iran ishambuliwe na usa kwa 7bu anajua usa atakua amemsogelea russia zaidi 2kumbuke kuwa baada ya syria kuwa weakness mshirika russia wanaemtegemea zaidi middle east ni iran hlo hawawezi ruhusu itokee.

pili usa na israel wakiishambulia iran hawataweza kuimaliza labda kuidhoofisha 2 iraq marekani alshnda kwa sbu ya kuwepo dis-unity kulkuwa na shia,sun,na wakrudi. libya utawala wa gadaf ulikuwa na waasi na pia ulkuwa wa kiimla,syria kuna dis-unity na kuna makundi km shia,na
suni tOfaut na iran ambao ni ki2 kimoja na serikali yao imechaguliwa na wananch na nina hakika kwmb hata km usa ataung'oa utawala wa iran unaoungwa mkno

Na wananch itakuwa ni kazi bure kwan wairan hawatakubali bcoz jamaa wana unity sana na uzalendo kwa taifa lao
 
Hizo mbwembe za GDP na uchumi kwa ujumla muwe mnaangalia pia na madeni wanayodaiwa, marekani ikilipa madeni yake i think itabaki na trillion 1 dollars

Huna idea na unachoongea FYI madeni mengi ya US are considered assets...go educate yourself.
 
You're too yesterday to understand the global issues. That's the land that brought you big banks, big corporations and wars every ten years to enslave the people.!!! Where is the freedom.???
You're asking for freedom?
Which kind of freedom your talking about ?
Will China bring freedom to the world, ...will Russia do ? Many years have gone by Where have they been?

USA INA plan New world order.
New world order is at the planning stage to guarantee peaceful world.
Black's should at least be thankfull to america ambayo imetambua kivitendo kuwa mtu mweusi anaweza Fanya kile mweupe anafanya. Muungwana ni vitendo.

Angalau wameondoa aibu ya MTU mweusi duniani. Thanks for democracy. Sitegemei sijui lini mtu mweusi awe rais China ama Russia ama arabuni
Kwanini basi China, Russia zinaunda mfumo kama huo wa World bank ikiwa haufai? Kwani ni Wana kopi idea badala ya kufanya Kiti tofauti kabisa?

China imekua kiuchumi na kijeshi imeshaanza kuionyeshea makucha kwa Taiwan, Japan, Vietnam, philipines,na nchi za Asia kuhusu mipaka ya baharina visiwa.

Hivi sasa Japan imeanza kijiimarisha kijeshi. Kwakua inaona fika uko tuendako China na russia zinakuwa kitisho kwake.
China anaongoza namna moja kwa kuchafua hali ya hewa duniani. Wala hajali..
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
mimi huwa nafwatiliaga sana huu uzi na kwakweli maziku na dotworld mnanikonga sana kwa kuongezea leo nimepata taarifa BBC kuwa marekani analalamika kudukuliwa na china sasa na hapohapo mmesema kuwaarekani yuko vizuri kwenye mamboya internet mkatolea mifano mitandao yakijamii::Ninependa kujua ni kitugani kina mfanya mmarekani analialia?.
 
Back
Top Bottom