USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

teh teh teh mimi napotoa mchango wangu, inabidi unipinge kwa hoja sio mipasho na ndio maana huwa nakimbia jukwaa la siasa. Kuanzia hapo nitakupinga kwa kuleta ushahidi hata kwa vyanzo unavyoviamini kutoka Amerika.

Usitafute kisingizio cha kukimbia. Umetoa madai yasiyo na vyanzo na nimekupa changamoto uviweke vyanzo vya hayo madai yako na umeshindwa.

Sasa unatafuta pa kutokea.

Hahahaaa umeshindwa wewe.
 
Nimetazama hy vdeo kwa makini tna sio hy tu vdeo km 5 na sijaona mahali hy meli ya USA ikikimbizwa na hy ndege ya kirusi
Kama siyo mbishi angalia kwa makini kuanzia sekunde sifuri (0:00) mpaka sekunde ya kumi (0:10)
 
UsA iko juu military technology kuliko Russia. Huu ndio ukweli.
 
Россия для Русских бля!!
 
UsA iko juu military technology kuliko Russia. Huu ndio ukweli.

Techinolojia ipi? Ukija kwenye makombola Russia ndo the most feard misaile in the world,S-400 na saa S-500 hazina mpinzani kokote kule,

Halafu Techinolojia ya Murusi sio mchezo cheki AK-47 ni ya lini na mpaka sasa ni namber one duniani ikiwa ndo inatumiwa na majeshi ya nchi nyingi sana.

Kitu kama T-160 Black Jack ni ya zamani ila iko kwenye top 2 ya Bomber za dunia, na kwenye MISAILE inajulikana kabisa kwamba Russia hana competitor, kombola kama Topol M hii ni habari nyingine kabisa, kitu kama Bulava Misaile inayo rushwa na nyambizi ni story nyingine kabia, SATAN RS-24, SINEVA,
 
Naomba tuanzie hapa kwanza;

Sawa, ngoja tuone.

Kuhusu uzalishaji wa ndani ya nchi;

Huo uzalishaji wa ndani unahusisha makampuni ya Kimagharibi yenye viwanda huko China kwa ajili ya cheap labor?

Sasa hapo Amerika iko katika nafasi gani duniani kiuchumi.??? Kuanzia taasisi za fedha na mabenki China inaongoza na uzalishaji wa ndani bado Amerika hagusi.

Naomba pia uweke na GDP hapa, per capita na nominal. Sawa?

Tuendelee kupingana hoja kwa hoja sio mipasho isiyokuwa na tija na nitatumia vyanzo kutoka huko huko Amerika.

Mipasho hata wewe mbona unayo....tena unayo sana tu. Tatizo lako huwezi kukiri hilo. Lakini ukweli ni kwamba unayo.
 
MURUSI

Hayo makombora ni ya Ku neutralize tu.lakini hayamaanishi kuwa russia Wana ndege superior kama stealth za USA.... Fact.
Bado kwakiasi kikubwa anga inatawaliwa na USA.

Ndio maana USA wanampango Wa kuunda ndege na makombora ambayo yatajihami kushambulia mapema kabla ya kuingia na kunaswa na rada.ili kupunguza costs wanazotumia kuunda hizo ndege. Project iko mezani. So hakuna hitimisho hapa.

Russia Wana makombora hawana ndege, lakini yatakuja kuonekana dhahifu uko Tuendako. Wataunda mengine tena.Na ngoma itaendeleea kama Tom and Jerry.
Its only a matter of time.
USA is still superpower duniani. Russia is not.
God bless the united States of America.
 
Last edited by a moderator:
maziku Masunga Jr

GDP INA shortcomings nyingi kama umesoma uchumi vizuri. Hawa wanatumia kitu wanaita purchasing power parity PPP. Wanalinganisha bidhaa ya aina moja gharama yake kati ya USA na China. China ikaonekana iko juu. Wakasema ChINA ina Uchumi mkubwa zaidi ya USA.

Cause mfano kunyoa nywele kwenye Barbershop ya USA versus Barbershop ya China. Kwa China utanyoa kwa gharama ya Chini zaidi kuliko USA. Na pengine hapa bongo gharama itakua chini zaidi... Wanacheki bei ya items zingine, moja baada ya moja na kuzifanyia comparison. Mfano T-shirt, Shoes, etc.

Kwa sasa kama umefuatilia USA wanataka kubadili namna wanavyo calculate uchumi. Baada ya kuona majimbo mengi sio njema sana kiuchumi. Hali haijaimarika watakavyo.
Sasa uchumi wa USA na Russia ni wazi Russia Bado junior.

Kuna ukweli kuwa China, inatumia cheap labor tofauti na USA. Mfanyakazi wa USA anahitaji mshas
hara mnono, allowance mbalimbali ili aweze kulipa kodi na kufanya kazi kwa ufanisi.
Kiasi kwamba wako wanaoamini kuwa USA haiwezi kupaa zaidi ya ilipofika. Ukilinganisha na China inayozalisha kioitis cheap labor.

Lakini wamarekani, ni matajiri wakati China serikali ndio tajiri.

Wamarekani wanaongoza kwa mabilionea wengi duniani.
So tunapozungumzia uchumi ni vyema tukitaja ni nani ananufaika isiwe ni swala la kisaikolojia tu. Wamarekani Wana enjoy pesa yao.
 
Last edited by a moderator:
The Secret money behind Putin's War Machine

Putin is allocating unprecedented amounts of secret funds to accelerate Russia's largest military buildup since the Cold War, according to data compiled by Bloomberg. The part of the federal budget that is so-called black -- authorized but not itemized -- has doubled since 2010 to 21 percent and now totals 3.2 trillion rubles ($60 billion), the Gaidar Institute, an independent think tank in Moscow, estimates.

Stung by sanctions over Ukraine and oil's plunge, Putin is turning to defense spending to revive a shrinking economy. The outlays on new tanks, missiles and uniforms highlight the growing militarization that is swelling the deficit and crowding out services such as health care. Thousands of army conscripts will be moved into commercial enterprises for the first time to aid in the rearmament effort."The government has two urgent tasks: strengthening security at all levels of society and promoting innovation to end the macroeconomic stagnation," said Ruslan Pukhov, director of the Center for Analysis of Strategies and Technologies and an adviser to the Defense Ministry in Moscow. "The solution to both problems is to intensify the development of the military- industrial complex."
Since bringing the country back from the brink of bankruptcy a decade and a half ago, Putin has increased defense spending more than 20-fold in ruble terms. In dollars, it exceeded $84 billion last year, more than any other nation except the U.S. and China, according to the Stockholm International Peace Research Institute.

Source: Bloomberg

 
kui

That's why I said Russia is scared the shit out of him
USA INA mwogopesha sana mrussia.Putin hapati usingizi Mtandao wa USA unamzunguka kwenye mipaka yake. Jinsi inavyo advance. Anajua kabisa next time showdown itahamia kwake ndio maana ameomba alliance na China

Kwa kipindi hiki angetumia pesa kujenga uchumi, but ametumia kuunda silaha. Whay if vita isitokee itakua kama enzi ya marehemu USSR.
 
Last edited by a moderator:
That's why I said Russia is scared the shit out of him
USA INA mwogopesha sana mrussia.Putin hapati usingizi Mtandao wa USA unamzunguka kwenye mipaka yake. Jinsi inavyo advance. Anajua kabisa next time showdown itahamia kwake ndio maana ameomba alliance na China
Kwa kipindi hiki angetumia pesa kujenga uchumi, but ametumia kuunda silaha. Whay if vita isitokee itakua kama enzi ya marehemu USSR.

Mkuu pro Russia wakisema Bloomberg ni Western Media and this' s all Western anti-Putin analysis, utasemaje?!
 
Hizo mbwembe za GDP na uchumi kwa ujumla muwe mnaangalia pia na madeni wanayodaiwa, marekani ikilipa madeni yake i think itabaki na trillion 1 dollars
 
Hizo mbwembe za GDP na uchumi kwa ujumla muwe mnaangalia pia na madeni wanayodaiwa, marekani ikilipa madeni yake i think itabaki na trillion 1 dollars

.....hehe!, eti itabakiwa na $1 trillion, mbwembe za GDP zisinge complicate mambo kwa hesabu za haraka hata Africa tungewazidi.....lol!
(Sorry for being silly am in a laughing mood)
 
maziku Masunga Jr

Heheh!, I foresaw this from the 'Eastern Zone' , but numbers don't lie,....mie mjumbe tu mkuu.

Cc 2013
 
Last edited by a moderator:
Wewe USA hana huo uwezo wa kuipiga Russia atabakia kuchonga tuu mdomo na kuufyata nchi ngapi amezipiga na wala hakuzitisha
 
Back
Top Bottom