USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Watakwambia ni RT au ni vyombo vya mashariki bila ya kuzingatia ukweli uliopo.
Zipo mtu zinazofikiri kuwa wanahati miliki ya habari na ukweli.
Lugha za dharau na kujipaisha ndio hoja kwao.

Kwao ukweli unasemwa na vyombo vya habari vya Magaharibi tu, na habari zinazoandikwa kutoka Mashariki huziita ni propaganda.

Huwezi kuwasaidia mtu hizo, ziachie ziamini vile zinapenda.

Ali Mwinyi aliziambia zinaweza kula panya pia! Panya ruksa!
 
Unaposema USA aliingilia NATO, Haisaidii sana kwasababu Marekani ilikua INA Fanya biashara na nchi za ulaya. Masoko yake makuu yalikua huko ulaya. So NATO inamhusu Kwani yeye ndiye viongozi mkuu na pia ana masoko anayohitaji ku-secure mitaji.
Mkuu unajua kuna mambo mengine unazungumza humu mpaka nabaki nakushangaa!! Kwa nini Merikani mwanzo ilikataa kujingiza katika vita ndani ya Continental Europe - unajua Roosevelt alikuwa na maoni gani kuhusu vita hivyo? Je Japan hisingepiga mabomu Pear Habour Hawaii na kuharibu idadi kubwa ya Manowari na Marines unafikili Roosevelt angesumbuka na kuingia vitani? Ni kweli alikuwa anatoa msaada kwa majeshi ya Uingereza na Urusi lakini alijua wazi wazi kwamba Uingereza inapigana kutaka kulinda makoloni yake huko Middle East na Africa yasichukuliwe na Wajerumani vile vile makoloni yake ya far East yalisha chukuliwa na Wajapan hivyo Churchill alitaka yakombolewe, vita hiyo ilikuwa ya kimaslahi zaidi kuliko kitu kingine, Urusi ilichukiwa na Nchi za magharibi kutokana na siasa zao za ki-kumunisiti ambazo walizichukulia kama ni threat kubwa ya U-CAPITALISM.

Hivi unataka kueleza members kwamba NATO ilianzishwa kwa madhumuni ya biashara!! Unaweza kutupa takwimu za trade volume baina ya Merikani na Bara Ulaya kabla ya vita vya pili vya Dunia.
Kuhusu kuanguka kwa USSR,
Wewe na Masunga Jr. Mnahoji alishindwa USSR alishindwa vita gani. Mnajidahahulisha uwepo wa so called COLD WaR.
Kwenu ili Uwe vita lazima Uwe Hot.
N vizuri mkitofautisha ksti ya majibizano na vita. Mnapuuza ukweli kuhusu athari za NATO-USSR proxy war ambapo yapo mstukio kama, majeshi ya soviet yalishindwa afghanstan na kupata hasara kubwa dhidi ya mujahidina waliokuwa nyuma ya CIA katika kuidhohofisha soviet.

USSR ilishindwa nini? eti cold war! Kwani Gorbachev si aliamua tu kuhachana kupoteza resources kwenye masuala yasiyo na tija - alitaka nchi zinazo hunda USSR ziwe na uhuru wa kuendesha nchi zao in a loose federation na Russia basi - si Merikani wala NATO walihusika na uhamuzi wa Gorbachev, Reagan na Gorbachev waliheshimina sana hakuna kitu Reagan alikuwa anafanya kuhusu Mataifa yao bila ya kuelewana na Gorbachev kwanza, speech ya Reagan aki-address Gorbachev kwamba avunje ukuta wa Berlin ulikuwa ni Utani tu wenye lengo la kisiasa 4 home consumption, lakini MSM outlet wakalichukulia kama ni ushindi wa Nchi za magharibi dhidi ya URUSI wakati si kweli - Warusi walihamua wenyewe bila ya shinikizo la mtu yeyote Duniani.

Unashangaza sana, haya tuje kuhusu NATO-USSR proxy war - kila siku unazungumzia Urusi na Aghanistan kwamba walishindwa, mbona uzungumzii Merikani na Vita vya VietNam je na huko tulahumu KGB je uliwahi kuona clip zinazo onyesha wanajeshi wa Kimerikani wakikimbia bila viatu wakivamia chochote cha kunusuru uhai wao - kisa wanaogoga majeshi ya wa VietCong - hivi unaweza kweli kulinganisha undokaji wa majeshi ya URUSI huko Afghanistani na uondokaji wa majeshi ya Wamerikani huko VietNam, wewe unasema the brains behind Mujahidina walikuwa ni CIA-right? Sasa mbona Merikani hiyo hiyo ndio inalizwa kila siku na Mujahidina - miaka mingapi Merikani imepigani huko Afghanistan wamefanikisha nini cha maana nchi hiko vile vile Mujahidina ndio wanaongazo Taifa hilo - stooges/puppet wa Merikani wanajifungia IKULU ya Kabul na vita bado inaendelea - Obama mambo yalipo mshinda akahamua kurudisha majeshi yake Merikani na Ulaya, Urusi iliwahi kumshauri Merikani kwamba vita ya Afghanistani sio lelemama - lakini Wamerikani kama kawaida yao ya kujiona wao zaidi sasa wanajuta.

Mnapuuza mkakati wa kutengeneza mujahidina duniani zilianzishwa rasmi na USA, nchi kama Pakistan Ikitumika kutoa wanafunzi wengi watamaniao kujiua kwenye jihadi dhidi ya majeshi ya urusi na madrasa zilijengwa pakistan kwa US dollar. USA Mission were accomplished.

Nimekwisha eleza hapo juu - sasa hivi Merikani wanavuna walicho panda(Mujahidina wanaipeleka puta Merikani) - and the sad thing ni Merikani wakurupukaji hawajifunzi chochote!!

Mnapuuza urafiki wa USA na China uliopelekea kuipa China hadhi ya veto power, ili kutenganisha nguvu ya mashariki, mnapuuza kuanguka kWa ukuta wa Berlin na kuiunganisha ujerumani kuwa moja. Mnapuuza kuuwawa kwa wanaharakati mbalimbali afrika akiwemo Patrice Lumumba wa congo na CIA na serikali ya Belguim . most of all mnapuuza sababu za vita ya israel ya siku Sita na mapatano ya Israeli na Egypt. Yaliokua na lengo la kuitenga Egypt dhidi urusi. Moja ya lengo kuu la marekani ni kuiepusha Egypt isiingie kwenye mikono ya wasoviet.
Na hapa mnapuuza kuwa silaha za waarabjlu zikiwo ndege vifaru ni mikopo ya urusi. Ambapo urusi ilihofia kupoteza nchi za kiislamu kama washirika na deni lake kutolipwa hivyo kupata hasara
.

Ukuta wa Berlin nimekwisha eleza tangu mwanzo kilicho tokea nilikuwa Ujerumumani najua kilicho endelea - vijana na watu wazima walijua kilicho endelea - usilete propaganda za CNN hapa, Gorbachev angekataa Merikani ingefanya nini???? - Unayo yaleta humu mtu unaweza kufikili umepewa US Govt disinformation handouts za kutaka kudanganya watu hapa!!! Mimi nakushauri ufanye home work yakutosha kuhusu masuala ya Middle East - Uchina inahusika vipi na wasuala ya Mashariki ya kati ya miaka ya 1960/70s, unafikili Wachina hawajui unafiki wa Wamerikani - kwa taarifa yako Wachina walipewa Nuclear Bomb na Warusi ili wawatishe Wamerikani wafikilie mara mbili kama walikuwa na mpango wa kuivamia Uchina kwenye Miaka ya sitini kutaka kurudisha utawala wa Chiang Khe Shek aliye kuwa uhamishoni Taiwan. Uchina na Urusi wanaweza kuwa na tofauti zao hapa na pale lakini linapo kuja suala ya usalama wa Mataifa yao - LAO MOJA, hata kama hawasemi in Public lakini vitendo vyao vinatuma a message to Uncle SAM and he knows it, hivi sasa Merikani inajitahidi kukaribisha ma General wa Uchini nchini mwao - wanacho taka ni ku-draw a wedge between China na Russia wanafikili wa China hawana akili!!

Unacho sahaua ni kwamba ma General wengi wa MISRI upande wa infantly na Airforce walisomeshwa Urusi, juzi juzi hapa Misri imewekeana mkataba wa kununua silaha kutoka Urusi, mwezi Ujao Misri na URUSI wanatafanya mazoezi ya kivita ya pamoja - what does that tell U??

Mnapuuza harakati mbalimbali zilizopelekea rais wa urusi Mikhail Gorbachev kusema enough is enough. Na kuamua kuziachia nchi zile autonomy, baada ya kuona haina kipya zaidi ya kutumia muda wake kuunda military pacts na makombora. Costs za kuzi monitor zIkawa kubwa. Na hakukua na mipango zaidi.
Na hapa ume puuza kuona kuona kuwa Gorbachev kwa aliona njia pekee kulinda mustakabali wa Moscow ni kuacha nchi zijisimamie zenyewe.

Haya mambo ya kuchota taarifa zako kutoka MSM outlet zikiwa RAW - ndiyo tatizo lako kubwa mkuu - unayo yazungumza hapa nimekwisha yasema hapo mwanzo kwanza sikujua kama utayarudia tena hapa, nasema hivi: Gorbachev hakushikizwa na Taifa/mtu yeyote - ulikuwa ni uhamuzi wake wenye busara - wewe kwa mawazo yako unafikili kwa nini Merikani na urusi walifikia mapatano ya kupunguza makombola na silaha nyingine hatarishi kwa pande zote na walihakikisha kila upande anakuwepo mwangalizi wa kuhakikisha kwamba silaha hizio zina angamizwa kikamilifu, kama Merikani ingekuwa inajiona imeshindwa vita unavyo sema ni vya baridi kwa nini hawakuendelea kuhodhi silaha hizo - mabo mengine uhitaji shahada ya sayansi ya roketi kujua ukweli wa mambo - tusilete propaganda zisizo na mshiko zungumzia ukweli wa mambo. Mtu mjinga pale alikuwa na Yeltisin na ulevi wake ndio maana alichotwa akili kweli kweli.

Na hapa mnapuuza sababu za msingi za warussia kwa wageni especially waafrika waliokua wakisoma nchini Russia baada ya kuanguka kwa ukomunisti. Jinsi walivyokua wakiuwawa kwenye vyuo maarufu kama Patrice Lumumba, st. Petersburg nk.

Troll zako nyingine zinachekesha sana - Wamerika weusi wangapi wameuwawa huko Amerika mwezi huu?? wanauwawa na Polisi wakati mwingine wanauwawa na wazungu wabaguzi wa rangi nchini mwao, leo hii unataka kuinyoshea kidole URUSI kwenye isolated incidents tu - wakati mauuaji ya kinyama Merikani ni common place - binafsi have never felt safe nikiwa nchini mwao - na hivi sasa umegehuka a semi-Police Nation, kwa nini mtu usi ishi katika Nchi kama Uingereza ambayo Mapolisi wanatembea na note book, pen na wakati mwingine radio, Nchi gani raia wanaishi roho juu kila siku especially ukiwa mweusi.

Masunga Jr.
anapuuza ukweli kuwa USA haikushindwa Somalia. Ni sawa na kusema hajui wamarekani walikwenda somalia kufanya nini. Na kama angejua unyeti na ubora wa kile kikosi kilichopelekwa somalia angekubaliana na serikali ya USA ya kukiondoa mapema ili kuepuka hujuma za kigaidi, ukichukulia lengo lao lilikwisha timia.

Sina shaka Masunga Jr anaelewa kila kitu, usitake kumuhadaa hapa, nadhani ni wewe peke yako unaye dhania Wamerikani hawakuondoka mkuku huko Somalia baada ya kuonja joto la jiwe kutoka kwa wapiganaji majasiri wa Kisomali, kufunga miguu maiti moja ya mwanajeshi wa Merikani na kuivuta na gari ikiburuzwa kwenye lami, hiyo ilikuwa ni propaganda tosha ya kumtisha Clinton na Raia wa Kimerikani, raia walipo ona tukio hilo wakamshikikiza Clinton ahondoe majeshi yake Somalia, Wasomali ni mahili sana walihakikisha tukio hilo linapigwa picha na media za kimerikani na Ulaya ili zionyeshwe kwenye Primetime Ulaya na Merikani - Wasomali si mchezo.

Most of all mnapuuza ukweli mchungu kuwa USA ilikua imekuwa ikiipa pesa ya posho Russia ili ijikimu na ukali wa maisha.

Nakubali ukweli kuwa Russia ina uchumi mkubwa kuzidi nchi kadhaa za ulaya magharibi. But kule Asia China, Japan na India ndio zipo vizuri kiuchumi kuliko Russia. Na ulaya magharibi ni more wealthy than eastern Europe. Malaya wengi wa west wametokea kwenye Lindi la umaskini kutokea ulaya mashariki. So hiyo Eurasia ni bogus.

Unacho sahau Warusi waliwahi kupitia majaribu mengi hasa wakati wa vita vya pili vya Dunia, hivi sasa hakuna Taifa lolote linaweza kuwa na ubavu wa kuitisha - au kuwafanya lolote na nakuhakikishia Merikani isipokuwa makini na kuendeleza uchokozi wao, if anything happens by accident - say kombola la thermonuclear likafyatuka ghafla likatua URUSI - basi huo ndio utakuwa mwisho wa Merikani - juzi juzi hapa submarine za Kirusi mbili zilikuwa karibu sana na pwani ya New York zimekaa pale zaidi ya wiki mbili bila ya kugundurika. Chunga sana mkuu wenzetu ni wakimya lakini mziki ni zaidi ya Stalin ORGANS.
 
Umeniuliza swali nimekujibu, nikakuuliza swali hukunijibu ipasavyo kwani pamoja na lahaja kuelezea maneno katika jamii mbali mbali.

Nimejibu ipasavyo na zaidi. Kama hukuelewa nilichojibu sema, usione haya.

Bado haibadilishi sheria na kanuni za lugha ya kiswahili, neno ni muunganiko wa silabi na irabu.

Hizo sheria na kanuni za lugha ya Kiswahili unazozirejea ziko wapi? Unaweza kuniwekea hapa?

Silabi pekee (ndo) haina maana yoyote katika kiswahili na bado haijakamilika pasipokuwa na irabu (kwa mfano; a,e,i,o,u), ijapokuwa inaweza kutamkika.

Una wazimu wewe! Haina maana kivipi wakati kuna jamii lukuki zinatumia hilo neno na kuelewana pasi na tatizo lolote lile? Kama hilo neno linatamkika basi pia laweza kutumika vile vile na kwa taarifa yako linatumika sana tu.

Turudi kwenye jambo ambalo ndio linahusu kwa wakati huu, kuhusu Amerika na Urusi katika tasnia ya kijeshi.

Marekani haina mpinzani katika masuala ya kijeshi. Mnazoleta hapa ni kelele tu.

Huku kwingine ilikuwa ni sehemu ya kumpumzikia, usijaribu kufanya ndio jambo kuu la msingi.

Hahahahaaa unataka kula kona eeh?
 
teh teh teh mimi siwezi kula kona wewe.!!! Unachojaribu hapa ni kuhamisha mada ili upate sehemu ya kutokea. Jukwaa la lugha lipo, sijui hapa unataka kufanya nini.

Kama jukwaa la lugha lipo basi ungeniita huko na kuniuliza kuhusu mambo ya lugha.

Lakini kwa vile umeleta kimbelembele cha kuniuliza humu basi utajibiwa humu humu.

Hutaki kujibiwa humu, usiulize humu, period, end of sentence.
 
Hali tete Russia.
Taarifa ya leo Putin analalamika kuwepo kwa mipango ya kuweka mfumo w a Ulinzi barani ulaya, plus NaTO kumzUnguka mipaka yake, Akasema atapigana vita.
 
Bukyanagandi
Jamani hapa tuache uongo. US mission in Somali land were fully accomplished. Kwanza hawakupeleka jeshi Bali kikosi maalum cha special operation. USA wamepeleka jeshi Iraq, Afghanistan.Vietnam . ni upuuzi kuamini kuwa USA inapaogopa somalia. What does somalia have by the way. Pia tusitake kusema vita na magaidi ni vita. Cause terrorism is a war of cowards. Nobody counts if a terrorist got killed. So kusema ugaidi ni vita, hawako level moja na USA amry. Magaidi wako tayati kufa na wanaua innocents. Hii sio quality ya military soldier.

Pili ni kweli Rais Roosevelt peke yake hakutaka USA iingie vita ya pili ya dunia. Kwssababu zake binafsi za kiimani kuwa vita ni jambo baya linaloondoa uhai wa mwanadamu. Na sio kuwa USA haiwezi kupigana. So haya yanatokana na hisia zake. Wamarekani na maseneta wake wa bungeni walitamani USA iingie vitani. Roosevelt alionekana shujaa pale aliporuhusu USA kuingia vitani.


Tofauti na kipindi hiki wamarekani hawakutaka Rais mtaka vita. Ndio maana Obama alinufaika na makosa ya George Bush. Obama alikuja kuhakikisha USA haipigani vita.

Vileve Gorbachev kwasababu ya pride hakupenda USSR ife. ila alilazimika kutokana na hali halisi.
Putin knows best. Na Putin alikua akiiongelea kama pigo kwa Russia. So do you


Mwisho jaribu kutofautisha sababu za msingi za mauaji ya blacks ulaya na america versus sababu za msingi za mauaji ya blacks kule Russia kwenye vyuo vya Lumumba
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanaichukia USA sijui iliwafanya nini wakati wao wako huku Bara la Giza.
USA anajua anachofanya
Afu kumlinganisha USA na China ni kuidharau USA China anafaidika kwenye trade sababu ya watu alio nao idadi ya watu ni zaidi ya mara 4 ya ile ya USA.
China anafaidika sababu anauza vitu feki kwenye nchi nyingi za kimasikini.
Maisha ya USA na ya China ni tofauti.
Urusi na USA hawawezi kufika popote kwenye vita. Hiyo itakuwa vita kuu ya dunia
 
nataka kujua kuhusu wale red indies wa marekani kama bado wapo.nakama bado wapo kwanini hawaonekani kwenye medali za siasa.naninaomba mifano ya watu red indies ambao ni mashuhuri.
 
French President Francois Hollande is holding an emergency meeting of top lawmakers to discuss documents released by WikiLeaks that showed the U.S. National Security Agency spied on Hollande and his two predecessors.
Government spokesman Stephane Le Foll said the president will meet the legislators later Wednesday and France's top intelligence coordinator will be going to the United States shortly due to the spying.
Hollande earlier called the NSA intercepts an "unacceptable" security breach.

link:
http://news.yahoo.com/french-president-calls-us-spying-revelations-unacceptable-083648417.html
3438453e054c3d1c7a0f6a706700a8f1.jpg




USA trusts no German,No Japan, No Vatican, No Arbs, No China, No Russia, No Iran, No Saudi Arabia. It seems that, In every deal he makes, USA always carries planned B in"HAND".
chezea USA... USA Trust NO ONE...:usa2::usa2:

 
French President Francois Hollande is holding an emergency meeting of top lawmakers to discuss documents released by WikiLeaks that showed the U.S. National Security Agency spied on Hollande and his two predecessors.
Government spokesman Stephane Le Foll said the president will meet the legislators later Wednesday and France's top intelligence coordinator will be going to the United States shortly due to the spying.
Hollande earlier called the NSA intercepts an "unacceptable" security breach.

link:
http://news.yahoo.com/french-president-calls-us-spying-revelations-unacceptable-083648417.html
3438453e054c3d1c7a0f6a706700a8f1.jpg




USA trusts no German,No Japan, No Vatican, No Arbs, No China, No Russia, No Iran, No Saudi Arabia. It seems that, In every deal he makes, USA always carries planned B in"HAND".
chezea USA... USA Trust NO ONE...:usa2::usa2:


Hapo ndo naamini kuwa US hana permanent friends au enemies...
Kifupi hamuamini mtu yeyote duniani hadi heads of states...
 
Whether it's a bluff or not, one cannot fathom why the West and specifically NATO would condemn Russian President Vladimir Putin following his decision to place more than 40 new intercontinental ballistic missiles (ICBMs) into service this year. After all, his decision is a direct response to the United States' own announcement that it intends to place heavy weapons in Eastern Europe, basically at Russia's very doorstep.
"If someone threatens our territories, it means that we will have to aim our armed forces accordingly at the territories from where the threat is coming," Putin said during a visit with Finnish President Sauli Niinistö last week. "How else could it be? It is NATO that is approaching our borders, it's not like we are moving anywhere."
To which President Niinistö noted (and with great accuracy): "Europe is not in a state of peace."
So just what was the United States thinking?
Did it and its NATO allies think Russia would welcome such a move?

source; US Needs to Think Twice About Antagonizing RussiaÂ-|Â-David Oualaalou

i think hii hapa juu inaweza kuwa ni US Plan B kwa ajili ya kuichapa Iran...bila kuathiriwa na Russia, Ni maoni yangu lakini...


Plan B For Iran - Michael Crowley - POLITICO Magazine
 
President Barack Obama's nuclear diplomacy with Iran may yet fail. On Tuesday, exactly one week before a June 30 deadline for an agreement,
Iran's Supreme Leader delivered his latest in a series of defiant statements, setting conditions for a deal-including immediate relief from sanctions, before Iran has taken steps to limit its nuclear program-that Obama will never accept. Secretary of State John Kerry warned last week that the U.S. is prepared to walk away from the talks. And even if a deal is reached, the story is not over. The Iranians may break or cheat on an agreement, and try build a nuclear weapon anyway.


That's why, at least three times in the past year, a B-2 stealth bomber has taken off from an Air Force base in Missouri and headed west to the White Sands Missile Range in New Mexico. For these missions, the $2 billion plane was outfitted with one of the world's largest bombs. It is a cylinder of special high-performance steel, 20 feet long and weighing 15 tons. When dropped from an altitude likely above 20,000 feet, the bomb would have approached supersonic speed before striking a mock target in the desert, smashing through rock and burrowing deep into the ground before its 6,000 pounds of high explosives detonated with devastating force.
"It boggles the mind," says one former Pentagon official who has watched video of the tests.


Those flights were, in effect, trial runs for the attack on Iran that President Barack Obama, or his successor, may order if diplomacy can't prevent Iran from trying to build a nuclear weapon.
Think of it as Plan B for Iran. The failure of diplomacy might lead the U.S. to turn to a weapon finally ready for real-word action after years of design and testing. The so-called "Massive Ordnance Penetrator," or MOP, represents decades of military research, dramatically accelerated in recent years, focused on the problem of destroying targets buried deep underground.


Read more: Plan B For Iran - Michael Crowley - POLITICO Magazine

cc Dotworld, Maziku Masunga Jr. Elungata
 
Last edited by a moderator:
Hiyo stealth inaweza ku overcome s300 au s400 defense system??
 
Whether Saudi leadership or the United States is to blame is irrelevant at this point. The drastic drop in oil prices caused by record levels of oil production here and abroad has one objective among any others: seriously damaging Russia's economy, thus rendering its military capabilities weak. As long as tensions continue between the West and Russia, the possibility exists that the price of oil could go as low as $20 a barrel. That would make it difficult for Russia to invest in its military.
If history is any guide, a similar scenario happened in 1941 when the United States imposed a devastating oil embargo on Japan, which resulted in the latter losing 92 percent of its oil imports and sparked the attack on Pearl Harbor. Yet, this strategy of cutting oil prices is currently pitting Iran, Russia, and China against the United States in three geographical areas: the Middle East, Eastern Europe and Asia, respectively.

Ongoing turmoil in the Middle East -- mainly civil war in Syria and Iran's negotiations with the West -- neatly serves Russia's regional interests. For instance, Washington is well aware that it will be impossible to reach a deal with Iran over its nuclear program without Russia's assistance. And not reaching a deal over Iran's nuclear program gives war hawks in Washington much-needed ammunition to use for their absurd narrative of bombing Iran, which of course would plunge us into war. In the process, our focus would leave Eastern Europe with the Russians suddenly assuming greater dominance there.

The United States, a major contributor to NATO's budget, is dealing with way too many conflicts at present. It spends 3.6 percent or $585 billion of its gross domestic product on NATO defense.
 
teh teh teh did you miss me.!!! I am not a diplomat but let me tell you, the Iran nuclear agreement will be decided in the UN security council - not in the United States. Now look at five permanent members of the council; Russia, China, France, UK and the US. Germany joined them in the negotiation with Iran.

Russia is doing everything in its power to destabilize the western world and is waiting for any chance to decrease American power and prestige. The russian representative to the UNSC has already put forward a resolution to lift sanctions on Iran. Any and all continued demonstration of blind ideology by the american right does nothing less, that assist russia's move toward recreating the Russian empire.

The EU members of the P5+1 are being threatened by Russia and must rely on the US for support. But you have to know not one member of the EU considers Israel favorably and must consider the american right wing's blind support to be literally crazy. The continuing congressional opposition to a very good agreement must make them seriously how unreliable the US has become. Their support will become less and less assured in the face of what they must view as a polarized and self-destructive american political process.

Last, There is much more at stake than the continued right wing opposition to president Obama. The right wings are making it clear to the rest of the world that the US is an unreliable ally and a weak and divided foe. Stay on focus my friend, only time will tell honestly.!!!
mopcrowley.jpg

Crews load the Massive Ordnance Penetrator in a test in March 2007 at White Sands Missile Range in southern New Mexico. |


The so-called "Massive Ordnance Penetrator," or MOP, represents decades of military research, dramatically accelerated in recent years, focused on the problem of destroying targets buried deep underground


When Obama officials say that "all options are on the table" to stop Iran from getting a nuke, they are in effect speaking in code about the MOP. The MOP is what Secretary of State John Kerry was clearly referring to when he recently told Israeli TV that the U.S. has "designed and deployed a weapon that has the ability to deal with Iran's nuclear program." When CNN recently put the question directly - can the MOP destroy
Fordow? - to Secretary of Defense Ashton Carter, he was succinct: "Yes. That's what it was designed to do."

NB: Iran's facility, known as Fordow, houses 3,000 centrifuges that can enrich uranium to a purity suitable for nuclear weapons. Fordow is not Iran's only enrichment facility, or even its largest. But it is the best protected. And it would be all Iran needs to develop a nuclear weapon.
Read more: Plan B For Iran - Michael Crowley - POLITICO Magazine

 
why American and Israel are so obsessed with Iran.??? Are they jealous.??? It's because Iran is the only nation that isn't scared of the US's bullying and Iran has given them the middle finger on many times. The US isn't use to defiant nations that can give them a fight back. They like to be the ones in control, Iran is in control of their future and it burns deep in the US's skin.

There's a proxy war among the media to dis-inform the masses to think that Iran have the bomb and are going to use it but in fact this is zionist plot to use an Israel nuke to do the job so as to make the world think that Iran do have them, but as a cover to use nuke against Iran. So I see the cover story for to nuke Iran would be something like a counter offensive to nullify the Iranians from launching uranium technology.
despite all, Fardow is going down very soon:A S-fire1:
 
Back
Top Bottom