Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,504
MOP wala haiwezi kuwatisha irani kusitisha programme yake,hilo ni drum tu limejazwa milipuko na lazima libebwe na kuangushwa juu ya target kwani sio guided.hiyo ndege ya kulibeba haitaweza kupenya hadi kuifikia target,wataitungua.
wangekua irani wanagwaya hilo pipa basi wao ndo wangekua desperete kufikia muafaka
wangekua irani wanagwaya hilo pipa basi wao ndo wangekua desperete kufikia muafaka