USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

i
.
antonov 225 ikiwa imebeba US Space shulter mgongoni.
 
Hata ukiweka. Ni jambo ambalo dunia haijui. I mean haliko official.ni suspicion tu.

unamjua unamsikia maccain?,huyo ni senator na mropokaji mzurI.
na pia kuna mwanadada mmoja balozi wa marekani katika EU,ndo walikua nyuma ya mapinduzi ya ukraine.
unaposema haijawa official?tangu lini blackops za marekani zikawa official?.

EDIT-Mwanadada anaitwa victoria Nuland,huyo ndo alikuwa paymaster,zilitumika kiasi cha dola bilion 5 kuhakikisha mapinduzi yanafanikiwa.
kuna hadi picha huyo mama akigawa vyakula kwa waandamanaji
 
Hapa kuna hoja zina make sense. Naat all anyway. Cause anasahu ukweli kuwa USA INA spy kila nchi yenye mashiko duniani plus Russia.
Na ndege za USA za upelelezi zimeshadondoswa nyingi sana na Russia tangu enzi ya soviet. Lakininbudget ya USA ya jeshi haikushuka. Bali iliongezeka

LIVE

SEARCH
​

1022471259.jpg
China Jams US Spy Drones Over Disputed South China Sea Islands

© AP Photo/ Eric Talmadge​

US23:00 22.05.2015(updated 07:19 23.05.2015) Get short URL
1511853864

China tried to electronically jam US drone flights over the disputed South China Sea in order to prevent surveillance on man-made islands Beijing is constructing as a part of an aggressive land reclamation initiative, US officials said

.
Global Hawk long-range surveillance drones were targeted by jamming in at least one incident near the Spratly Islands, where China is building military facilities on Fiery Cross Reef, the Washington Free Beacon reported.
1022071066.jpg

© AP PHOTO/ RITCHIE B. TONGO​
[COLOR=#000000 !important]Chinese Navy Demands US Spy Planes Leave Disputed South China Sea Islands

That statement follows Thursday reports that the Chinese navy warned a US surveillance plane to leave the same area eight times in an apparent effort to establish and enforce a no-fly zone, a demand Washington rejected.
"This is the Chinese navy … This is the Chinese navy … Please go away … to avoid misunderstanding," a radio call in English from an installation on Fiery Cross said. The warnings were reported by CNN, which had a crew on the aircraft.
Pentagon spokesman Colonel Steve Warren said the United States does not recognize China's sovereignty claims over the new islands. He added that flights and Navy ships will continue their routine patrols, but will maintain a distance of at least 12 miles from the island.
Details of the drone interference are classified, but last week, David Shear, the assistant defense secretary for Asian and Pacific security affairs, said Global Hawks are deployed in Asia as one element of a buildup of forces near the South China Sea.
"We're engaged in a long-term effort to bolster our capabilities in the region,” Shear told the Senate Foreign Relations Committee. "Just a few examples of the increases in our capabilities in the region include the deployment of Global Hawks and F-35s. Soon we will be adding to the stock of V-22s in Japan as well."
1017516623.jpg

© AFP 2015/ ROLEX DELA PENA / POOL​
[COLOR=#000000 !important]US Rejects Beijing's Demand to Stop Flying Over Disputed Islands

Shear said the Pentagon estimates that China will complete construction of an airfield on Fiery Cross Reef by 2017 or 2018. Meanwhile, rapid militarization has security experts worried about the potential for a conflict.
Rick Fisher, a China military affairs analyst, said China could increase pressure on the United States to halt surveillance flights in Asia by first attacking one of the unmanned aircraft flights.
"Though UAVs like the Global Hawk are rather expensive, they are also regarded as more expendable because they are unmanned," Fisher, a senior fellow at the International Assessment and Strategy Center, told the Washington Free Beacon.
"But failing to defend these UAVs runs the risk of China viewing them as 'fair game' to shoot down whenever they please."
Beijing also might attempt to capture a Global Hawk by causing one to crash in shallow water, or by attempting to snatch one in flight using a manned aircraft, Fisher said
[/COLOR]

[/COLOR]

Read more: China Jams US Spy Drones Over Disputed South China Sea Islands / Sputnik International

​
 
nadhani russia wanakosa market share tu,na si tech ya kuunda ndege kubwa kwani rekodi inaonyesha mfano kule afaghnstan marekani walitaka kuibeba helcopter yao chinook ambayo ndo kubwa kabisa ilibidi wakakodi helcopter ya mrusi MI-26.
pia kuna lile dege kubwa kuliko yote analo mrusi tena iko moja tu,marekani waliikodi kwenda kuwabebea ndege kubwa ya kwenda anga za juu.

LIVE

SEARCH
​

1022483198.jpg
[h=1]Russian Helicopters Begins Mass Production of New Heavy Transport Mi-26T2[/h]
© Sputnik/ Grigoriy Sisoev​

BUSINESS13:56 23.05.2015(updated 14:39 23.05.2015) Get short URL
01914230

Russian Helicopters has begun mass production of the Mi-26T2, a completely modernized variant of the legendary Mi-26 heavy transport helicopter, a press statement on the company's website reported on Friday.
1022119448.jpg

© SPUTNIK/ ANTON DENISOV​
[COLOR=#000000 !important]India Approves Purchase of Some 200 Russian Kamov Helicopters – Reports

The new design by the Russian helicopter design and manufacturing giant is equipped with the latest avionics systems, whose new communications, navigation and systems management will allow for operation with less crew members (from 5 down to 2-3), and for dramatically improved nighttime operation. Moreover, the new design is said to improve on its predecessor's already impressive capabilities in difficult weather conditions and mountainous terrain. Like the Mi-26T, the Mi-26T2 can operate for long periods between maintenance.Speaking on the occasion of the rollout of the modernized design, Russian Helicopters CEO Andrei Shibitov stated that "Mi-26 helicopters are unparalleled in terms of their flight capabilities, and this modernization significantly expands their potential operational use. I am confident that the Mi-26T2 will see demand, both in Russia and internationally."
The Mi-26T2 features a so-called glass cockpit, which includes five multifunction LCD displays, new control consoles, and upgraded digital communications systems. Onboard video displays offer a clear picture of any cargo which may be attached to the helicopter's external sling during the daytime.
1022429255.jpg

© SPUTNIK/ VITALIY ANKOV​
[COLOR=#000000 !important]Ukraine Will Not Take Part in Creation of New Russian-Chinese Helicopter

The aircraft's flight control automation system is said to significantly ease the crew's role. The helicopter features new safety features, including early ground proximity warning systems, in-flight situation, obstacle and collision warning systems, and airspace monitoring of a radius of between 9 and 11 km around the helicopter.For crew comfort, the new helicopter also features air conditioning and heating systems both in the crew and cargo cabins.
The military Mi-26 and its civilian variant, the Mi-26T have been produced by Rostvertol, a Russian Helicopters-owned plant in Rostov-on-Don, since 1980. Developed by the Mil Moscow Design Bureau during the late Soviet period, the Mi-26T was known worldwide for setting cargo transport records, capable of carrying a cargo of up to 20 tons inside its cabin or on an external sling, or up to 90 personnel. With a cruising speed of 255 km/h, the helicopter has a maximum speed of 295 km/h, and a range of 1,920 km.
1022444983.jpg

© SPUTNIK/ ILIA PITALYEV​
[COLOR=#000000 !important]HeliRussia 2015: Moscow's Helicopter Industry Expo12

[/COLOR]
In addition to its transport role, the Mi-26T2 can be equipped for a number of other duties, including fire-fighting, autonomous ground-based refueling, and construction and assembly-related work.The modernization of the MI-26T2 design was carried out through the late 2000s. The first prototype was delivered by Rostvertol in December 2010, after which the design underwent extensive flight testing
[/COLOR]

[/COLOR]

Read more: Russian Helicopters Begins Mass Production of New Heavy Transport Mi-26T2 / Sputnik International
​
 
Kweli kabisa JustDoItNow
Sera endelevu ya USA haina malengo ya kupatana na Russia kwasababu ya kulinda maslahi yake. USA inataka kuiweka dunia chini ya
Himaya yake. Na haya mataifa kama China , Russia yanajitahidi kuzuia ndoto isitimie kwa kujaribu kuhujumu kwa kila mbinu itakayowezesha.
Hata aje rais mpya vipi si rahisi kupatanisha haya mataifa. Sababu wote Wana maslahi katika ushindani wao.
Sababu nyingine ni EGo. Kila taifa linataka lionekane ni kubwa.
Jambo binafsi Nina imani ikiwa USA itafanikiwa kuwa juu kiuchumi mwaka 2016 basi haitakuwa rahisi kuanguka tena.

Kwanini 2016? Kwanini haitaanguka? Binafsi naamini BRICS wataineutralize sana nguvu za USA. Na pia kumbuka nchi zinazounda BRICS ni zile ambazo zinachallenge nchi zilizoendelea kiviwanda. Wakifanikiwa kuunda benki yao na kuacha kutumia dola kwenye biashara baina yao basi USA ni likely kuanguka au kuwa taifa kubwa lisilo na utishio wa aina yeyote.
 
Last edited by a moderator:
Not surprisingly, Washington isn¡¯t fond of China¡¯s ¡°sandcastles¡± and everyone from President Obama to the Pentagon is now shouting from the rooftops about territorial sovereignty and Chinese ¡°bullying.¡±
China has been very inovative, creating islands where there were none. I think this pisses off the Pentagon, because China figured this unique strategy that allows for little legal restraints. After all, can you claim China is acting illegally by building new land and then converting said land into an air base? The US must be pissing themselves for letting someone outfox them.
The US is lining up as many potential wars as possible. Taking Russia to the brink in Europe, taking Syria and Iran to the brink in the Middle East, and now China in the south China sea.
I know the pentagon can destroy a country like Iraq and Libya, and Serbia. But now they are punching in their own weight class.
 
China hata sasa inategemea kuuza ulaya magharibi na USA.

Inategemea huko kuliko inavyotegemea nchi maskini kama Tanzania.

China wamekataa kupandisha thamani ya pesa yao, kwa hofu ya kukosa masoko USA. Na ndio maana wanaonekana wakishindana.
Pia China wanazalisha kwa gharama nafuu. Wakati nchi za ulaya zinatumia gharama kubwa uzalishaji. Hii utaitazama kwa mshahara wa mfanyakazi mmoja wa China na mmoja wa ulaya . wa ulaya ana madai mengi, insurance n.k. wa China anachukua mshahara tu.
Pia
Population ya China ni kubwa sana. Kwenye billion moja na usher. Wakati wamarekani pekee wako kwenye million 400.

So utaona hata wakiunda BRICS Bado wanategemea ukwasi wa westerners.
Pia tunadhani biashara ni huria. Ukweli ni kuwa RAIA wa mataifa ya ulaya Wana uzalendo sana kwa bidhaa zinazozalishwa nchini kwao zaidi.

China INA operate katika smooth environment. Less terrorism, lack or completely no war. Wakati USA INA operate in every spheres.

Hofu yangu binafsi imeegemea kwenye kitendo chao cha kushusha bei ya mafuta duniani. Si sheli tu itaathirika makampuni ya sweden na nchi zingine za ulaya zinapata hard time kuzalisha Kwani gharama inazidi kipato. Yako makampuni yamesitisha uchimbaji mafuta baharini kwasababu ya kuporomoka kwa bei.

Na ukizingatia majimbo ya Marekani Bado hayaja recover na ile depression aka 2008 mpaka Leo. Hali haijawa nzuri. Na wanategemea pia kuiza ulaya. Sasa kama ulaya hawana ajira, hawatanunua na hivyo kuwavuta kununua vya Eastern kama China . na hii itapelekea athari kwa USA na ulaya kwa wakati mmoja.

Utaona pia usa wamefikia wakati wanatafuta mdumo.mpya wa kupima uchumi badala wa Ule aa GDP.
Ambapo GDP imeonekana haitoi twasira nzuri kwa uchumi wao.

So ni kama USA wamefika decaying season. Wanahitaji kufa ili kiibuke kitu kingine.
 
Hakuna kitu hapa. Cause hakuna mahali wachina ama wa russia wanafikiria kipigana conventional warfare na USA ama NATO.
Wanachofanya sasa hivi ni kujihami tu. Incase.

Ni ajabu sana kwa USA kuihofu China wakati USA iko juu China haijaogopa. Very unusual!!!
 
China hata sasa inategemea kuuza ulaya magharibi na USA.

Inategemea huko kuliko inavyotegemea nchi maskini kama Tanzania.

China wamekataa kupandisha thamani ya pesa yao, kwa hofu ya kukosa masoko USA. Na ndio maana wanaonekana wakishindana.
Pia China wanazalisha kwa gharama nafuu. Wakati nchi za ulaya zinatumia gharama kubwa uzalishaji. Hii utaitazama kwa mshahara wa mfanyakazi mmoja wa China na mmoja wa ulaya . wa ulaya ana madai mengi, insurance n.k. wa China anachukua mshahara tu.
Pia
Population ya China ni kubwa sana. Kwenye billion moja na usher. Wakati wamarekani pekee wako kwenye million 400.

So utaona hata wakiunda BRICS Bado wanategemea ukwasi wa westerners.
Pia tunadhani biashara ni huria. Ukweli ni kuwa RAIA wa mataifa ya ulaya Wana uzalendo sana kwa bidhaa zinazozalishwa nchini kwao zaidi.

China INA operate katika smooth environment. Less terrorism, lack or completely no war. Wakati USA INA operate in every spheres.

Hofu yangu binafsi imeegemea kwenye kitendo chao cha kushusha bei ya mafuta duniani. Si sheli tu itaathirika makampuni ya sweden na nchi zingine za ulaya zinapata hard time kuzalisha Kwani gharama inazidi kipato. Yako makampuni yamesitisha uchimbaji mafuta baharini kwasababu ya kuporomoka kwa bei.

Na ukizingatia majimbo ya Marekani Bado hayaja recover na ile depression aka 2008 mpaka Leo. Hali haijawa nzuri. Na wanategemea pia kuiza ulaya. Sasa kama ulaya hawana ajira, hawatanunua na hivyo kuwavuta kununua vya Eastern kama China . na hii itapelekea athari kwa USA na ulaya kwa wakati mmoja.

Utaona pia usa wamefikia wakati wanatafuta mdumo.mpya wa kupima uchumi badala wa Ule aa GDP.
Ambapo GDP imeonekana haitoi twasira nzuri kwa uchumi wao.

So ni kama USA wamefika decaying season. Wanahitaji kufa ili kiibuke kitu kingine.

Mkuu kwa sasa USA na Ulaya wanaogopa nchi zinazounda mashirikisho au umoja kwa ajili ya kutetea maslahi yao. BRICS ni almost everything USA and Ulaya can offer.

Unajua BRICS peke yake ina market base ya kiasi gani?

Capital ya BRICS itakuwa ya kiasi gani?

BRICS ikianzisha benki yao inamaana nchi nyingi hazitaenda tena WB na IMF kukopa ikimaanisha hao wazungu hawatakuwa na direct influence kwenye nchi yako.

Umoja wa Ulaya imejengwa kwa misingi ya kutetea maslahi ya nchi za Ulaya, wameona kama waki-compete as independent countries watasamabaratika wote.

Ushajiuliza kwanini hao wazungu hawataki kusikia Afrika imeunda Shirikisho lao?
 
Kwanini 2016? Kwanini haitaanguka? Binafsi naamini BRICS wataineutralize sana nguvu za USA. Na pia kumbuka nchi zinazounda BRICS ni zile ambazo zinachallenge nchi zilizoendelea kiviwanda. Wakifanikiwa kuunda benki yao na kuacha kutumia dola kwenye biashara baina yao basi USA ni likely kuanguka au kuwa taifa kubwa lisilo na utishio wa aina yeyote.

na ndio maana anajikomba kwa china.
 
Huyu 2013 hata simple ECONOMICS ina mshinda,hajui kazi za IMF&WB ktk kuangamiza nchi zingine kiuchumi.kama hi benki ikafanikiwa kuanzishwa nchi za kiafrika zote zitajitoa kwenye WB&IMF na kujiunga na hiyo benk.huu ndio utakuwa mwanzo mzuri wa kuunda afrika moja na mwisho wa kutumika dollar ya USA ki international
 
the us and china are heading for a real confrontation. At sea, things can happen, as local captains and admirals might have to act on short notice. Remember, when bush became president, the chinese sacrificed a jet fighter, to ram and down a us spy plane, that only survived by landing on a chinese air field. That one came close, as if the us plane had crashed, bush would have been forced by congressional republicans to act militarily.
China can do some damage to us via their large reserve of us treasuries. They are likely now to push hard to end dollar hegemony. China also is going to back russia to the hilt in europe, something they were reluctant to do. Washington has some strange desire to push china and russia into a non-declared alliance. The strength of the cooperation was seen when russia sold the most advanced aa missiles in the world the s-400 to china. This one sale has ended us air supremacy in chinese skies. In other words, do not expect a us carrier to lauch an air wing against china, flying into an s-400 protected area would result in perhaps 30% losses. 50 aircraft, 15 shot down. No airforce can sustain a loss rate of even 10%. So my bet is the usn would not launch air strikes. Missiles would be used, but s-400 was built to shoot down us missiles

2013,.usa anahangaika usiku na mchana china usipatane na urusi sababu anajua ndo mwanzo wa utawala wa dolla yao.
 
Huyu 2013 hata simple ECONOMICS ina mshinda,hajui kazi za IMF&WB ktk kuangamiza nchi zingine kiuchumi.kama hi benki ikafanikiwa kuanzishwa nchi za kiafrika zote zitajitoa kwenye WB&IMF na kujiunga na hiyo benk.huu ndio utakuwa mwanzo mzuri wa kuunda afrika moja na mwisho wa kutumika dollar ya USA ki international

Kwanza the whole idea ya kuanzisha brics ni kuundwa vyombo kama IMF na WB ni wanajua vyombo vile viko pale kulinda maslahi ya ulaya na america na ndio maana viongozi wake wanatokea hizo nchi.
Brics wanaunda chombo chao kulinda maslahi yao.
BRICS maana yake Brazil, Russia, India, China, na South Africa.

Wakati World Bank ni Bank ya dunia nzima. So tafsiri ya BRICS tu inatoa PICHA kuwa nani ni wadau na mgawo utaendaje..
Sijaona jina Tanzania hapo anyway....

(Roughy Kiuchumi India ni ya NNE na China ya pili. Kitu kama hiki...kama.sijakosea sana hapa)

Brics mwenye fungu kubwa ni CHINa. South wakiwa Wana dau kiduchu sana
China INA population. Zaidi ya watu nilioni180 ambao ni choka mbaya yaana wale choka chokesti!!.

Idadi kubwa kuliko ulaya na USA changanya pamoja.

China inapopulation kubwa kuliko afrika nzima. Zaidi ya bilion moja.
Je China inaunda hicho chombo kusaidia wa afrika?
Je kupitia chombo hicho tutanufaika.?
China INA huruma na wa afrika?
Nchi za ulaya na marekani tukiachana na conspiracy zinaongoza katika kupigania utawala bora, Democracy, haki za binadamu na ustawi wa nchi wanazoshirikiana nazo hata zile wanazozikopesha.
China mpaka sasa haiangalii hilo Bali wanachojali ni kuwekeza nchi yoyote na kuanza kuchota rasilimali.
Mfano china ndio mnywa mafuta mengi zaidi nchini Iraq baada ya kung'oka sadam hussein lakini ile vita inayopiganwa kule dhidi ya ISIS yeye hajapeleka jeshi wala hashiriki. Anakula kilaini
Hadi Obama.aliwahi.kusema angetamani USA iwe kama China. Yaani USA iwe inakula kilaini haina friction.

Hapa nchini kashfa (scandal ) nyingi za mauaji ya tembo na usafirishaji wake unazitaja kama soko kuu lake huko China plus drugs .

Ukichunguza kwa umakini utaona Wanaopigia kelele kulaani kuhusiana na kashfa hizo wanatokea nchi za ulaya na sio China. Just imagine hadi ndege ya rais wa China imeingia Kwenye equation hiyo ya kubeba pembe zA ndovu.!!? Lisemwalo lipo...
And you expect China to nourish Afrika?. Keep dreaming . it still a midnight

China hii inavyotatua migogoro wa mipaka na visiwa kwa Ubabe kule Asia au China nyingine?

Hongkong ilipokataa kuingiliwa serikali ya China ilivyokomalia kibabe kila MTU anajua...

Russia the same applies hata ilipopigana na waislamu wa Chechnya ilisema ikishindwa itatumia nuclear.
Russia iliyokalia visiwa vya Japan au ile iliyokalia Crimea?

Hivi Eastern kuna democracy?

And we African tunategema brics itakuja kwa maslahi yetu. Kweli kuna waafrika k
Mimi maoni yangu ni kuwa mashirika yote ni ya kinyonyaji iwe IMF, WB, ama BRICS.

Jambo moja Nina matumaini nalo ni kuwa pengine watajitahidi sana kushusha masharti na vigezo ili watushawishi tuwapokee na kukopa kwao.

Lakini uwezekano wa kuongezeka mapinduzi ya kijeshi na ujasusi kwenye mataifa ya afrika ni mkubwa. Kama ishu ya Ukraine ilivyo.

Hilo swala la afrika kuwa moja ni myth. Forget it.
 
IMF sio kabisa,hao si ndo walitupa mashariti magumu ili watupe mikopo?.
wakalazimisha serikali iondoe huduma za afya na elimu za bure,pawepo na cost sharing,serikali ipunguze wafanyakazi na pia ijiondea katika kufanya biashara,pawepo na mfumo wa vyama vingi etc.
mikopo ya chini huwa haina string attached.wala hawaingilii policy ya nchi yeyote inayohitaji mkopo.
miaka ya nyuma nchi za magharibi waligoma kusaidia ujenzi wa reli ya TAzara,mchina akaingia na kuijenga bila shinikizo wala masharti.
 
IMF ni uozo mtupu. Russia iliishtukia na kukataa offer ya mabilioni ya pesa.
 
Kwanza the whole idea ya kuanzisha brics ni kuundwa vyombo kama IMF na WB ni wanajua vyombo vile viko pale kulinda maslahi ya ulaya na america na ndio maana viongozi wake wanatokea hizo nchi.
Brics wanaunda chombo chao kulinda maslahi yao.
BRICS maana yake Brazil, Russia, India, China, na South Africa.

Wakati World Bank ni Bank ya dunia nzima. So tafsiri ya BRICS tu inatoa PICHA kuwa nani ni wadau na mgawo utaendaje..
Sijaona jina Tanzania hapo anyway....

(Roughy Kiuchumi India ni ya NNE na China ya pili. Kitu kama hiki...kama.sijakosea sana hapa)

Brics mwenye fungu kubwa ni CHINa. South wakiwa Wana dau kiduchu sana
China INA population. Zaidi ya watu nilioni180 ambao ni choka mbaya yaana wale choka chokesti!!.

Idadi kubwa kuliko ulaya na USA changanya pamoja.

China inapopulation kubwa kuliko afrika nzima. Zaidi ya bilion moja.
Je China inaunda hicho chombo kusaidia wa afrika?
Je kupitia chombo hicho tutanufaika.?
China INA huruma na wa afrika?
Nchi za ulaya na marekani tukiachana na conspiracy zinaongoza katika kupigania utawala bora, Democracy, haki za binadamu na ustawi wa nchi wanazoshirikiana nazo hata zile wanazozikopesha.
China mpaka sasa haiangalii hilo Bali wanachojali ni kuwekeza nchi yoyote na kuanza kuchota rasilimali.
Mfano china ndio mnywa mafuta mengi zaidi nchini Iraq baada ya kung'oka sadam hussein lakini ile vita inayopiganwa kule dhidi ya ISIS yeye hajapeleka jeshi wala hashiriki. Anakula kilaini
Hadi Obama.aliwahi.kusema angetamani USA iwe kama China. Yaani USA iwe inakula kilaini haina friction.

Hapa nchini kashfa (scandal ) nyingi za mauaji ya tembo na usafirishaji wake unazitaja kama soko kuu lake huko China plus drugs .

Ukichunguza kwa umakini utaona Wanaopigia kelele kulaani kuhusiana na kashfa hizo wanatokea nchi za ulaya na sio China. Just imagine hadi ndege ya rais wa China imeingia Kwenye equation hiyo ya kubeba pembe zA ndovu.!!? Lisemwalo lipo...
And you expect China to nourish Afrika?. Keep dreaming . it still a midnight

China hii inavyotatua migogoro wa mipaka na visiwa kwa Ubabe kule Asia au China nyingine?

Hongkong ilipokataa kuingiliwa serikali ya China ilivyokomalia kibabe kila MTU anajua...

Russia the same applies hata ilipopigana na waislamu wa Chechnya ilisema ikishindwa itatumia nuclear.
Russia iliyokalia visiwa vya Japan au ile iliyokalia Crimea?

Hivi Eastern kuna democracy?

And we African tunategema brics itakuja kwa maslahi yetu. Kweli kuna waafrika k
Mimi maoni yangu ni kuwa mashirika yote ni ya kinyonyaji iwe IMF, WB, ama BRICS.

Jambo moja Nina matumaini nalo ni kuwa pengine watajitahidi sana kushusha masharti na vigezo ili watushawishi tuwapokee na kukopa kwao.

Lakini uwezekano wa kuongezeka mapinduzi ya kijeshi na ujasusi kwenye mataifa ya afrika ni mkubwa. Kama ishu ya Ukraine ilivyo.

Hilo swala la afrika kuwa moja ni myth. Forget it.

Nadhani tunaongea vitu tofauti. Mimi nimesema kuwa BRICS ikifanikiwa kuundwa na wakasimamia kile walichokiamini basi hili linaweza kusababisha anguko kwa uchumi wa marekani.

Marekani anatumia WB & IMF kuziendesha vibaya nchi nyingi sana duniani ambazo zinapitia kipindi kigumu sana. Kwahyo Benki ya BRICS wakija na masharti nafuu watu wataikimbia Marekani na kuhamia kwa hawa watu. Hapo tayari ushawishi wa moja kwa moja utapotea. Kusema WB ni benki ya dunia unakosea, siku yeyote itaanguka.

BRICS wana karibia theluthi moja ya watu wote duniani. Hii tayari ni market base nzuri sana kwa hizi nchi kufacilitate biashara yenye usawa kati yao. Kwanza wana cheap and skilled manpower at the same time with advanced tech. Na wakiamua kutumia Currency nyingine other than dollar, hesabu anguko kubwa la USA kwasababu tayari watakuwa wanamiliki 50% ya biashara duniani zisizotumia dollar.

Kijeshi tayari ni a major blow to USA, NATO. Technolojia wanayo na watauziana silaha kama sasa wanavyofanya. Huko magharibi hakutakuwa tena na influence kabisa.

Na siku ukiona BRICS imesimamishwa basi ndani ya miaka mitano haitakuwa BRICS tena kwasababu watakacho-offer kitakuwa tofauti na kinachotoka west. Nchi kama Australia, HongKong, Singapore, Iran, Argentina watajiunga nao.

Hapo ndo kutakuwa na major power shift toka west kwenda east na hiyo UN itakuwa almost useless.
 
major power shift lol....BRICS with 50 billion budget? or kuna kingine may be I don't know,na sina uhakika kama Chinese are so dumb to provoke US and lose 500 billion$ of trade export wanayoingiza US every year,unaijua 500 billion$???
 
Kwahiyo BRICS ikiundwa hawatafanya biashara na mataifa mengine?
 
Kwahiyo BRICS ikiundwa hawatafanya biashara na mataifa mengine?

Mkuu naona hajasoma kuhusu mikakati kababe ya kiuchumi baina ya China na nchi za Latin America!!! Wachina wanaona mbali sana - ndani ya miaka kumi Uchumi wao utakuwa umeupiku wa Merikani, je jamaa huyo amekwisha jiuliza kwa nini Wachina wamefanikiwa sana kiuchumi in less than three decades - repeat from a JACK to a KING ndani ya miaka thelathini.
 
Back
Top Bottom